masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,624
- 14,578
CCM kosa kabisa sera , vision hamasisha vatu Huko Mbeya?Huko Mbeya, kitu cha ajabu kimetokea. Uongozi wa kata/kitongoji imetumia mbinu ya kutangaza kuwaambia wananchi kuwa kuna maiti zimeokotwa ili kukusanya watu. Huu ni ushenzi kwa lugha yoyote na ndio kufilisika kwa CCM.
Mgewapa kichapo!Huko Mbeya, kitu cha ajabu kimetokea. Uongozi wa kata/kitongoji imetumia mbinu ya kutangaza kuwaambia wananchi kuwa kuna maiti zimeokotwa ili kukusanya watu. Huu ni ushenzi kwa lugha yoyote na ndio kufilisika kwa CCM.
Tunaposema sasa CCM haina mvuto kwa wananchi, hiki ni kielelezo kikubwa!CCM kosa kabisa sera , vision hamasisha vatu Huko Mbeya?
Natumia message of DEATH kusanya watu ?
Senji kabisa!
VirojaHuko Mbeya, kitu cha ajabu kimetokea. Uongozi wa kata/kitongoji imetumia mbinu ya kutangaza kuwaambia wananchi kuwa kuna maiti zimeokotwa ili kukusanya watu. Huu ni ushenzi kwa lugha yoyote na ndio kufilisika kwa CCM.
Huko Mbeya, kitu cha ajabu kimetokea. Uongozi wa kata/kitongoji imetumia mbinu ya kutangaza kuwaambia wananchi kuwa kuna maiti zimeokotwa ili kukusanya watu. Huu ni ushenzi kwa lugha yoyote na ndio kufilisika kwa CCM.