Uchaguzi 2020 Naomba Mungu hawa wabunge wa CCM wasirudi Bungeni

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,108
18,325
1. KESSy yule wa rukwa.. kazi kubwa anayo fanya ni kujipendeleza kulinda biashara yale ya maji.. Hillwater. Juzi anasema katiba ni maandishi ambayo tunaweza yafuta wakati wowote.

2. Msukuma: Kazi yake kubwa bungeni ni kujipendekeza kulinda biashara zake za mabasi na madini.. Hajawahi ongea point yenye mtazamo wa kimkakati kwa taifa.

3. Lusinde: Anafuga kitambi tuu bungeni na kutukana wapinzani. Hajawahi ongea point kuguza mikakati ya kitaifa.

4. Lijuakali: Msaliti na haaminiki, kazi yake kubwa imekua kutukana chadema na mbowe.

5. Sanga: Makambako anakula tuu pesa ya serikali.. tukio lake la mwisho bungeni alikata mauno aliposikia sifa ya kuwa mbunge ni kusoma na kuandika.

6. Mlinga: Anakula tuu kodi ya wananchi ya kuleta mizaha bungeni na kutukana wapinzani.

7.

8.

9

10.

Tanzania tusipp jirekebisha itachukua miaka zaidi ya 50 kurudi kwenda mstari.
FB_IMG_1591697536045.jpeg
 
1. KESSy yule wa rukwa.. kazi kubwa anayo fanya ni kujipendeleza kulinda biashara yale ya maji.. Hillwater. Juzi anasema katiba ni maandishi ambayo tunaweza yafuta wakati wowote.

2. Msukuma: Kazi yake kubwa bungeni ni kujipendekeza kulinda biashara zake za mabasi na madini.. Hajawahi ongea point yenye mtazamo wa kimkakati kwa taifa.

3. Lusinde: Anafuga kitambi tuu bungeni na kutukana wapinzani. Hajawahi ongea point kuguza mikakati ya kitaifa.

4. Lijuakali: Msaliti na haaminiki, kazi yake kubwa imekua kutukana chadema na mbowe.

5. Sanga: Makambako anakula tuu pesa ya serikali.. tukio lake la mwisho bungeni alikata mauno aliposikia sifa ya kuwa mbunge ni kusoma na kuandika.

6. Mlinga: Anakula tuu kodi ya wananchi ya kuleta mizaha bungeni na kutukana wapinzani.

7.

8.

9

10.

Tanzania tusipp jirekebisha itachukua miaka zaidi ya 50 kurudi kwenda mstari.View attachment 1474097
Mtahangaika sana mwaka huu,mchezo wa movie la kitoto limebuma. Watanzania walikwishawapuuza mmezowea kudanganya lakini kila jambo lina mwisho wake hapa duniani.
Mtaumbuka sana...kiongozi anapiga konyagi kuondoa stress halafu inamzidi nguvu..acheni hizo nendeni takukuru mkatowe ushahidi wa 8bln.

Halafu mnataka kutuletea ushoga tz duh! Hii huwa inamaanisha nini!
FB_IMG_1591479815656.jpeg
Mawe%20Rashidi%2C%20profile%20picture_20200607_2.jpeg
 
Naomba mungu asipokee dua yako mbaya inayo taka iminye haki ya Wananch wa Tanzania Kwan watanzania wote wanataka Rais magufuli aendelee
 
Mi nashauri wapigwe chini hasa huyo wa mlinga hajafanya chochote jimboni kwake yani ..saizi kuleta maswala ya kuvuliwa barakashia tyuu
 
Back
Top Bottom