Soka Ndio Maisha Yangu
Member
- Nov 27, 2024
- 43
- 127
Mkongwe Maalim Seif hadi anakwenda kwa muumba wake (Mwenyezi Mungu amrehemu na ampunguzie adhabu za kaburi) amefanya Kila jitihada za kuingia Ikulu ya Zanzibar lakini hakufanikiwa, hakuna mkakati, mpango, mbinu ambazo Maalim hakuzitumia.
Kwa mfano Leo Tundu Lissu anasema No reforms no elections, Maalim Seif alikuwa na Jino kwa Jino na Ngangari, akatumia sana neno Hakiiiiii asiyependa Haki.Hakufanikiwa kabisa.
Lissu anasema ataingia barabarani kupinga uchaguzi endapo mabadiliko yasipofanyika, Maalim Seif aliwahi kuwafanyisha sana maandamano wananchi wa Zanzibar na Bara na wengi walipoteza maisha katika kile walichokidai wanatafuta haki.
Tundu Lissu ameanza kwenda kulalamika kwa mabeberu na juzi ameonekana akiwa na Balozi wa Norway nchini, kumbuka yeye ndio anawaambia watanzania kuwa wazungu wanatuibia na yeye ndio huyo huyo anakimbilia kwao kulalamika wamsaidie akianzisha no reforms no elections, hiyo kukimbia kwenye taasisi za kimataifa Seif ndio alibobea huko, nchi zote Maalim Seif alikwenda, alikunywa chai, alikuwa wali, alipewa makaratasi ya Kila aina na mwisho alikutana na Tanzania is a sovereign country.Hakufanikiwa.
Kwa hiyo Lissu hana jipya, amebaki kufoka tu, halafu hana kabisa uwezo wa kuongelea mambo ya kijamii, yeye Kila siku akialikwa ameshikilia no reform no elections, hana agenda za kitaifa kama mwenzake Mbowe, Mbowe alikuwa akiitisha Press mm hapa Lushoto hata nikisikia kuwa amepanga kuongea Huwa namsikiliza sio huyo Lissu, kelele, majigambo na majivuno kibao kumbe maarifa sifuri.