Uchaguzi 2020 Ubunge wa Rombo: Ni mpambano kati ya Joseph Selasini dhidi ya Godlisten Malisa

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
11,999
20,647
Ni wazi sasa mpambano ni kati ya wanasiasa hawa.

Kulikuwa na tetesi kwamba Joseph Selasini angekimbia Chadema kumkwepa kada mahiri wa Chadema,ndugu Malisa, na ndivyo ilivyotokea

Hatari iliyopo ni mgawanyiko wa kura za wapinzani, ambayo ndio kazi aliyopewa ndugu Joseph Selasini,ili "wote tukose"

Hali ya ndugu Selasini jimboni ni mbaya akituhumiwa usaliti na kutoleta maendeleo yoyote.

Muda si mrefu, kikosi mahiri cha vijana wa Bavicha watapiga kambi jimboni kusafisha mabaki ya ndugu Selasini.
 
Selasini kawa ishirini,kuna majina yana laana
 
Ka Malisa kanampiga asubuhi na mapema!
 
Malisa hawezi kugombea Ubunge wala hata Udiwani kule Rombo.

Kuna siasa za Uzawa mkoani Kilimanjaro.. Kama siyo mzaliwa wa eneo husika ni vigumu kwa wazawa kukuelewa.
 
Kuna kijana si muda mtamuona mrombo makini
Chato electoral comission
Watamuelwa tuu,alishajijenga siku mingi
Ka Malisa kanampiga asubuhi na mapema!
Kaka Chadema wasifanye hilo kosa...
Warombo nawajua vizuri
Kuna kijana si muda mtamuona mrombo makini
Uzuri K’Njaro watu wana uelewa na wanaweza kubadili chama chochote wako kama watu wa Uingereza au Marekani ndio maana wapo mstari wa mbele kwenye siasa za upinzani wakati watanzania wengine bado wanafikiri ccm ni jina jingine la Tanzania.
 
Back
Top Bottom