Uchaguzi 2020 Mwigulu Nchemba Iramba kwanuka, Asutwa

Kidugu

Member
Apr 19, 2020
23
38
*MWIGULU UMEJIMALIZA MWENYEWE , USITAFUTE MCHAWI GIZANI*

Nimefuatilia sana mijadala hapa jukwaani kuhusu Mwigulu Nchemba kuelekea uchaguzi mkuu wa 2020 Mwigulu akitamba kwa kujiita Mamba . Kwa tafsiri ya haraka Mamba ni mnyama anayeua binadamu na wanyama wengine bila huruma , kwa msiomjua Mwigulu halisi tulieni niwaeleze , ni kweli Mwigulu sio binadamu wa kawaida , ni mtu mwenye roho ya uuaji , roho mbaya , mwenye majivuno , mwenye majigambo , mwenye kulewa madaraka , mwenye tamaa na asiye na uzalendo wowote kiuhalisia . nasema haya kwakuwa nina uhakika nayo kwa kiasi kikubwa sana .

MWIGULU SIO KIONGOZI

Ukimfuatilia Mwigulu nyendo zake zote tangu alipoupata ubunge mwaka 2010 utakubaliana nami kwamba jamaa sio kiongozi anayeweza kuonyesha njia kwa watu wake badala yake amekuwa mwigizaji na mwenye kupenda sifa na kuabudiwa , mfuatulie anapozungumza amejawa ubabe na husuda nyingi .

wananchi wa dunia Leo hawahitaji kuonyeshwa magofu ya madarasa na mabweni , haya ni mambo ya kawaida sana yanafanywa na Halmashauri . Mwigulu kwa miaka 10 hana mradi wowote wa kimkakati unaoweza kubadili maisha ya wananchi kiuchumi pamoja na yeye kujiita mchumi mbobezi . anachokifanya ni kujenga jamii ya kumwabudu kwa kuwakodi , kutembeza gari jimboni lenye mziki mkubwa likiwa linamwimba yeye na kumtukuza . hapendi kukosolewa kabisa anaweza kuua mtu asitudanganye hapa whatsaap .

*MWIGULU MIKONO YAKE INANUKA DAMU*

Kwa msiojua mambo ya gizani nawaonea huruma sana , Mwigulu huyu ananuka DAMU za watu ambao ni watanzania wenzetu , ameshiriki vikao vingi vya mipango ovu dhidi ya watanzania na mwenye vikao hivyo Mwigulu amenukuliwa akiweka option ya kuua watu akitumia neno USIBISHANE NA SHETANI .

Mwaka 2012 mmesahau ? mkutano wa chadema uliopigwa mabomu Arusha na watu kadhaa kuuawa ilikuwa ni mipango na pendekezo la Mwigulu akiwa naibu katibu mkuu wa ccm . alifanya kikao Arusha na vyombo vya Dola na kutoa pendekezo hilo tena kwa vitisho baada ya askari kushauri kwamba kutumia mabomu ya kivita kuua ni hatari kwa amani ya nchi yetu , Mwigulu ananukuliwa kumjibu kama hutaki kazi Vua sare .

Mwisho wa siku mkutano wa kufunga kampeni Arusha ulipigwa mabomu ya kivita na kumwaga DAMU za watu .
Uchaguzi mdogo Arumeru na Kalenga oparesheni zote za kudhuru na kuumiza watu ziliongozwa na Mwigulu , sio muumini wa democracy hata kwa sekunde moja , anaamini katika kuua ili ashinde .Rais Jakaya Kikwete hakupendezwa na mambo haya na kuonya kwamba Mwigulu anaenda ndivyo sivyo .

*MWIGULU NI MLA RUSHWA NA MWIZI*

Mwigulu akiwa waziri wa mambo ya ndani alifanya ufisadi mkubwa sana wa kukwapua pesa toka kwa makamanda wa polisi wa mikoa , alidai pesa kwa nguvu alizotumia kuwekeza kwenye team yake ya Singida United kwa lengo la kujikweza zaidi , alipotumbuliwa uwaziri na team ikafa . wakati Fulani Rais Magufuli amewahi kunukuliwa akihoji waziri anapata wapi mapesa ya kuanzisha team ya mpira ? Wakati yeye Rais hana uwezo huo . aje hapa aeleze alipata wapi pesa za kuendesha singida United na kwanini alipotumbuliwa team ikafa kifo cha mende ?

