Nakumbuka Maxine Mello akitoa tathmini juu ya mchango wa media katika uchaguzi 2015 aliweka wazi kuwa CCM Ilitawala media na kusambaratisha wapinzani. Kuelekea October 2020 sijaona juhudi za...
Hivi sasa ni kawaida kusoma au kusikia maoni ya wana-CCM kuwa wapinzani katika uchaguzi mkuu wa baadae mwaka huu hawatapata chochote huku wakiwalenga zaidi CHADEMA na kwa kiasi fulani...
Wana bodi habari za jioni,
Nimetafakari mienendo ya kiutawala ya Rais Magufuli naona ukombozi toka kwa minyiroro ya CCM sasa imewadia.
Kama vile FARAO alivyopewa mapigo mbalimbali awaachie wana...
Ni Kama tumekubali matokeo ya October 2020
Kuna dhana ya muda mrefu ya kwamba kimya kingi kimebeba mengi..Kimya kingi kinaweza kua kimebeba uoga,ujasiri,usiri,unyonge au hata umakini hafifu was...
Kada zamani wa Chama cha Mapinduzi Benard Membe ameibuka tena na kuzungumzia masuala ya kikanda na kimataifa.
Leo amenukuliwa ni mitandao mbalimbali ukiwemo Jamii Forums akieleza kuwa Tanzania...
Katika Mambo ambayo yana uzunisha moja ni la Upinzan wa Tanzania kuamua kutafuta wadhamin ili Wawa weke madarakan badala ya kujenga urafik na wananch wenye dhamana na nch hii.
Upinzan wa Tanzania...
Mada hapo juu yahusika. Nashangaa kuna ukimya sana ilihali uchaguzi upo palepale mwezi October.
Dr. Shein anamaliza muda wake, sioni wala sisikii cherekochereko za kumtafuta mrithiwe. Ndiyo maana...
Habari wakuu!
Kwa umri wangu mdogo wa miaka takribani 30 nimejifunza mengi, sijabahatika kuvuka mipaka ya Tanzania lakini nimefika karibu mikoa 20 ya Tanzania bara.
Hulka na silka za Watanzania...
RAIS TUMTAKAYE 2020
Na, Robert Heriel
Mwaka huu Mungu akipenda utakuwa mwaka wa uchaguzi kama ilivyosheria kwa nchi yetu.
Huu ni mwaka muhimu sana kwa kila mmoja wetu. Ni Mwaka muhimu kwa...
Pilikapilika za uchaguzi mkuu wa Zanzibar zinaonekana kupamba moto. Rais wa sasa wa visiwa hivyo Dr. Ali Mohammed Shein anamaliza muda wake baada ya kuongoza vipindi viwili kwa mujibu wa katiba ya...
Niliandika makala hii 2017 mnasemaje kuelekea uchaguzi 2020
POLENI SANA VIJANA, MNAKUWA MAJESHI YA MINYUKANO YA KISIASA MWISHO INAKUWA AIBU KWENU.
Poleni sana vijana wa ACT - WAZALENDO...
Mimi Suphian Juma natangaza NIA ya kugombea Ubunge katika Jimbo la Singida Magharibi kupitia Chama cha ACT wazalendo. Singida Magharibi nitawatanguliza ninyi na Taifa langu mbele daima.
Ewe...
Friends of Bernard Membe at the University of Dar-Es-Salaam still believe they have got their man who is heading nowhere but to the state house in replacement of JK comes 2015.
This can only...
Ni kwamba kutakuwa na barua zinazodaiwa za chadema zinazoonyesha uteuzi wa wagombea, na wagombea halisi kukataliwa kuchukua fomu. Mfano: Chadema inampitisha John Mnyika kugombea kibamba, anaenda...
Kwa yoyote mwenye kufuatilia mienendo ya kisiasa na kiserikali atakubaliana na mimi kwamba Magufuli siyo mpenzi kihivyo wa demokrasia. Hili siyo tusi wala lawama, ni mtazamo wangu kuhusu mtazamo...
*MWIGULU UMEJIMALIZA MWENYEWE , USITAFUTE MCHAWI GIZANI*
Nimefuatilia sana mijadala hapa jukwaani kuhusu Mwigulu Nchemba kuelekea uchaguzi mkuu wa 2020 Mwigulu akitamba kwa kujiita Mamba . Kwa...
Asalam,, Corona itapita . na uchaguzi utafanyika Inshaalah. iwe mwaka huu ama mwaka wowote ule, Allah akinilinda na kunipa uhai huu ndo utakua mustakabali ya kura yangu.
SITOMPA KURA YANGU...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.