Uchaguzi 2020 Mbio za urais 2020, tunaelewa hizi mbinu tofauti za watiania?

Ncha Kali

JF-Expert Member
Sep 19, 2019
14,384
26,733
Umuofia kwenu!

Kuuliza ni kujifunza, hatutajua kitu ila kwa kuhoji na kudadisi. Naombeni nanyi mlione hili:

Tangu dirisha limefunguliwa, so far tumeshuhudia vyama viwili tu ulingoni, CCM na CHADEMA.

Cha kustaajabisha ni hiki:

CCM tunaona watia nia wakichukua fomu, kimya kimya bila hotuba wala risala, kisha haooo kwenda kusaka wadhamini.

CHADEMA tunaona hotuba ndefu, tena mbele ya wanahabari, lakini hatuoni fomu!

Je, ni mimi tu ndo sielewi utaratibu au namna gani?

Hebu nitoeni gizani!
 
Chadema ni ubahili kwa kwenda mbele, wanasubiri pesa ya kampeni kutoka kuleee.

Kwa sasa fungu bado hawataki kupoteza senti tano yao, ukizingatia hawana tumaini!
 
Back
Top Bottom