Uchaguzi 2020 Mbowe alipaswa kujiuzulu uenyekiti kwa muda ili kuwepo na usawa kwa wagombea urais CHADEMA!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,840
141,763
Itakuwa ni kichekesho cha mwaka kama mwenyekiti wa CHADEMA mh Mbowe atashindwa kuteuliwa kuwa mgombea urais wa chama hicho.

Mbowe alipaswa kujiuzulu kwa muda uenyekiti ili kupisha mchakato wa kumpata mtu atakayepeperusha bendera ya Chadema kwa nafasi ya Rais katika uchaguzi mkuu.

Kwa hali ilivyo sasa hapatakuwa na Usawa na hao wagombea wengine 10 watakuwa wanamsindikiza mwenyekiti.

Maendeleo hayana vyama!
 
Itakuwa ni kichekesho cha mwaka kama mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe atashindwa kuteuliwa kuwa mgombea urais wa chama hicho.

Huyo wa kwenu amejiuzulu? Hivi huko CCM hamna mambo ya maana ya kujadili yanayohusu chama chenu? Maccm woooooote humu JF mnaijadili Chadema, Mbowe na Lissu tu. Mna boa sana.
 
CHADEMA inazikwa kwa sababu ya MBOWE
 
mbowe anakugongaga nyuma nini, dume zima na mandevu yako unaangaika na mwanaume mwenzako kila siku.....!
 
Umeona, eh... Halafu Mbowe mwenyewe anaonekana halioni hilo. Ni kama Lipumba anavyokufa na CUF. Nawashangaa sana hawa wawili. Mbowe alipoona akina Lissu, Nyalandu, Msigwa... wamegombea, naye akatia jina lake! Alikwishajaribu huko nyumba akashindwa. Sasa badala ya kuwaachia wenzie, ameamua kuwaharibia. Halafu atawambia kuwa wanajaribu sumu kwa kuionja!
CHADEMA inazikwa kwa sababu ya MBOWE
 
Itakuwa ni kichekesho cha mwaka kama mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe atashindwa kuteuliwa kuwa mgombea urais wa chama hicho.

Mbowe alipaswa kujiuzulu kwa muda uenyekiti ili kupisha mchakato wa kumpata mtu atakayepeperusha bendera ya Chadema kwa nafasi ya Rais katika uchaguzi mkuu.

Kwa hali ilivyo sasa hapatakuwa na Usawa na hao wagombea wengine 10 watakuwa wanamsindikiza mwenyekiti.

Maendeleo hayana vyama!
CDM kuna demokrasia, wagombea 11 wamejitokeza na wanajua wanafanya nini na inajulikana kwanini Mbowe amechukua form na atafanya nini. Ccm thubutu uchukue fomu ya urais uone. Dikteta atakumalizia mbali.
 
Mbowe Chadema ni sacoss yake.ambao mnatamani aondoke msahau,atafia pale kama mwenzie Lipumba.
 
Huyo wa kwenu amejiuzulu? Hivi huko CCM hamna mambo ya maana ya kujadili yanayohusu chama chenu? Maccm woooooote humu JF mnaijadili Chadema, Mbowe na Lissu tu. Mna boa sana.
Ninaposema wanaccm wengi waliopo JF ni watu wenye akili za kinguruwe nguruwe sieleweki.
Lakini ni bora kuishi na nguruwe wenye akili za kimtu kuliko hao watu wenye akili za kinguruwe.
Ukisoma hoja iliyotolewa unabaki kucheka tuu,
Ndio maana wanampa magu fomu za kugombea nafasi za dola! Hicho ni chama kinacho ongozwa na mwenyekiti na KM wamiliki wa PhD

IMG_20200620_215748.jpg
IMG_20200620_220002.jpg
 
Magu mbona hajajiuzulu na anagombea yeye tu,nye chama tawala mlitakiwa muwe mfano
 
Ninaposema wanaccm wengi waliopo JF ni watu wenye akili za kinguruwe nguruwe sieleweki.
Lakini ni bora kuishi na nguruwe wenye akili za kimtu kuliko hao watu wenye akili za kinguruwe.
Ukisoma hoja iliyotolewa unabaki kucheka tuu,
Ndio maana wanampa magu fomu za kugombea nafasi za dola! Hicho ni chama kinacho ongozwa na mwenyekiti na KM wamiliki wa PhD

View attachment 1484571View attachment 1484572
Bwashee kwani CCM siyo chombo cha dola?

Au inahitaji PhD kulidadavua hili......rejea sheria ya vyama vya siasa CCM ilisajiliwa lini na nani aliisajili?
 
Kwani huko ccm mwenyekiti amejiuzuru kwa muda? Mbaya zaidi huko hata fomu imetolewa copy moja tu.
Kule CCM kwanza unakuwa Rais na baadae unakabidhiwa uongozi wa chama.... Tena urais ni miaka 10 labda kama Rais mwenyewe atatosheka na mitano!
 
Back
Top Bottom