Mbadala wa EFD, TRA kutengeneza programu tumizi (app) kutolea risiti za kielektroniki

Mbadala wa EFD, TRA kutengeneza programu tumizi (app) kutolea risiti za kielektroniki

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,152
Reaction score
4,211

Katika kutekeleza mapendekezo ya kiutawala yaliyotolewa na Tume ya Rais ya Maboresho ya Mfumo wa Kodi, Serikali kupitia Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2026/2027 imetangaza mfumo mpya wa urahisishaji wa utoaji risiti nchini.

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) itatengeneza programu tumizi (application) maalum itakayofanya kazi kwenye simu za mkononi, vishikwambi (tablets), au kompyuta. Mfumo huu utatolewa bure kwa wafanyabiashara wote na utatumika kutoa risiti halali za kielektroniki, mbadala wa mashine za sasa za EFD.

"Na nane, TRA itatengeneza programu tumizi yaani 'Application' itakayotumika kwenye simu za mikononi, vishikwambi au kompyuta na kisha kutoa App hiyo bure kwa wafanyabiashara ili itumike kutoa risiti kama zile zinazotolewa na mashine za EFD."
 
Katika kutekeleza mapendekezo ya kiutawala yaliyotolewa na Tume ya Rais ya Maboresho ya Mfumo wa Kodi, Serikali kupitia Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2026/2027 imependekeza mfumo mpya wa urahisishaji wa utoaji risiti nchini.

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) itatengeneza programu tumizi (application) maalum itakayofanya kazi kwenye simu za mkononi, vishikwambi (tablets), au kompyuta. Mfumo huu utatolewa bure kwa wafanyabiashara wote na utatumika kutoa risiti halali za kielektroniki, mbadala wa mashine za sasa za EFD. Hatua hii inalenga kupunguza gharama za uendeshaji wa biashara na kurahisisha uzingatiaji wa sheria za kodi nchini.
 

Katika kutekeleza mapendekezo ya kiutawala yaliyotolewa na Tume ya Rais ya Maboresho ya Mfumo wa Kodi, Serikali kupitia Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2026/2027 imetangaza mfumo mpya wa urahisishaji wa utoaji risiti nchini.

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) itatengeneza programu tumizi (application) maalum itakayofanya kazi kwenye simu za mkononi, vishikwambi (tablets), au kompyuta. Mfumo huu utatolewa bure kwa wafanyabiashara wote na utatumika kutoa risiti halali za kielektroniki, mbadala wa mashine za sasa za EFD.

"Na nane, TRA itatengeneza programu tumizi yaani 'Application' itakayotumika kwenye simu za mikononi, vishikwambi au kompyuta na kisha kutoa App hiyo bure kwa wafanyabiashara ili itumike kutoa risiti kama zile zinazotolewa na mashine za EFD."
Tra na mamlaka zote Tanzania zinazohusika na makusanyo ya mapato hazijawahi kufanya jambo lolote kwa ufanisimfano mfumo wa tausi imani yangu ni kuwa ulilenga kuongeza ufanisi na urahisi kwa walipa tozo kodi na ushuru anuai,badala yake sasa ni mradi wa rushwa,ten per kwa wahusika wa mnyororo wa utoajihuduma.Kwa namna gani Mfumo wa tausi kupata leseni inahitaji baadhi ya hudumu kuwa na fire &safety cert. Ili uweze kufanya hatua inayofuatahatua ya kwanza unakwamishwa na mtoa fire&safety cert,kisa apate ama ten per ama naye apige deal na cert ya aliye kuwa tayari kufuata taratibu ili alipe tozo,shuru na matozo ya huduma.Sasa tunaenda wapi?
 
Back
Top Bottom