Miezi michache mwaka huu Nchi yetu inaingia Kwenye Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani.
Sioni mgombea wa kufua Dafu kwenye kinyang'anyiro cha Rais zaidi ya mgombea kutoka Chama Tawala Dr...
Awali ya yote, mtakaokwazika mtanisamehe tu. Kwa sababu kichwa kikuu cha mada hii imebebwa na maneno magumu na makali kidogo.
Imebidi iwe hivi kwa sababu nimetafuta maneno mbadala ili ujumbe ama...
1. Tundu Lissu umetangaza nia ya kugombea Urais lakini hukuweka wazi nia yako ya kuutaka Urais, badala yake umeanza na kampeni ya kusema mengi unayodhani Rais Magufuli amekosea.
2. Hujaweka wazi...
1: Tundu Lissu kuwekewa pingamizi ya kugombea Urais
2: Zanzibar kuwekwa mgombea ambaye ataunga mkono kubadilishwa kwa katiba na kuongezwa muda kwa Rais wa JMT.
3: Kuchezea uchaguzi na kushinda...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Kitila Mkumbo Kupitia Akaunti yake ya Mtandao wa Twitter Ametangaza katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa Kufanyika Oktoba Mwaka huu.
Uamuzi huo ameutoa wakati akijibu...
Nimeshangazwa sana na huu msimamo wa wana Kilombero kwamba ubunge wanakwenda na Aboubakary Asenga na kwamba Lijualikali arudie kazi yake ya kupanga vitabu Kanisani.
Wandamba kweli makauzu pamoja...
Naomba nionyeshe mapendekezo yangu juu ya Spika ajae katika Bunge letu laJamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Nadhani mwanadada Tulia Ackson anafaa kuwa Spika wa Bunge letu la JMT mwaka 2021.
Ila...
"I can't breath" ni kauli aliyoitoa George Floyd wakati askari mmoja huko marekani alipomkamata na askari huyo kuweka goti lake katika shingo ya George Floyd, jambo lililosababisha akose hewa...
Uchaguzi Mkuu Tanzania ni mwaka huu wa 2020, bila shaka wako watanzania wenzetu watapenda kuwania kiti cha Urais wa Tanzania. Sisi wasaka tonge tuna yetu mengi ya kuwaambia wenzetu wenye ndoto za...
Naomba nianze na kudeclare interest. Mimi sio mshabiki wa CCm wala Magufuli. Ni mshabiki wa vyama vingi. Napenda utawala wenye viongozi wenye maono au challenge mbalimbali.
Tunavyoelekea uchaguzi...
1. KESSy yule wa rukwa.. kazi kubwa anayo fanya ni kujipendeleza kulinda biashara yale ya maji.. Hillwater. Juzi anasema katiba ni maandishi ambayo tunaweza yafuta wakati wowote.
2. Msukuma...
Maandiko matakatifu yanasema "anaeua kwa upanga,atakufa kwa upanga" na Waswahili wanasema "Mungu si Athumani".Pia kuna msemo:" Mungu hadhihakiwi."
Kwa kuzingatia misemo hiyo na kwa kuzingatia...
CHADEMA kama mnataka msidumbukie shimo kaeni mbali na Lissu mtakiua chama akigombea Urais
Kwa sababu Lissu amekuwa ni mtu wa jazba asiyedhibiti emotional za ndani.
Ana chuki na vyama vingine vya...
Moja ya sababu kubwa ya kuangusha utawala huu wa CCM ni hili la kuleta kwa hati ya dharula muswaada was marekebisho ya sheria ili kuongeza wigo wa viongozi wavunja sheria na Katiba kutoshtakiwa...
Chama cha Upinzani cha CHAUMMA, kimetangaza rasmi kushiriki Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu.
Mwenyekiti wake, Hashim Rungwe Spunda amesema wanavikaribisha vyama vingine kuungana nao...
Ni wazi sasa mpambano ni kati ya wanasiasa hawa.
Kulikuwa na tetesi kwamba Joseph Selasini angekimbia Chadema kumkwepa kada mahiri wa Chadema,ndugu Malisa, na ndivyo ilivyotokea
Hatari iliyopo...
Mwenyekiti wa DP Mkoa wa Mara Mh Chrisant Nyakitita , leo amejitokeza mbele ya vyombo vya habari na kutangaza nia ya Kugombea Urais wa Tanzania kwenye uchaguzi wa Oktoba .
Wagombea wanaojitokeza...
MAJIBU YA KATIBU MKUU WA ACT WAZALENDO ADO SHAIBU ALIPOULIZWA KUHUSU KAULI YA CHADEMA KUSIMAMISHA WAGOMBEA ZANZIBAR.
Kwenye Mkutano wake na waandishi wa habari, Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu...
Kuna watu makini nadhani yawezakuwa wanabanwa na katiba ama hawana interest na siasa lakini wakiamua, wanauwezo mkubwa was kuleta ushindani na kushinda kwenye nafasi ya uraisi kwa UCHAGUZI wowote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.