Uchaguzi 2020 Mbunge wa CHADEMA jimbo la Serengeti uliyejiunga CCM,2020 tafuta pa kwenda, CCM inamleta Dk. Kebwe jimbo la Serengeti

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
11,955
20,526
Siasa haina rafiki wa kudumu,Ila ina maslahi ya kudumu.

Ni mkakati wa Ccm kumrudisha Dk. Kebwe jimbo LA Serengeti. Morogoro ilikuwa mbali kujijenga kwa wanachama,pia ile sera ya chama ya mtu mmoja cheo kimoja ingemkwaza

Mbunge wa chadema aliyeunga mkono nia na kuhamia Ccm, kalia viti vya bunge kwa mara ya mwisho, Ccm imeamua tayari!
 
Haa😄😅
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Kasema Wazi Wazi Kuwa Jamaa Kashindwa Kuongoza Mkoa. Sasa Wewe Mwenyewe Unatupotosha Eti Kapelekwa Jirani
Acha Uongo
 
Siyo jirani bali ndiyo kwao
Haa

Mkuu, utaukumbuka uzi huu
 
Siasa haina rafiki wa kudumu,Ila ina maslahi ya kudumu.

Ni mkakati wa Ccm kumrudisha Dk. Kebwe jimbo LA Serengeti. Morogoro ilikuwa mbali kujijenga kwa wanachama,pia ile sera ya chama ya mtu mmoja cheo kimoja ingemkwaza

Mbunge wa chadema aliyeunga mkono nia na kuhamia Ccm, kalia viti vya bunge kwa mara ya mwisho, Ccm imeamua tayari!
Siyo kwa madongo yale aliyoshushiwa pale Ikulu!
 
Ccm inaandaa safu ya wabunge, Kidatta karudi japo alipigwa tuhuma nzito, tuhuma za morogoro hazimgusi,pia chaguzi kwa sasa wanaochagua ni serikali, wananchi wanaenda kuota jua tu na makaratasi yao ya kupigia kura
 
Haa😄😅
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Kasema Wazi Wazi Kuwa Jamaa Kashindwa Kuongoza Mkoa. Sasa Wewe Mwenyewe Unatupotosha Eti Kapelekwa Jirani
Acha Uongo
Jamaa wa ufipa kwa udaku ndio wenyewe. Halafu eti wanajigongea "likes" kibao. Duh.
 
Serengeti ili ikae sawa anahitajika mbunge asiye na makundi ya kikabila.
Akiletwa wa hayo makabila mawili makubwa ya wakurya na wangoreme CCM itapigwa tena.
Na ktk mkoa wa mara kiuchumi Serengeti ndiyo masikini kabisa.
Wanahitaji mbunge mchacharikaji kuwavusha.
 
Back
Top Bottom