Habari ya wakati huu tuna ndugu yetu ameuwawa huko Mpanda na jeshi la Tanapa Anaitwa Naftali Maziwa
Jinsi stori ilivyo
Huyu ndugu yetu anajishughulisha na upasuaji wa mbao Kwa kuwa na vibari...
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Part 241
Mhe. Lissu anaendelea kumdodosa Shahidi wa kificho wa Jamhuri.
Mhe Lissu: Ulisema mlikuwa na Camera ya Sony NX, Kweli si kweli ?
Shahidi wa kificho P: Kweli...
Ikulu ijibu SWALI langu,
Mnasubilia hizi aibu zinazoendelea mahakamani zifike ikulu?
Afisa mkubwa kabisa wa jeshi la polisi anagalagazwa mahakamani mpaka anaulizwa kama ana akili timamu anajibu...
Wakuu,
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima, ameeleza kuwepo kwa vikundi vilivyopangwa mtandaoni vinavyoshambulia watu na kuvuruga utamaduni wa...
Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limeweka wazi kuwa lengo kuu la kukutana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan na kusema wao Maaskofu ndio waliomba...
Kwa ukubwa wa ardhi yenye rutuba, na rasilimali watu tulio nao,inawezekanaje jamuhuri kuagiza ngano,mafuta ya kula ,sukari na bidhaa nyingine nje ya nchi!!?badala ya sisi wenyewe kuzalisha na...
Kwa uwekezaji na mali inazomiliki CCM nchi hii hakuna siku hiki chama kitakubali kuondoa madarakani kwa kura katika uchaguzi.
CCM kukubali kuondoka madarakani ina maana ni kupoteza ukwasi wake...
12 January 2026
Tanzania: Uvumilivu wa IPTL Walipa Katika Mzozo wa Dola Milioni 168 na Benki ya Standard Chartered ya Hong Kong
Januari 12, 2026
Kampuni ya Independent Power Tanzania Limited...
MHE. BALOZI OMAR: AIMWAGIA SIFA TRA UKUSANYAJI WA MAPATO YA NDANI
Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), ameimwagia sifa Mamlaka ya Mapato Tanzania-TRA kwa utendaji uliotukuka...
Friends and our enemies
Hakika muda ni kitu pekee ambacho kinaweza kutoa majibu ya uhakika.
Chadema siku zote imekuwa inakimbilia kwa kanisa kwenda kupeleka taarifa za uongo na chuki ili...
Wanabodi,
Angalizo.
Simple minds discuss people, great minds discuss ideas, hili sio bandiko la kudiscuss people, ndio maana hakuna jina la mtu yeyote limetajwa humu, hivyo nakuomba hata kama...
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Charles Kitima, amesema Tanzania imekuwa ikisimamia na kutetea haki za binadamu, akisisitiza kuwa ni muhimu misingi hiyo hiyo...
Wengi tunakubali Nyerere alikuwa kiongozi mzuri ila kuna mengi mabaya sana pia aliyafanya na anayolalamikiwa nayo ikiwemo ukandamizaji wa wapinzani wake, katiba mbovu inayotutesa, experiments...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amesema Serikali ya CCM inaongozwa na watu waliokosa maarifa badala yake wamebaki kutishia wapinzani na kufungua mitandao ya kijamii.
Ameyasema hayo...
Taarifa kamili hii hapa
Pichani chini, Bilionea William Mungai ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Iringa akiteta jambo na Makamu Mwenyekiti John Heche
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Leo Agosti 12, 2026
Kesi ya uhaini dhidi ya Mhe. Lissu inaendelea katika Mahakama Kuu ya Dar es salaam ambapo Mhe. Lissu anaendelea kumfanyia Cross Examination Shahidi wa...
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Leo Agosti 13, 2026
Jana tuliishia part 236 so leo tunaendelea na -;
Part 237
Hatimaye, mida hii ya saa. 11:07 Asubuhi, Mahakama inaanza.
Wanaingia Mawakili wa...
Ukifuatilia hotuba za Nyerere nyingi utaona anailaumu katiba ya mwaka 1977 ambayo yeye ndo muasisi binafsi haya ni moja ya jambo linalofikirisha sana
Kwamba unatengeneza katiba alafu baadae...
Wanabodi,
Hili ni bandiko la kumjibu mwana JF mwenzetu, Mkuu Mzee Mwanakijiji, aliyesema rais Magufuli ni alfa na omega, hapa mimi natofautiana naye kuwa rais Magufuli sio alfa na omega, Alfa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.