Uchaguzi 2020 Kabla ya Uchaguzi Mkuu wa baadae mwaka huu, Mungu atatufuta machozi wapinzani kwa kuangusha mbuyu

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,013
144,371
Maandiko matakatifu yanasema "anaeua kwa upanga,atakufa kwa upanga" na Waswahili wanasema "Mungu si Athumani".Pia kuna msemo:" Mungu hadhihakiwi."

Kwa kuzingatia misemo hiyo na kwa kuzingatia machozi,machungu na kilio cha watu wake,Mungu atajibu kadri atavyyona inafaa na anaweza kujibu kwa kuangusha "mbuyu" na kuwafuta machozi wale wote ambao leo hii ni kama watoto wa kambo katika familia yenye wazazi au mzazi katili.

Waacheni waendelee kubeza na kukejeli wanaoteseka na maumivu kanakwamba wao waliongea na Mungu ila ipo siku Mungu atawajibu kwa vitendo tena probably kabla ya uchaguzi mkuu.

Hata ikitokea uchaguzi unapita pasipo mbuyu kuangushwa,anguko halikwepeki kwani malipo ni hapa hapa duniani.

Muda utasema.
 
NILIWAKUTA VIPOFU WAWILI WANAPIGANA MARA NIKAPIGA KELELE WEWE MBONA UNAPIGANA NA MWENZIO HUKU UMESHIKA KISU NA MWENZIO HANA? HUWEZI AMINI WALE VIPOFU WAWILI WALIKIMBIA KILA MMOJA NA NJIA YAKE
 
IMG-20200609-WA0004.jpg
 
Maandiko matakatifu yanasema "anaeua kwa upanga,atakufa kwa upanga" na Waswahili wanasema "Mungu si Athumani".Pia kuna msemo:" Mungu hadhihakiwi."

Kwa kuzingatia misemo hiyo na kwa kuzingatia machozi,machungu na kilio cha watu wake,Mungu atajibu kadri atavyyona inafaa na anaweza kujibu kwa kuangusha "mbuyu" na kuwafuta machozi wale wote ambao leo hii ni kama watoto wa kambo katika familia yenye wazazi au mzazi katili.

Waacheni waendelee kubeza na kukejeli wanaoteseka na maumivu kanakwamba wao waliongea na Mungu ila ipo siku Mungu atawajibu kwa vitendo tena kabla ya uchaguzi mkuu.

Hata ikitokea uchaguzi unapita pasipo mbuyu kuangushwa,anguko halikwepeki kwani malipo ni hapa hapa duniani.

Muda utasema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ameeeeeeeeeeeeen Ameeeeeeeeen....Na iwe hivyo in Jesus name.
 
Utawala huu umekuwa wa kishenzi sana, tulipofikia hakuna tofauti na ule utawala dhalimu wa Dikteta Nduli Idd Amin. Magufuli atambue tu kwamba hata yeye hatoishi milele, na huenda kifo chake kikawa ni SHEREHE KWA WENGI.
 
Maandiko matakatifu yanasema "anaeua kwa upanga,atakufa kwa upanga" na Waswahili wanasema "Mungu si Athumani".Pia kuna msemo:" Mungu hadhihakiwi."

Kwa kuzingatia misemo hiyo na kwa kuzingatia machozi,machungu na kilio cha watu wake,Mungu atajibu kadri atavyyona inafaa na anaweza kujibu kwa kuangusha "mbuyu" na kuwafuta machozi wale wote ambao leo hii ni kama watoto wa kambo katika familia yenye wazazi au mzazi katili.

Waacheni waendelee kubeza na kukejeli wanaoteseka na maumivu kanakwamba wao waliongea na Mungu ila ipo siku Mungu atawajibu kwa vitendo tena kabla ya uchaguzi mkuu.

Hata ikitokea uchaguzi unapita pasipo mbuyu kuangushwa,anguko halikwepeki kwani malipo ni hapa hapa duniani.

Muda utasema.
Mungu hamfichi mnafiki, kuna siku atatenda !
 
Eeenh, mkuu Salary, haya machozi..., futa machozi mkuu komaza uso na uma meno; Tazama mbele na uwe tayari kuendeleza mapambano.

Hiki ulichoweka hapa hakina tofauti na yale maombi ya siku tatu mfululizo.
 
Lema aliwahi kupata maono kama haya na akaita waandishi wa habari akisema JPM atakufa kabla 2020 lakini uzuri ni kwamba maono ya kishetani huwa ni ngumu sana kutimia.

Leo na wewe pia umekuja na maono mengine ambayo nina hakika ni ya kishetani pia.
Muda ni mwalimu mzuri ngoja tusubiri.
 
Back
Top Bottom