Tanzania closer to finalising real estate law - Tia neno kama wewe ni mdau

Mapenzi ya Mungu

JF-Expert Member
Feb 22, 2025
317
290
Tanzania closer to finalising real estate law

Dar es Salaam. The Ministry of Lands, Housing and Human Settlements Development has engaged various stakeholders in the ongoing process of reviewing Tanzania’s real estate law.

The Ministry’s Director of Real Estate, Ms Upendo Matotola, told The Citizen that the review is currently awaiting government approval after undergoing comprehensive scrutiny to ensure it aligns with the sector’s needs and does not have negative impacts.

Media Group © 2025​

I am strongly advise that:-

1. Rasimu ya Sheria hiyo ya Real Estates inapaswa kuwekwa Wazi kabisa kwa Umma ili Wananchi wengi zaidi waweze kutoa maoni yao kabla Rasimu hiyo haijapelekwa Bungeni kwa ajili ya kupitishwa na kuwa Sheria kamili.

2. Rasimu ya Kanuni za Sheria hiyo pia inapaswa kuwekwa hadharani mapema.

3. Rasimu za Sheria hizo zisambazwe humu mtandaoni ili iwe rahisi kwa Wananchi kuweza Kutoa maoni yao.

Wizara ya Ardhi iweke utaratibu rasmi wa kiofisi wa kuweza kusajili maoni ya Wananchi yanayotolewa kuhusiana na suala hili la Sheria ya Estates.

4. Uwazi kwenye suala hili ni muhimu sana kwa sababu Ardhi ndio rasilimali Kuu ya kuendesha Uchumi wa nchi na kuendelesha maisha ya Wananchi wote kabisa katika nchi hii ya Tanzania.

5. Kupitia Sheria hiyo, nashauri Usimamizi wa Rasilimali Ardhi uanzie katika ngazi za Kata.
Kuwepo na Maafisa Ardhi wa Kata kwa kila Kata hapa Tanzania.

6. Rasimu za Sheria na Kanuni za Sheria ya Real Estates zinapaswa ziwe katika Lugha zote Mbili za Kiingereza na Kiswahili kwa pamoja.

Ni muhimu sana kuzingatia masuala haya ya kuchapisha au kutafsiriwa kwa Sheria hiyo kwa lugha ya Kiswahili, Sheria hiyo itagusa Moja kwa moja Uhai na Maisha ya kila Mtu ya kila Siku.
Migogoro ya Ardhi ni mingi Sana hapa Tanzania, Sheria hiyo ije kuwa Mkombozi katika kupunguza migogoro hiyo badala ya kuongeza.
 
Tuwatakie kila lenye kheri maana hii ndio sura yangu sijui kama inafaa kuwekewa mradi wa real Estate
gettyimages-154158911-612x612.jpg
 
I am strongly advise that:-

1. Rasimu ya Sheria hiyo ya Real Estates inapaswa kuwekwa Wazi kabisa kwa Umma ili Wananchi wengi zaidi waweze kutoa maoni yao kabla Rasimu hiyo haijapelekwa Bungeni kwa ajili ya kupitishwa na kuwa Sheria kamili.

2. Rasimu ya Kanuni za Sheria hiyo pia inapaswa kuwekwa hadharani mapema.

3. Rasimu za Sheria hizo zisambazwe humu mtandaoni ili iwe rahisi kwa Wananchi kuweza Kutoa maoni yao.

Wizara ya Ardhi iweke utaratibu rasmi wa kiofisi wa kuweza kusajili maoni ya Wananchi yanayotolewa kuhusiana na suala hili la Sheria ya Estates.

4. Uwazi kwenye suala hili ni muhimu sana kwa sababu Ardhi ndio rasilimali Kuu ya kuendesha Uchumi wa nchi na kuendelea maisha ya Wananchi wote kabisa katika nchi hii ya Tanzania.
Hili ndio la muhimu, ushirikishwaji wananchi ni muhimu. Lakini bahati mbaya sheria za nchi hii kwanza huwa zinaangalia maslahi ya rais aliyeko madarakani anataka nini, bila kujali mahitaji ya umma.

Wakiipitisha baadaye ndio tunaanza kuvutana na serikali, hili hatutaki hili baya, wao hufurahia kuombwa kubembelezwa " tunaomba mbadirishe kipengele kile" halafu waanze kufanya siasa.
 
Sheria ya ardhi na real estate zizingatie uzawa au uraia wa mtanzania mwananchi, wasiangalie wawekezaji, au wenyepesa.

Pesa huwa zinadanganya sana sheria, halafu wanatunga sheria ngumu zinazo wasumbua wananchi tulio wengi, mwisho unakuta tunashindwa kumiliki hata ardhi ya mirathi.

Utaambiwa ulipie kwa sq meter, wewe umerithishwa hekari zaidi ya 100 huko kijijini huna kazi wala kipato, unaanzaje kulipia ardhi kiasi hicho? Sasa wanaanza kukunyang'anya ardhi kwa vifungu vya sheria badala kukusaidia.
 
Tanzania closer to finalising real estate law

Dar es Salaam. The Ministry of Lands, Housing and Human Settlements Development has engaged various stakeholders in the ongoing process of reviewing Tanzania’s real estate law.

The Ministry’s Director of Real Estate, Ms Upendo Matotola, told The Citizen that the review is currently awaiting government approval after undergoing comprehensive scrutiny to ensure it aligns with the sector’s needs and does not have negative impacts.

Media Group © 2025​

Wanaotumia kiswahili vipi
 
Sheria ya ardhi na real estate zizingatie uzawa au uraia wa mtanzania mwananchi, wasiangalie wawekezaji, au wenyepesa.
Pesa huwa zinadanganya sana sheria, halafu wanatunga sheria ngumu zinazo wasumbua wananchi tulio wengi, mwisho unakuta tunashindwa kumiliki hata ardhi ya mirathi.

Utaambiwa ulipie kwa sq meter, wewe umerithishwa hekari zaidi ya 100 huko kijijini huna kazi wala kipato, unaanzaje kulipia ardhi kiasi hicho? Sasa wanaanza kukunyang'anya ardhi kwa vifungu vya sheria badala kukusaidia.
Hiyo itakuwa kandamizi
 
Masikini watakuwa fukara zaidi
Wanatunga sheria bila kufikiri tumetoka wapi.

Mwanchi kule kijijini ukimwambia alipie ardhi, wangapi wata ishi kwenye makazi yao au kuweza kulima na kufuga kwenye ardhi huko vijijini?

Lakini sheria zao huwa hazi tenganishi, kijijini na mjini.

Wanaweza kutunga sheria iliyolenga ardhi ya kigamboni Dar es salaam, lakini hiyo hiyo ikatumika Nansio Ukerewe.

Ukienda mahakamani wanasheria wanakusomea kama ilivyopitishwa na bunge, hapo ndio utajua uko Tanganyika.
 
Back
Top Bottom