Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,641
- 218,085
Kitendo cha viongozi wake kuzunguka mitaani bila jambo lolote la Msingi huku wakizongwa na wafuasi waliobeba bendera za chama chao kimetafsiriwa kama ni ishara ya kuanza kampeni kabla ya muda .
Hii ni kinyume kabisa cha sheria za uchaguzi ambapo kampeni zinapaswa kufanyika katika muda uliowekwa na tume huku vyama vyote vikishiriki .