*MWIGULU ANA TAMAA ILIYOPITILIZA , UROHO , ULAFI NA UBINAFSI*

Wanaofikiri Mwigulu ni presidential material wako wrong kwa kiasi kikubwa sana , amepekuliwa vya kutosha sana na kubainika amejawa uroho hadi kutamani kupanga mipango ya kumpindua Rais aliyepo madarakani , Mwigulu alipoupata ubunge mwaka 2010 na kuingia bungeni akaanza harakati za Urais 2015 , akaunda genge la vijana ndani ya ccm kazi yao ikawa kumpamba na kumuimba mapambio yote ya uongo akiitwa Sokoine wa II , Mara field marshal na upuuzi mwingi ambao kiongozi makini hawezi kuufanya , rejeeni genge la akina JULIANA SHONZA, MTELA MWAMPAMBA , HABIBU MCHANGE , NYAKARUNGU na wengine wengi ambao Leo hii wamegeuka kumpinga Mwigulu hadharani kwakuwa wanamjua maujinga yake yote.

Baada ya mwaka 2015 alipofanya vurugu za kila aina Jimboni Iramba kwa kuiba mabox ya kura, rushwa na kuwakamata wagombea wenzake kwa kivuli chake cha Naibu waziri na kuwasweka ndani alifanikiwa kushinda kwa hila nyingi na kutamka kwamba yuko tayari kusikia watu wamevunjika miguu illi Mwigulu ashinde Ubunge .haya ametamka hadharani kabisa .

Akiwa waziri wa kilimo na baadaye waziri wa mambo ya ndani Mwigulu alianza harakati za kuutafuta URAIS kwa kuomba mialiko mingi ya shughuli za kidini na matukio mbalimbali hadi kuathiri utendaji wake wa kazi , akawa bize mno na mipango ya Urais na kujisahau kazi aliyopewa kumsaidia Rais , akaota sharubu na kujiona mwamba , akaonywa Mara kadhaa akajifanya jeuri , sasa anachati whatsaaap masaa 24 akiwa mbunge wa kawaida . akiwa waziri alikuwa hajibu meseji wala hachat whatsaap na simu alikuwa hapokei kabisa . maisha ni kama gwaride .

MWIGULU HAJASAIDIA WANA SINGIDA .

Huyu Mwigulu mnayemuona ana roho mbaya sana na hapendi kusaidia watu wa Singida , asiwazuge kwa kupiga picha na rundo la watoto wadogo ( fake life hiyo ) watu wengi wa Singida walijaribu kuomba msaada kwa Mwigulu alikataa kuwasaidia na hapokei simu , sizungumzii msaada wa fedha , msaada tu wa connection za ajira kwa vijana alikataa kutoa ushirikiano , wapo waliomuomba msaada tu mdogo wa uhamisho ndani ya wizara ya mambo ya ndani alikataa kabisa , alikuwa tayari kuwasaidia watu wa makete huko Iringa na kuwakana ndugu zake wa Singida.

Part 2.......nitaeleza jinsi Mwigulu anavyopanga mipango ya kuhamia upinzani endapo atapoteza nafasi ndani ya CCM , kwa sasa kimwili yuko CCM ila kiroho yuko upinzani .
 
Imeandikwa:
“Mungu huwapinga wenye kiburi”

Binadamu ukianza kuwa kiburi ujue unajiingiza kwenye mapambano na Mungu mwenyewe naye huanza kukupinga

Sasa pata picha upingwe na Mungu hapo itakuwaje?!

Bora upingwe na binadamu kuliko kupingwa na Mungu!

Kupingwa na Mungu ni mtihani mkubwa usio kifani!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
umesahau uchaguzi mdogo igunga
 
hata simu za watu waliomsaidia kweli alikuwa hapoe he was very arrogant majibu mauwaji ya Aquilina pia alikuwa mtu asiyejali utu
 
N

Duuuh hatari sana.
 
Back
Top Bottom