Dr Adam Francis
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 703
- 1,143
IMANI YA CHAMA CHA MAPINDUZI
Imani ya Chama Cha Mapinduzi imejengwa katika misingi mikuu mitatu:
1. Binadamu wote ni sawa.
2. Kila mtu anastahili heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake.
3. Ujamaa na kujitegemea ndiyo njia pekee ya kujenga jamii ya watu walio sawa na huru.
AHADI ZA MWANACHAMA WA CHAMA CHA MAPINDUZI
Kila mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi anaahidi:
1. Binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja.
2. Nitaitumikia nchi yangu na watu wake wote.
3. Nitajitolea nafsi yangu kuondosha umaskini, ujinga, magonjwa na dhuluma.
4. Rushwa ni adui wa haki; sitapokea wala kutoa rushwa.
5. Cheo ni dhamana; sitatumia cheo changu wala cha mtu mwingine kwa faida yangu.
6. Nitajielimisha kwa kadiri ya uwezo wangu na kuitumia elimu yangu kwa faida ya wote.
7. Nitashirikiana na wenzangu wote kujenga nchi yetu.
8. Nitasema kweli daima; fitina kwangu mwiko.
9. Nitakuwa mwanachama mwaminifu wa CCM na raia mwema wa Tanzania na Afrika.