Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Jarida la Indegazette.be, katika makala yake iliyochapishwa Agosti 13, 2026, limeangazia Tume mpya ya Uchunguzi ya Tanzania inayoongozwa na Jaji Shabani Ally Lila, likisema jukumu kubwa la tume...
2 Reactions
12 Replies
253 Views
  • Redirect
Wakili Peter Madeleka amekamatwa muda huu na watu waliojitambulisha kuwa ni Polisi akiwa katika Mahakama ya uhujumu uchumi (maarufu kama Mahakama ya Mafisadi) iliyopo Mikocheni jijini Dar es...
1 Reactions
– Replies
– Views
  • Redirect
Inasemekana amekamatwa na watu waliojitambulisha kuwa ni polisi. Soma chini tujuzane kama ni kweli
0 Reactions
– Replies
– Views
Lissu: Kulikua na amri mliyoitoa mwaka jana siwezi kukumbuka tarehe, kwamba upande wa mashitaka ulete mashahidi wawili kila kesi inaposikilizwa, na hii amri mmeirudia tena juzi jumatano mmeirudia...
10 Reactions
18 Replies
407 Views
Walimu msituhusiahe na matatizo yenu maana mfumo mnaujua wenyewe,haya manunguniko msinungunike hizani, Uchaguzi uliisha mnapaswa kuchapa kazi siyo fimbo,maana sheria na kanuni mnazijua wenyewe...
0 Reactions
2 Replies
54 Views
Ndugu zangu wapinzani, hebu mnisaidie kuwaelewa kidogo. Kila siku tunasikia nchi imeharibika, maisha hayaendi, watu hawana furaha, hakuna kinachowezekana… lakini sisi huku maisha yanaendelea...
5 Reactions
38 Replies
358 Views
Ikiwa hali itaendelea kua kama ilivyo, huenda likakosa sifa ya kua jimbo la kiimani ndani ya kanisa hilo, kama yalivyo majimbo mengine ya kanisa katoliki nchini. Kuna zaidi ya ugumu katika...
1 Reactions
52 Replies
608 Views
Look at this energy
8 Reactions
22 Replies
343 Views
Wakuu kama mnavyoona picha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amemtembelea na kumjulia hali, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa...
24 Reactions
116 Replies
3K Views
Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limeweka wazi kuwa lengo kuu la kukutana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ni kutoa mtazamo wao kuhusu hali ya kisiasa...
11 Reactions
28 Replies
543 Views
Kutoka kwenye uhuru wa kisiasa hadi amani na uwazi wa matumizi ya fedha za umma, ripoti tatu za kimataifa zimeweka Tanzania kwenye mizani isiyopendeza. Kinachozua maswali si nafasi pekee ambazo...
1 Reactions
1 Replies
71 Views
Mshtakiwa kwenye kesi ya Uhaini Tundu Lissu amelalamikia tabia ya Ofisi ya mwendesha mashitaka wa Serikali (DPP) kutoheshimu amri za mahakama. Lissu amesema mahakama mara kadhaa imewaagiza upande...
6 Reactions
18 Replies
331 Views
Nimetafakari sana kitendo cha DPP/Katuga for that matter kutoleta shahidi/ mashahidi. Kama wanaweza kudharau a bench of three Judges, je sisi ambao hatuna watetezi si tutafia jela/ màhabusu...
5 Reactions
22 Replies
255 Views
RAIS: TUENDELEE KUTUNZA AMANI ILI TUPATE MAENDELEO ZAIDI "Nisisitize kwamba uwepo wa miradi hii tumeweza kuijenga na kuileta kwa sababu nchi yetu ina amani. [...] Niombe sana ndugu zangu...
1 Reactions
7 Replies
89 Views
  • Redirect
Hii ndio Taarifa mpya kutoka Kigali kwa sasa Amedakwa Yeye pamoja na Maofisa wengine 17 wa FDA Mungu Ibariki Rwanda
3 Reactions
– Replies
– Views
  • Redirect
Habari ndiyo hiyo. Majaji wame mute na kukubali ombi hilo. Siwalaumu, hawana the other way out sana sana ni kuhairisha. Unafikiri wangelifaya nini? Kuifuta? si rahisi kihivyo! Delaying tactics...
0 Reactions
– Replies
– Views
Viongozi waandamizi wa CCM wanazunguka nchi nzima pamoja na mambo mengine wanatoa shutuma kwamba kuna watu walihamasisha vijana wa kitanzania kuandamana Oktoba 29 mwaka 2025. Viongozi hao wa CCM...
15 Reactions
95 Replies
859 Views
Chanzo cha picha,MWANANCHI Kenya imetimiza viwango vya Marekani kuhusu uwazi katika matumizi na usimamizi wa fedha za umma, huku Tanzania ikishindwa kufikia viwango hivyo. Hayo yamebainishwa...
0 Reactions
2 Replies
67 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…