Uchaguzi 2020 MBIO ZA UCHAGUZI 2020: Dondoo za Waliochukua fomu za kugombea nyadhifa tofauti tofauti katika Vyama vya Siasa nchini

Alexander The Great

JF-Expert Member
Aug 28, 2018
4,502
23,582
Habari wana Jf,

Thread hii ni maalum ya kupeana updates za watu waliochukua form za nia ya kugombea nyadhifa tofauti tofauti nchini kuelekea uchaguzi mkuu #2020.

1) Dr. John Pombe Magufuli (Form Ya Urais Tanzania Bara Kwa Ticket Ya CCM).

2) Dr. Hussein Mwinyi (Form Ya Urais Zanzibar Kwa Ticket Ya CCM).

3) Lazaro Nyalandu (Form Ya Urais Tanzania Bara kwa Ticket Ya CHADEMA).

4) Tundu A Lissu (Firn Ya Urais Tanzania Bara Kwa Ticket Ya CHADEMA).

5) Prof. Makame Mbarawa (Form Ya Urais Zanzibar Kwa Ticket Ya CCM).

6) Major Gen. Issa S. Nassor (Form Ya Urais Zanzibar Kwa Ticket Ya CCM).

7) Dr. Mahadi Juma Maalim (Form Ya Urais Zanzibar Kwa Ticket Ya CCM).

8) Mohamed Abood Mohamed (Form Ya Urais Zanzibar Kwa Ticket Ya CCM).

***updates***
 
 Charles, Mwita Isaya
 Lissu, Tundu A.M
 Dkt. Majinge, Mayrose Kavura
 Manyama, Leonard Toja
 Mbowe, Freeman Aikaeli
 Mch. Msigwa, Peter Simon
 Adv. Mwanalyela, Gasper Nicodemus
 Nalo, Opiyo G.O.M
 Adv. Neo, Simba Richmund
 Nyalandu, Lazaro Samuel
 Shaban, Msafiri
 
Sumaye mwambe mbona kimya Sana Ina maana fomu za uenyekiti wa ccm awazioni? Ccm kuna demokrasia tele Sana kwann awaionji sumu
 
Jecha Salum Jecha amechukua form ya kugombea urais Zanzibar, kwa ticket ya CCM. Anajaribu kutafuta kulipwa "FADHILA" za alivyowasaidia 2015.

Hapo ndio utajua nchi hii tunahitaji tume huru. Mwenyekiti msimamizi wa uchaguzi ni mwanachama hai wa chama cha siasa (Chama Tawala). Leo anasimamia uchaguzi, Kesho anagombea urais.
 
CHADEMA kuna wengine 9 all in total 11!
CCM hakuna wa kuthubutu kupeleka mapua, halafu "takataka" zinasema tuna demokrasia!
Kwanini chadema mnang'ang'ania wagombea CCM wawe wengi? CCM wamesema wao JPM anatosha, chadema hamtaki? Huu ni wakati wenu CDM kutafuta mgombea wa kumshinda Magufuli badala ya kulialia Mara ooh aende Membe kwani mmeona Membe ndio dhaifu mgombea wenu anaweza kumshinda.? Lilieni demokrasia kwenye chama chenu toeni mgombea amshinde Magufuli muende ikulu October 2020.
Shida iko wapi?
 
kama kweli anakubalika mbona haruhusu wengine wachukue fomu ili washinfane kwa hoja
 
Habari wana Jf,

Thread hii ni maalum ya kupeana updates za watu waliochukua form za nia ya kugombea nyadhifa tofauti tofauti nchini kuelekea uchaguzi mkuu #2020.

1) Dr. John Pombe Magufuli (Form Ya Urais Tanzania Bara Kwa Ticket Ya CCM).

2) Dr. Hussein Mwinyi (Form Ya Urais Zanzibar Kwa Ticket Ya CCM).

3) Lazaro Nyalandu (Form Ya Urais Tanzania Bara kwa Ticket Ya CHADEMA).

4) Tundu A Lissu (Firn Ya Urais Tanzania Bara Kwa Ticket Ya CHADEMA).

5) Prof. Makame Mbarawa (Form Ya Urais Zanzibar Kwa Ticket Ya CCM).

6) Major Gen. Issa S. Nassor (Form Ya Urais Zanzibar Kwa Ticket Ya CCM)llllllket Ya lllllLllLlllllllolplllllllll
***upLllllkes***lllllllljilllllllljiilllllllljiik
[/QULlkLlklllllkLlk
 
Back
Top Bottom