Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,835
- 50,523
Kama hamtaki kuwa chama cha siasa ambacho sifa mojawapo ni kupingwa mitizamo na misimamo yake, basi vunjeni chama chenu ili wenye uwezo wa kuvumilia kukosoana wasonge mbele kuijenga nchi yetu kupitia vyama vya siasa.
