Uchaguzi 2020 Sasa tunasubiri Kwa hamu tume ya Taifa NEC nayo tuone kama itapunguza majimbo au la

East African

JF-Expert Member
Nov 27, 2013
704
989
Jana Mwenyekiti wa ZEC amefutilia mbali majimbo 4 ya Unguja kutokana na kuingiliana Kwa kata Kati ya Jimbo moja na jingine

Ikumbukwe mwaka 2015 yalitokea malalamiko mengi baada ya majimbo hayo kuongezwa kihuni kutoka 50 Hadi 54 lakini tume ya Jecha Salim Jecha haikutaka kusikiliza mtu.
Shukrani Sana Kwa M/kiti wa sasa ambaye ametumia mamlaka yake kisheria kupunguza majimbo 4.

Sasa tunasubiri Kwa hamu tume ya Taifa NEC mayo tuone kama itapunguza majimbo au la.
Ningetamani Sana haya majimbo mfano
Tarine mjini Vs Vijijini
Mbulu mjini Vs vijijin
Bunda mjini vs Vijijini
Nzega mjini Vs vijijini
Mbinga mjini Vs vijijini
Kibaha Mjini Vs vijijini
Mahatma mji Vs Vijijini
Singida kas Vs singida mji

Babati Mjini au hata wilaya ya Moshi yenye majimbo 3 (vunjo, Moshi vijijini na mjini) liwe Jimbo moja Tu.

Hayo ni mawazo Tu. Ikiwezekana kila wilaya iwe na Jimbo moja tu ili kupunguza gharama za kuendesha Bunge.

Ngoja tusubiri labda watawaza kama Mimi.
Ikumbukwe Tu kuwa Mbunge ni muwakilishi wa wananchi wa eneo fulani ambaye jukumu ni kuwawakilisha bila kujali idadi.

2020
 
Nakubaliana na wewe kwa 100%. Uko vizuri katika eneo hilo.
 
Back
Top Bottom