Hotuba za Uchaguzi na Ilani zinaandaliwa kwa umakini wa hali ya juu.
Nimechungulia ya Chama kimoja - wameshindwa kukosoa asilimia 18 tu yaliyowekwa kwenye Ilani ya CCM inayomalizika yameshindwa...
Wahenga walisema ukiona wingu zito limetanda angani ujue kuna mvua kubwa inakuja kunyesha hivyo chukua tahadhari na tafuta mahala salama ujikinge. Siku zinazidi kuyoyoma na wapinzani wa CCM ndio...
Hili jimbo kwa ujumla ni gumu kupata mwakilishi sahihi kwa upande wa Chama chetu Tawala.
Ni jimbo liko mjini, lina wapiga kura wataalazi sababu ya literacy level iko juu, na linachangamoto nyingi...
Askofu Josephat Gwajima ametangaza nia ya kugombea ubunge Jimbo la Kawe kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) na leo amefika kwenye ofisi za chama hicho kupewa utaratibu.
Kuhusu kuunga mkono UKAWA...
Jana Mwenyekiti wa ZEC amefutilia mbali majimbo 4 ya Unguja kutokana na kuingiliana Kwa kata Kati ya Jimbo moja na jingine
Ikumbukwe mwaka 2015 yalitokea malalamiko mengi baada ya majimbo hayo...
Simuoni mtu mwingine kati ya watia nia ya urais kutoka vyama vyote mwenye uwezo wa kutupa uongozi katika level ya uchumi wa kati zaidi ya Rais Magufuli.
Nitazungumza na viongozi wa vyama vyote...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema inasubiri tangazo kwenye gazeti la Serikali la kuvunjwa kwa Bunge ili iweze kuweka tarehe rasmi ya Uchaguzi Mkuu.
Mkurugenzi wa NEC, Dkt. Wilson Mahera...
Wananchi wa kijiji cha Kimamba Wilayani Kilosa mkoani Morogoro wamemuahidi Rais Magufuli kwamba watamchagua Profesa Kabudi kuwa Mbunge wao.
Profesa Kabudi ni mzaliwa wa Kimamba na alisomea...
Kwanza kabisa sifikiri kama Tanzania kwa mwaka huu kwenye nafasi ya urais upinzani utashidwa. Pamoja na ukweli kwamba Magufuli kafanya zaidi ya Kikwete kwenye kipindi chake cha kwanza lakini...
Kuelekeaa uchaguzi mkuu 2020, kama mtanzania wa leo, nimekuwa pia nikifuatilia harakati hizi na kwa nionavyo huu hapa ndiyo ulio ukweli mchungu:
Pana watu wamejivika kuwa washauri wa upande wa...
Huu ni mwaka wa uchaguzi na ningependa nishauri mambo machache kama mdau mkubwa wa siasa za Tanzania
1. Mtu yeyote ana haki ya kikatiba kuwania nafasi katika Jamhuri na sio kwamba nafasi hizo ni...
Niwasalimie watu wa Mungu mlioko humu
na pia nitoe pongezi kwa serikali hii kwa kutufikisha kwenye uchumi wa kati hongera sana ingawa bado huku street tumepigika haswa.
Hakuna halimashauri katika...
Kumbukumbu zangu zinaanzia kwa Mh Kasyupa Alipipi , huyu alimshinda Mwakipesile , enzi za Chama Kimoja , nilihudhuria kampeni zilizofanyika Ipande , kijiji cha Bukinga , kwenye eneo la wazi...
TANZANIA VISIWANI(ZANZIBAR)
Ninauona uchaguzi ukiwa mwepesi Sana kwa upande wa Maalim Seif,
Haijarishi atapata mpinzani wa Aina gani kutoka Chama chochote tofauti na anachogombea.
Pia kutangazwa...
Miongoni mwa majimbo katika mkoa wa DSM Jimbo la Kibamba ambalo lipo katika wilaya mpya ya Ubungo limetendewa haki na ilani ya CCM licha ya kuwa chini ya mbunge wa upinzania John Mnyika lakini...
JPM ataingia na system mpya ya Wabunge wanaoendana na kasi yake mwaka huu wa 2020. Wale waliotoka na ile system ya awamu iliyopita wengi watatemwa mno.
Vijana wengi sana wasio maarufu wataingia...
Dkt. Magufuli ambaye ndiye Rais wa Tanzania leo atarudisha fomu ya maombi ya kugombea urais kupitia CCM kwenye makao makuu ya chama jijini Dodoma.
===
Updates:
Rais Magufuli anarudisha fomu ya...
Nianze kwa kusema nina mashaka na Uzi huu kuondolewa kwani kuna hisia kuwa kwa sasa Mhariri (mod) wa jukwaa la siasa JF anafanyia Nazi zake Lumumba. Hivyo chochote wasichokipenda wao hapo basi...
Kujiandikisha kupiga kura ni jambo moja na kupiga kura ni jambo la pili na siku ya kura ni wazi sio wote wanakuwa eneo waliojiandikisha au watakaokwenda kupiga kura.
Naona kuna haja ya siku ya...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Profesa Kitila Mkumbo ametangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Ubungo katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu kupitia Chama Cha Mapinduzi.
====...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.