Uchaguzi 2020 Professor Maghembe iachie Mwanga sasa iwe huru

Hijja Madava

JF-Expert Member
May 14, 2014
3,251
2,000
Niwasalimie watu wa Mungu mlioko humu
na pia nitoe pongezi kwa serikali hii kwa kutufikisha kwenye uchumi wa kati hongera sana ingawa bado huku street tumepigika haswa.

Hakuna halimashauri katika nchi hii ambayo ina hali mbaya kama ya Mwanga
yaani Mwanga ni kama tuko Somalia kila kitu kiko hovyo Mwanga niyakuhurumiwa namwomba Mh.rais aionee huruma Mwanga kwanza kwa kumwengua mtu huyu hata kama jina lake litaletwa kwenye kikao cha halmashauri kuu.

Changamoto za Mwanga ni nyingi mno kwa mfano huduma za kijamii huduma za kiofisi.

Juzi nilienda kwa afisa maendeleo ya jamii kujirasimisha mpango ambao upo nchi nzima ila Mwanga hawaujui.

Jeshi la police Mwanga limeoza kwa rushwa yaani wanaitisha rushwa wazi wazi kwenye viti na meza za serikali kipo kikundi flani cha askari chenye kazi maalumu ya kuwabambikia watu kesi wanaweza kukamata mda wowote na kukupa case yeyote haswa ya Mrungi au Bange.

Askari mmoja maarufu sana mwenye cheo cha PC anaendesha opresheni za kukamata kupora na kudai rushwa wazi wazi bila kuogopa askari huyu ambaye hivi majuzi alihamishiwa kituo kikuu cha sentro Moshi kwa ajili ya hizi tuhuma amerejeshwa Mwanga na anaendeleza operation zilezile inasadijiwa kuwa huenda mkuu wa kituo anahusika na matukio mabaya tunayofanyiwa wananchi wa Mwanga na kikundi cha askari hawa cha ajabu mbunge tushakulalamikia sana kuhusu askar huyu kijana asiye na maadili ya kazi yake lakini hukuchukua hatua sasa muheshimiwa ni vema ukatupisha tuweke mtu atakaye shughulika na haya mateso ya watu wa Mwanga
 
Samcezar

JF-Expert Member
May 18, 2014
7,152
2,000
Mnakaeje na mbunge miaka 20 au zaidi..... Mbunge anatakiwa asikae zaidi ya miaka 10 endapo akionekana yupo incompetent....
 
fazili

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
7,363
2,000
Niwasalimie watu wa Mungu mlioko humu
na pia nitoe pongezi kwa serikali hii kwa kutufikisha kwenye uchumi wa kati hongera sana ingawa bado huku street tumepigika haswa.

Hakuna halimashauri katika nchi hii ambayo ina hali mbaya kama ya Mwanga
yaani Mwanga ni kama tuko Somalia kila kitu kiko hovyo Mwanga niyakuhurumiwa namwomba Mh.rais aionee huruma Mwanga kwanza kwa kumwengua mtu huyu hata kama jina lake litaletwa kwenye kikao cha halmashauri kuu.

Changamoto za Mwanga ni nyingi mno kwa mfano huduma za kijamii huduma za kiofisi.

Juzi nilienda kwa afisa maendeleo ya jamii kujirasimisha mpango ambao upo nchi nzima ila Mwanga hawaujui.

Jeshi la police Mwanga limeoza kwa rushwa yaani wanaitisha rushwa wazi wazi kwenye viti na meza za serikali kipo kikundi flani cha askari chenye kazi maalumu ya kuwabambikia watu kesi wanaweza kukamata mda wowote na kukupa case yeyote haswa ya Mrungi au Bange.

Askari mmoja maarufu sana mwenye cheo cha PC anaendesha opresheni za kukamata kupora na kudai rushwa wazi wazi bila kuogopa askari huyu ambaye hivi majuzi alihamishiwa kituo kikuu cha sentro Moshi kwa ajili ya hizi tuhuma amerejeshwa Mwanga na anaendeleza operation zilezile inasadijiwa kuwa huenda mkuu wa kituo anahusika na matukio mabaya tunayofanyiwa wananchi wa Mwanga na kikundi cha askari hawa cha ajabu mbunge tushakulalamikia sana kuhusu askar huyu kijana asiye na maadili ya kazi yake lakini hukuchukua hatua sasa muheshimiwa ni vema ukatupisha tuweke mtu atakaye shughulika na haya mateso ya watu wa Mwanga
Wana Mwanga tafuteni kijana mahiri wa CDM asimame na Maghembe ili tuone mapema asubuhi mzee akibwagwa.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom