Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Niseme Ukweli Japo Kuwa Mchungu Sisi Wana CCM Bila Haya Mambo Matatu Kwa Chadema Sisi Ni Weupeee Bila Kuwahonga Wananchi Kofia Na Khanga Bila Kuandikisha Makaburi Na Kuyafanya Yanapiga Kura Bila...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Kwa jinsi nilivyomsikiliza mh Nyalandu Leo ni dhahiri kuwa ndiyo mgombea rasmi Kwa tiketi ya CHADEMA. Hawa jamaa wametumia mbinu hatari za kijasusi sijui kama hapa hakuna mkono wa Yerico Nyerere...
11 Reactions
80 Replies
8K Views
Kama kawaida naendelea kupambanua hali ya mchuano na mtifuano mkali katika medani za siasa hasa katika kipindi hiki muhimu sana. Wakati Tundu Lissu aliyepewa jina la mbeba maono akichangisha...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Mgombea urais mtarajiwa wa Chadema mh Lazaro Nyalandu kesho saa 11.00 jioni atazindua kampeni zake za kutafuta kuteuliwa na chama chake jijini Mwanza. Nyalandu ataendesha kampeni zake kwa njia ya...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Hicho ndicho kilio cha wana Morogoro mjini walio wengi. Wanalalamika uwakilishi usiokata kiu ya maendeleo ya wakaazi wa Jimbo hilo. Wasomi na wasio wasomi, hii inajumuisha pia...
3 Reactions
53 Replies
4K Views
Habari wana Jf, Thread hii ni maalum ya kupeana updates za watu waliochukua form za nia ya kugombea nyadhifa tofauti tofauti nchini kuelekea uchaguzi mkuu #2020. 1) Dr. John Pombe Magufuli (Form...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Wanajamvi salama? Wakati joto la uchaguzi likizidi kupanda hatimaye mkuu wa mkoa wa Morogoro bwana Loata Sanare amediriki kuwa nje ya kituo chake cha kazi mwezi mmoja sasa Nilizozipata asubuhi...
7 Reactions
86 Replies
10K Views
Nimefanya utafiti wangu binafsi ndani jimbo la Tarime Vijijini, jimbo hili linaenda kurudi Chadema chini ya kamanda John Heche, kama haitawezekana basi watamtanganza mbunge wa ccm kibabe, hali...
5 Reactions
15 Replies
3K Views
Ni kweli hatuna Tume Huru na bila shaka ni kweli kuna hujuma zinapangwa (naona hata Lema kagusia hili la hujuma kupitia Twitter) ila pamoja na yote haya, plan waliyonayo na wasioweka wazi ni...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
WANACHAMA 2,565 WAJITOKEZA KUMDHAMINI DKT. MAGUFULI RUANGWA Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishuhudia wakati mwanachama wa CCM, Jacob Masumbuko alipotia saini fomu ya kumdhamini, Rais Dkt. John...
5 Reactions
27 Replies
3K Views
Hii ni wazi CCM kupitia Polepole wamegawa Bajaji kwa vijana wa mjini Iringa, Takukuru ni jukumu lenu kuangalia kama kuna uhusiano wa bajaji, Msigwa na uchaguzi. Bajaji hizi si za kuzitafuta kwani...
5 Reactions
55 Replies
5K Views
Najiuliza tu katika mazingira ya kawaida ya kibinadamu kwamba inawezekana msimamizi wa uchaguzi ambaye ni kada wa CCM kumtangaza mshindi mgombea ubunge au udiwani wa CHADEMA? Kiukweli wapinzani...
6 Reactions
38 Replies
3K Views
Bora abaki yule yule mwana Hip hop kuliko huyu CCM wamtakaye. 1. CCM itaamua nini kifanyike Mbeya Mjini bila msemaji wao kwani tayari atakuwa spika na yupo chini ya nyayo za mkuu solotep mdomoni...
3 Reactions
39 Replies
4K Views
Leo DR Tulia ambaye Ni naibu Spika alikula Chakula Cha mchana kwa mamaNtilie Jijini Mb eya. Kabla ya kuhitimisha vikao vya bunge alisema atagombea mwaka huu sisi HATUJUI ni Jimbo gani lakini...
9 Reactions
69 Replies
7K Views
Hili jambo lipo wazi sana. Nadhani hata Joseph Mbilinyi mwenyewe ameanza kugundua. Sidhani kama atakuwa so naive not to realise that fact. Mbeya Mjini wamejifunza mengi sana katika kipindi cha...
2 Reactions
4 Replies
712 Views
Siasa haina rafiki wa kudumu,Ila ina maslahi ya kudumu. Ni mkakati wa Ccm kumrudisha Dk. Kebwe jimbo LA Serengeti. Morogoro ilikuwa mbali kujijenga kwa wanachama,pia ile sera ya chama ya mtu...
5 Reactions
16 Replies
3K Views
Kila chama kina malengo yake kwenye uchaguzi huu. 1. ACT Wazalendo Lengo lao kubwa ni kugawana majimbo na CCM Zanzibar. Hili asilimia za kufanikiwa ni asilimia 60% PLUS. Siasa za Zanzibar...
1 Reactions
0 Replies
823 Views
"Wabunge hawa walishaamua kujitenga na CUF- Chama cha Wananchi na hawajawahi kutoa Ushirikiano kwa CUF tangu muda huo na CUF iliamua kutowafukuza ili kudhibiti matumizi mabaya ya Kodi za Wananchi...
5 Reactions
41 Replies
5K Views
Disclaimer; Mtoa ushauri huu ni mwana CCM anayeamini katika demokrasia. Anaamini CCM imara itatokana na uwepo wa upinzani bora kwa kuwa CCM itapata kioo cha kujitazama, na kufa kwa upinzani...
4 Reactions
64 Replies
4K Views
Back
Top Bottom