Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

2011-Kwenye Uchaguzi mdogo wa Ubunge- Jimbo la Igunga.Musa Tesha-Kada wa CCM akatolewa Mbuzi wa Kafara na wao kwa kumwagiwa Tindikali usoni ..ili tu CHADEMA ihusishwe kwa Ugaidi huo ifutwe...
13 Reactions
56 Replies
882 Views
Naona sasa tunakoelekea siyo penyewe ndugu watanzania. Msikilizeni huyu mshikaji ============= Linusu Kimario, mkazi wa Kipawa, Dar es Salaam, amedai kupigwa na kundi la waendesha bodaboda zaidi...
23 Reactions
65 Replies
1K Views
Uchunguzi wa Kina · JICHO La Afrika 2026 | Makala ya Uchunguzi Uchunguzi Maalum NA ITS MALEKOGJ. malekoj27@gmail.com 0798888486 Ford Foundation: Siri Zilizofichwa kwa Miaka 70 — Jinsi...
2 Reactions
2 Replies
208 Views
Katibu Mkuu wa UDASA, Dk. Dominicus Makukula, amesema wakati alipomtembelea Dk. Melikisedeki Kaijage, Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) anayekabiliwa na kesi ya ugaidi, alitoa ujumbe mmoja...
13 Reactions
99 Replies
2K Views
Tangu kale, mwanadamu amekuwa akitafuta maana ya kuwepo kwake kupitia mahusiano na wenzake. Hata hivyo, pale ambapo jamii zinapokutana na mipaka ya kijiografia, dhana ya utu mara nyingi humezwa na...
2 Reactions
9 Replies
81 Views
IMANI YA CHAMA CHA MAPINDUZI Imani ya Chama Cha Mapinduzi imejengwa katika misingi mikuu mitatu: 1. Binadamu wote ni sawa. 2. Kila mtu anastahili heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake...
1 Reactions
8 Replies
58 Views
Kuwaambia vijana maskini wanadamane M29 Ilikuwa upumbavu uliyopitiliza sana .kwa sababu hizi zifuatazo: 1.unawezaje kuzuia uchaguzi siku ya uchaguzi? yani watu wametumia muda wao ,peza zao...
0 Reactions
22 Replies
120 Views
Kila mkoa nchini Tanzania una hadithi yake ya ardhi. Kijiji kinachoambiwa kihame kwa ajili ya uwekezaji. Familia inayonyang'anywa ardhi ya mababu kwa sababu haina hati. Mwekezaji wa kigeni...
3 Reactions
19 Replies
289 Views
Nauliza tu kwa sababu kisiasa January Makamba anamzidi Membe wa 2015 na 2020 Nawatakia Dominica njema 😄🙏✔️
3 Reactions
46 Replies
2K Views
Akiongea na Wakili TV Revocatus Kuuli wakili wa mahakama ya ICC amesema "Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) inaweza kumshtaki hata Rais akiwa madarakani" Afafanua hali hiyo, je wafungwa...
8 Reactions
35 Replies
1K Views
Mwenyekiti Mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Mbeya, Joseph Mwasote maarufu ‘China’, amesimulia mkasa mzito uliomfika akieleza jinsi alivyotwaliwa katika mazingira ya...
2 Reactions
9 Replies
254 Views
Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe Jumapili ya leo nikizungumzia kitu kinachoitwa national pride, ambacho Tanzania tulikuwa nayo enzi za Nyerere. Kwenye umasikini, kuna...
3 Reactions
14 Replies
280 Views
Aibu utaona wewe baada ya kuonya juu ya Upigaji wa CHADEMA sasa ni uthibisho tosha tone kwa tone ilishatimia mda mrefu na viongozi hawataki tena kutoa feedback kwa wananchi kwani wanahisi...
1 Reactions
6 Replies
79 Views
Katika mfumo wa demokrasia, maandamano ni haki ya kikatiba inayotambulika wazi katika Ibara ya 18 na 29 za Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Haki hii inahusisha uhuru wa kujieleza na...
0 Reactions
1 Replies
314 Views
Wakati tunakabidhiwa uhuru 1961 hatukuwa na huu mfumo wa siasa na utawala kama tulionao sasa wa Rais kuhodhi madaraka makubwa kupitiliza. Tulikuwa na mfumo wa kibunge naweza kusema hivyo kama...
9 Reactions
235 Replies
2K Views
Nimemsikiliza mzee Butiku hivi karibuni akiwataka vijana kupuuza ushauri wa wanasiasa wanaodai Haki, Uwajibikaji na Katiba ya Wananchi (anaouita ni ushauri potoshi), badala yake anawaasa vijana...
4 Reactions
17 Replies
224 Views
Tatizo kubwa lililopo sasa ni moja tu,viongozi wetu wamediliki kuisigina misingi na miiko ya kimaadili ya uongozi wa nchi yetu Tanzania na Chama cha Mapinduzi CCM. Twende na rejea hotuba ya baba...
2 Reactions
2 Replies
310 Views
Kama hamtaki kuwa chama cha siasa ambacho sifa mojawapo ni kupingwa mitizamo na misimamo yake, basi vunjeni chama chenu ili wenye uwezo wa kuvumilia kukosoana wasonge mbele kuijenga nchi yetu...
9 Reactions
21 Replies
384 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…