Nguvu ya Hayati Magufuli hata baada ya miaka miwili yatesa mafisadi

Maswa Yetu

New Member
Mar 18, 2023
3
0
Huyu Mtu anaishi ,Amekufa Kiroho tu ila ila Anaishi. Kuanzia tarehe 16/3/2023 wilaya ya Chato ilianza kufurika wageni wakija kuadhimisha miaka miwili ya kufariki dunia kwa Dk Magufuli, hata kwenye mitandao ya kijamii mamilioni ya watu wameandika jumbe zao kumbuka kipenzi cha Magufuli, hali hii haijawafurahisha lile genge la mafisadi na lile genge la wasaliti wa taifa letu pale ufipa.
Mafisadi na wasaliti wa taifa wanajaribu kuandika jumbe mbalimbali za kukejeli lakini kwa chini yake wanaambulia koments za kushushuliwa, kupondwa na kutukanwa na wananchi.

Haya ni Maajabu Ndugu zangu, maajabu kabisa !!

Ingieni YouTube tafuteni Habari ya Kadinali Pengo kutembelea Kaburi la JPM , Channel zote maarufu maarufu Zina watazamaji kuanzia 5K nakuendelea!.

Maajabu ya Mwaka, Rais Samia na Jukwaa lake la Chakula, habari yake, Chukueni channel zote zilizoirusha hiyo habari, alafu jumlisheni idadi ya watazamaji , Bado bado hazifiki hata Channel ya JF ilomuonyesha Kadinali Pengo Kwa JPM .

Wanasiasa Nina waambia, Mwanasiasa atakayehitaji Taifa liwe pamoja naye, ni yule pekee atakayeamua Kumuenzi, kuziheshimu Falsafa za JPM!! Huyu mtu amependwa, alipendwa na ataendelea kupendwa siku zote.

Kujaribu kufuta kila kitu chenye mkono wa JPM, ni ujinga ujinga unaofanywa na wajinga wasojielewa waloupata utawala Kwa bahati bahati tu !!.

Hivi inawezekana vipi, Marehem anapata Watazamaji zaidi ya elfu hamsini, alafu Alite Hai anapata Watazamaji 124 haya ni Maajabu ,ni maajabu hahahahahhahah !!.

RAIS SAMIA SULUHU, KAMA UTASOMA ANDIKO HILI, NA LIIKUFIKIE NA KIKUNDI CHAKO,,,,,, HESHIMA ULOMPA BASHUNGWA WAZIRI WA ULINZI, NI HESHIMA KUBWA KWA KIJANA ,HESHIMA AMBAYO IMEKUZIDI HATA WEWE MWENYEWE NA KIKUNDI CHAKO NA HESHIMA AMBAYO ILIKUA NI YAKO WEWE !!..

Unarushwa Laivuu na maTV yote, alafu watu hawana habari Nawewe??.

Marehem wa miaka miwili, anatizamwa na Mamilioni ya Watanzania, na Bado Hamjishtukii?.

Pole sana !!! Ni Upuuzi ulowajaa enyi Msoga Gang,kuendelea kuukwepa ukweli !!.
 
Back
Top Bottom