Watu wanaombea Dkt na Waziri wa Sheria na Katiba Lameck Madelu Mwigulu Nchemba akatwe na Halmashauri Kuu ili asigombee Ubunge ili apate nafasi ya kujijenga akisubiri mpaka 2025 aje kugombea Urais...
Licha ya Mrisho Gambo kuenguliwa nafasi ya Ukuu wa Mkoa wa Arusha,jambo hilo limeonyesha kutomtikisa hata kidogo kwani kwa sasa ndio kwanza ameendelea kujidhatiti kwa kuendesha vikao vya kujijenga...
Hiyo ndio kauli ya mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam ndugu Paul Makonda akiwataka waendesha boda boda wajitokeze kuchukua fomu kugombea nafasi mbali mbali katika uchaguzi mkuu kupitia CCM.
Anasema...
Upepo unaonesha kwamba chadema wanaweza wasipate hata mbunge lakini watakacho kipanda kwa watanzania kitakuwa kikubwa sana .
Mtu anaekuweka moyoni ni wa maana sana kuliko mnafiki anaekuchekea...
Jimbo la Iramba limekuwa na vita vikali kati ya Mwigulu Nchemba (Mbunge wa sasa aliyewahi kuwa Waziri pia) na Katibu Mkuu wa sasa Wizara ya Maji Prof. Kitila Mkumbo. Wasomi hawa wamekuwa na...
Kwa sababu ya Corona ndege za kutoka ulaya kuja Tanzania hazipo na hazijulikani lini zitaanza
Kwenye mchakato wa uteuzi wa mgombea uraisi chadema na vyama vingine vya upinzani ni vizuri vikateua...
Ninavyomjua Dkt. JPM ni mtu mwenye huruma na pia hupenda kupendwa na kusifiwa. Magufuli hapendi atokeze mtu hata mmoja ambaye huonesha kutopendezwa naye. Ndiyo maana ukimwomba msamaha...
Umuofia kwenu!
Kuuliza ni kujifunza, hatutajua kitu ila kwa kuhoji na kudadisi. Naombeni nanyi mlione hili:
Tangu dirisha limefunguliwa, so far tumeshuhudia vyama viwili tu ulingoni, CCM na...
Nimeona humu Kuna kundi linampondea Freeman Mbowe kutangaza nia ya kugombea urais mwaka huu 2020,
Kwa maono yangu naona yupo sawa siyo kwa maana ya katiba ya nchi au chama,kwa vile mtangaza nia...
Msanii wa kizazi kipya na mwanachama wa chama cha ACT Wazalendo , rasmi ametangaza nia ya Kugombea Ubunge katika Jimbo la Ukonga Dar es Salaam kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2020.
Wakazi ambaye...
Itakuwa ni kichekesho cha mwaka kama mwenyekiti wa CHADEMA mh Mbowe atashindwa kuteuliwa kuwa mgombea urais wa chama hicho.
Mbowe alipaswa kujiuzulu kwa muda uenyekiti ili kupisha mchakato wa...
Aliandikaga SeriaJr TW tukio la 15/6/2013 watu wanadhani mh Freeman Mbowe ni awamu hii tu tunapomwita mwamba tunamaanisha
Naomba radhi kwa picha hii ya tarehe 15 Juni 2013 eneo la Soweto -...
TAKUKURU Wilaya ya Ilala acheni kutumika vibaya na Jerry Silaa.
Kila mkipigiwa kuhusu habari za huyu mtu mnatujibu vibaya, naye anatamba kama chombo hiki ni chake.
Wiki ya pili sasa anatuamsha...
Kwa Hali ya kisiasa inavyendelea kwa sasa hapa nchini nitapenda kutabili wabunge wa upinzani watakao rudi kama ifuatavyo.
1.John heche.
Huyu mbunge kwa jinsi alivyokuwa anachangia bungeni kwa...
Habari wana Jf,
Naanza kwa kusema ni kweli katiba imeruhusu sifa ya muwakilishi wa wananchi ajue kusoma na kuandika tu na sio degree lakini;
Matatizo ya wabunge ambao hawakupata elimu ya juu...
To me, Mbowe angeliacha kugombea Urais, ajenge chama, inaweza akaleta mvurugano. You stand a "better" chance to be the source /make divisions among your party members by being one of the...
Kuelekea uchaguzi mkuu October Moshi yametokea mengi kupitia wanaotaka kugombea ubunge Jimbo la Moshi mjini.kule kata za pasua na boma mbuzi madiwani wanaogawa vifaa vya kujikinga na corona wakati...
Inawezekana hii ndo haswa sababu itayofanya hii nchi kuendelea kuwa maskini milele, inawezekana pia ni jambo la kimkakati wa kisiasa kuzidi kuwatawala watu kadri upendavyo.
Kwa sababu kwa lugha...
Kitendo cha viongozi wake kuzunguka mitaani bila jambo lolote la Msingi huku wakizongwa na wafuasi waliobeba bendera za chama chao kimetafsiriwa kama ni ishara ya kuanza kampeni kabla ya muda ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.