Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wananchi wa Nanjilinji na Ruangwa wameelezea furaha yao kufuatia utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa Daraja la Mto Nakiu, hatua inayotajwa kuwa suluhisho la kudumu kwa changamoto za usafiri, uchumi...
0 Reactions
1 Replies
381 Views
Ziara ya Kikazi ya Rais Samia Mkoani Tanga Februari 23, 2025 https://www.youtube.com/live/A5Kayo33810?si=SkcoQaTDduuUWupm Akiwa kwenye ziara hiyo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe...
0 Reactions
4 Replies
752 Views
Ewe Mfanyakazi wa Umma uliyewekewa Kikokotoo Chadema haijakutupa, huu ni wakati wako wa kuhakikisha jambo hilo linaondolewa kabisa ili isiwe chanzo cha kifo chako baada ya Kustaafu. Taarifa yao...
10 Reactions
46 Replies
2K Views
1. Lisu kusema kwa ukali na makeke hakutaitisha CCM. CCM ni waovu, hawatishwi na maneno! 2. Mama yuko agressive supreme of power! hatishiwi na maneno makali/kelele za juu kama za Heche na Lisu...
12 Reactions
67 Replies
3K Views
Waziri mkuu wa Uingereza ametangaza kupunguza misaada ya kimataifa kwa 40% Ili Fedha hiyo iingizwe Kwenye bajeti ya Jeshi Ni hilo tu Credit: Al Jazeera news
0 Reactions
12 Replies
545 Views
La mgambo limeshalia japo siyo official Chadema tupeni orodha yenu mapema Ahsanteni sana 😄
4 Reactions
11 Replies
713 Views
Wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamekasirishwa na kitendo kinachodaiwa kufanywa na familia ya marehemu kwa kushirikiana na Jeshi la Ulinzi kuwazuia kushiriki kama chama...
1 Reactions
45 Replies
2K Views
4Rs tumevuka boda Hadi Ubeberuni wakati kibaraka Lisu akijiliza Kwa Norway kuhusu hoja muflisi ya No reform No election. https://www.instagram.com/p/DGf2OvVM7cn/?igsh=MThneDFicHQxODI2cw== My Take...
0 Reactions
31 Replies
1K Views
Gambo acha ngonjera; 1. Kwanza hukuondoka kwenye kikao, bali ulikimbia baada ya kusikia Makonda anakuja. Na ulisahau baadhi ya vitu vyako ukumbini ikabidi mtu mmoja akukimbizie kwenye gari. Kikao...
4 Reactions
4 Replies
391 Views
Mi nafikiria hautakuwepo Mkutano wowote wa Chadema kesho kutwa. Kama lengo ni kuanzisha Kampeni ya no reform no elections na kuipeleka nje ya nchi.
0 Reactions
0 Replies
345 Views
Gambo amesema kuwa yeye ndiye Mbunge halali kwa muda huu na yeyote anayehitaji nafasi hiyo anapaswa kusubiri muda ufike kisha kufata taratibu zote za kuwania nafasi hiyo na sio vinginevyo. “Kama...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Wanabodi, Mpaka sasa, nafikiri kwamba wengi tutakuwa tumeisha uzoea mwaka 2025. Mwaka ambao kama watanzania, tutatekeleza haki yetu ya kikatiba ya kuchagua viongozi wetu. Wafuasi wa vyama vya...
0 Reactions
2 Replies
282 Views
Mimi binafsi najua kwamba afya zetu ni muhimu sana ! Tunavyokuwa watu wazima ni lazima tubadilike bila hivyo magojwa yanaongezeka sana. Mimi binafsi napata shida sana kupungua na kwasababu hiyo...
2 Reactions
9 Replies
635 Views
Mahakama ya Wilaya ya Kigoma imebatilisha matokeo ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Mtaa wa Geza Ulole, Manispaa ya Kigoma Ujiji, mkoani Kigoma, na kuamuru uchaguzi huo urudiwe baada ya...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Leo nimeshtushwa sana, kama vile Mheshimiwa Dk. Nchimbi hakusikika alipowaonya watu kuhusu kampeni. Madiwani hawa wanapaswa kuonywa, na ikiwezekana, kunyimwa posho kwa muda kutokana na kwenda...
1 Reactions
7 Replies
425 Views
Nataka tu kumjulisha Shehe Ponda kuwa Serikali ina Itifaki zake inazozizingatia Wakati Wote inapopokea mialiko katika Shughuli mbalimbaki Shehe Ponda anadhani ni lazima Mgeni rasmi kukaa kwenye...
2 Reactions
44 Replies
2K Views
Mmoja ya wananchi wa Wilaya ya Korogwe, mkoani Tanga amejitokeza kwenye Mkutano wa hadhara unaofanyika katika viwanja vya Chuo cha Ualimu Korogwe, ambako Rais Samia Suluhu Hassan anatazamiwa...
2 Reactions
10 Replies
662 Views
Diwani wa Kata ya Themi wilaya ya Arusha mjini Mkoani Arusha Petro Lobora wakati wa kikao cha Baraza la madiwani bajet ya halmashauri kwa mwaka 2025-2026 alisimama na kuzungumza kwa niaba ya...
4 Reactions
10 Replies
993 Views
Nimesikitishwa sana kuona uvaaji wa Askari wetu wa uhifadhi wanaofanya operesheni ya kuua fisi huko mkoani Simiyu. Inakuwaje nchi iliyofikisha Watalii Milioni 5 mwaka huu ambao wameingiza fedha...
11 Reactions
61 Replies
3K Views
Back
Top Bottom