Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Sikuwahi kuamini kwamba Tanzania bado kuna Nyumba za udongo lakini huku Tanga unakutana nazo nyingi tu Handeni na Korogwe walau Matajiri wa kichagga wamechangamsha Huu mkoa uliathiriwa na siasa...
13 Reactions
168 Replies
5K Views
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda amekana kuhusika na tukio la ukamataji viongozi na wanachama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Mwanza leo wakielekea ofisini kwake...
3 Reactions
42 Replies
2K Views
Uchaguzi ni keshokutwa tu Lakini sizioni Kabisa zile amsha Amsha kama enzi za akina MwanaDiwani , TandaleOne na CHABURUMA na yule Lizaboni Changamkeni bhana 😄
6 Reactions
38 Replies
863 Views
Bado sijajua Kwanini Wanaccm wa Arusha Mjini wamekuwa Wajinga kiasi cha kutia aibu namna hii, Yaani Diwani mzima baada ya"kununuliwa"anamwaga chozi hadharani kumlilia mtu mgeni na ambaye tayari...
4 Reactions
37 Replies
2K Views
Tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu wa Tanzania kwa mujibu wa katiba ya nchi, Ni vizuri sana kuambiana ukweli kama wadau wa siasa na waTanzania kwa ujumla, kwamba eti kuna mabadiliko ya sheria za...
2 Reactions
26 Replies
1K Views
Udini ukiuzidisha sana mheshimiwa anawezaonekana kama mwendawazimu!
2 Reactions
15 Replies
835 Views
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi Taifa Fadhili Rajabu Maganya ametahadharisha vyama pinzani kuwa chama chao hakiendi kirahisi wala kuonea huruma mpinzani aliye dhaifu katika...
0 Reactions
1 Replies
344 Views
Wanachama na viongozi 20 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Viktoria wamekamatwa na Polisi wakiwa njiani kwenda kuonana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda. Makada hao...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Lissu akishinda watakuja na hoja ya kuweka mgombea strong wa kupambana na kuigaragaza CHADEMA hapo ndipo bi mkubwa atawekewa washindani na Tog.....i Mav.....a ambaye kwasasa ni balozi huko kwenye...
11 Reactions
100 Replies
5K Views
What we know about US-Ukraine minerals deal 16 minutes ago Ian Aikman & James Gregory BBC News Share Save Reuters Ukraine's President Zelensky first discussed a minerals deal with then...
0 Reactions
1 Replies
740 Views
Nimeona kwenye taarifa ya habari Rais wa Zanzibar anamuapisha kadhi mkuu wa Zanzibar kwani serikali inasimamia ibada za watu!?
4 Reactions
62 Replies
3K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe Deogratius Ndejembi pamoja ba Waziri wa Ujenzi Mhe Abdallah Ulega...
0 Reactions
0 Replies
318 Views
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu akizungumzia harakati za 'No Reform No Election' amedai kuwa "Ilituweze kushinda uchaguzi lazima tuwe na bunduki kama...
33 Reactions
261 Replies
12K Views
Udini ukiuzidisha sana mheshimiwa anawezaonekana kama mwendawazimu! ANGALIA VIDEO HII HADI MWISHO
0 Reactions
1 Replies
330 Views
PAN-AFRICANISM ni mojawapo ya maneno yaliyotumiwa sana na viongozi wa Africa wenye nia nzuri ya umoja na kutaka kuwaunganisha Wafrica wote Africa na nje ya Africa bila kujali mipaka ya kijografia...
1 Reactions
17 Replies
938 Views
Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa Mahakama Kuu, Asina Omari, amewataka watendaji wa Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura ngazi ya Halmashauri, katika Halmashauri ya...
0 Reactions
3 Replies
389 Views
Rais Samia Suluhu Hassan ameweka wazi kuwa Mkoa wa Tanga umepokea kiasi cha Sh3.1 trilioni kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali. Hata hivyo, kauli hii imeibua maswali mengi miongoni mwa...
2 Reactions
16 Replies
944 Views
Polisi, Jeshi na usalama tendeni haki kwa manufaa ya taifa. Kama kweli mnapenda taifa hili simamieni haki na demokrasia. Waachieni Watanzania wachague watu wao kwa matakwa yao. Msiwaibie kura...
1 Reactions
0 Replies
267 Views
Kabla ya kuanzisha mpango huu sisi wengine tulidhani labda wangefanya utafiti wa kujua Wateja wa maduka ya kariakoo wanatoka wapi. Ukijua wateja hao wanakotokea bila shaka utajua pia kama...
14 Reactions
80 Replies
3K Views
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso akiwasilisha zawadi mbalimbali kutoka kwa Wazee na viongozi wa Pangani walizotoa kwa Rais Samia ikiwa ni pamoja na Ng'ombe 5, Nazi na zawadi zingine tofauti. Kupata...
0 Reactions
27 Replies
1K Views
Back
Top Bottom