Uchaguzi 2020 Hon. Freeman Mbowe, please play altruism

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,345
73,923
To me, Mbowe angeliacha kugombea Urais, ajenge chama, inaweza akaleta mvurugano. You stand a "better" chance to be the source /make divisions among your party members by being one of the contestants. This will create a fragile environment within your party taking into consideration that the government is waging a "war" against your party!- CHADEMA. You are jeopardizing the intergrity of your party! Chadema bado ina mashikamano mkubwa, we need not create chances to jeopardize this mshikamano!

SOMETIMES AS A LEADER YOU HAVE TO PLAY ALTRUISM!

I stand to be corrected!


1592281407934.png
1592281462702.png
1592281561133.png
1592281673751.png
 
Lisu ndiye kamwibua Mbowe, Usanii tu ili hata akishindwa Mbowe basi na Lissu asilalamike kushindwa!!! Lissu siyo chaguo la Mbowe, so njia pekee ya kumthibiti ni hiyo! Ni kama ilivyokuwa kwa Lowasa na Membe mwaka 2015
 
Hahaha sasa anazugu wakati kila mtu anajua mbinu ya kugombea ukilanja shule ya msingi .hata mashana amebaini pita hapo taravela mwambie chalii akupe bia kumi nakuja kulipa
Its a democracy strategy atajitoa mwishoni na kumuunga mkono Lissu
 
Retired,
Niseme tu SIJAKUELEWA, pamoja na kurudia kusoma. Yaan akiwa mgombea hatoweza kujenga chama? Hii hulka ya kuchagua huyu agombee na huyu asigombee sio kwamba ni ya ki-CCM CCM?

Wacha demokrasia ichukue nafasi yake.
 
Back
Top Bottom