Uchaguzi 2020 Madhira kwa CHADEMA yako kabla ya awamu hii

DIZZO MTAWALA

JF-Expert Member
Aug 22, 2015
240
767
IMG_6289.jpg


Aliandikaga SeriaJr TW tukio la 15/6/2013 watu wanadhani mh Freeman Mbowe ni awamu hii tu tunapomwita mwamba tunamaanisha

Naomba radhi kwa picha hii ya tarehe 15 Juni 2013 eneo la Soweto - Arusha.

Kamanda mwenye tisheti nyekundu hapo ni Katibu wa Mbunge Godbless Lema, anaitwa Gabriel Kivuyo yuko ICU kwa siku ya tatu sasa hazungumzi kwasababu aliumia vibaya kichwani na miguu yote haina kazi! Tumuombee Mungu ampe uzima aendelee kulitumikia taifa.. Its so sad kwamba huyo mama aliyelala pembeni yake (akiwa marehemu tayari) baada ya mlipuko Kamanda Judith Moshi ndio anzikwa leo Sokoni 1, Arusha .. ni Kiongozi wa chama na kina mama na Katibu wa Chadema katika Kata hiyo. Judith ameacha mtoto wa miaka 2 aliyeza na Gabriel.. na watoto wengine wa kike wote!

Fikiria ukatili uliofanyika.. then wanataka wahusika wafichwe tu ili waendelee kufanya udhalimu..

Dr Ulimboka
Adsalom Kibanda
Kubenea na Ndimara Tegambwage
Dadi Mwangosi
Mauaji Januari 5, 2011 Arusha
Mwenyekiti aliyechinjwa Usa River
Waandishi wengine
Prof Mwandosya
Dr Mwakyembe...

ikiachwa hivi hivi utakuwa ni utamaduni sasa!!
 
Back
Top Bottom