Uchaguzi 2020 Dalili ya mvua ni mawingu. Vyama vya upinzani vimekubali kushindwa kabla ya mtanange kupigwa

Chagu wa Malunde

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
8,708
5,711
Wahenga walisema ukiona wingu zito limetanda angani ujue kuna mvua kubwa inakuja kunyesha hivyo chukua tahadhari na tafuta mahala salama ujikinge. Siku zinazidi kuyoyoma na wapinzani wa CCM ndio wanazidi kunywea maana wanajua kwenye uchaguzi wanaenda kukutana na kichapo cha ukweli.

Ninajua wanajiuliza majukwaani watanadi sera gani? Wanakosa majibu. Wanajiuliza tukisimamisha wagombea wa ubunge wanakosa majibu nani atafaaa au nani atarudi tena. Wamekuwa wa baridi na hatusikii hata dalili za watia nia wao maana kila jimbo ni kama kuna shoti ya umeme na wanaogopa kuweka mkono.

Lakini nini hasa sababu ya haya yote? Ni uadilifu, uchapakazi na uzalendo wa JPM ndio umeipa nguvu na kiburi CCM na sasa ina uhakika wa kuchukua kiti cha ubunge au udiwani katika eneo lolote. Maana ni ndani ya miaka minne tu, watu wameshuhudia mabadiliko makubwa sana.

Sekta ya afya, elimu, miundombinu na ulinzi na usalama zote zimeimalishwa. Wapinzani uchwara wanaona aibu tu kukubali na kukaa kando. Lakini wangekuwa na busara wangetulia na kukaa kando.
 
Wahenga walisema ukiona wingu zito limetanda angani ujue kuna mvua kubwa inakuja kunyesha hivyo chukua tahadhali na tafuta mahala salama ujikinge. Siku zinazidi kuyoyoma na wapinzani wa CCM ndio wanazidi kunywea maana wanajua kwenye uchaguzi wanaenda kukutana na kichapo cha ukweli.

Ninajua wanajiuliza majukwaani watanadi sera gani? Wanakosa majibu. Wanajiuliza tukisimamisha wagombea wa ubunge wanakosa majibu nani atafaaa au nani atarudi tena. Wamekuwa wa baridi na hatusikii hata dalili za watia nia wao maana kila jimbo ni kama kuna shoti ya umeme na wanaogopa kuweka mkono.

Lakini nini hasa sababu ya haya yote? Ni uadilifu, uchapakazi na uzalendo wa JPM ndio umeipa nguvu na kiburi Ccm na sasa ina uhakika wa kuchukua kiti cha ubunge au udiwani katika eneo lolote. Maana ni ndani ya miaka minne tu, watu wameshuhudia mabadiliko makubwa sana.

Sekta ya afya,elimu ,miundo mbinu na ulinzi na usalama zote zimeimalishwa. Wapinzani uchwara wanaona aibu tu kukubali na kukaa kando. Lakini wangekuwa na busara wangetulia na kukaa kando.
CCM inashindana na mtu aliyepigwa pingu na yuko kifungoni. Hakuna haja ya tambo na majivuno. Washindani wamekuwa jela miaka yote mitano kutokana na marufuku za kufanya siasa. Tume ya uchaguzi, sheria na kanuni za uchaguzi, mahakama na vyombo vya usalama vyote vinaibeba CCM. Kwa hari hii uko sahihi 100% kwa CCM kuendelea kutawala - watu watake au la.
 
Hayo ya tume ya uchaguzi na marufuku ya siasa ni uongo tu. Tume ipo huru na huwa inafuata taratibu na sheria za nchi. Kufanya siasa mliruhusiwa ngazi za majimbo msilete mtafaruku kitaifa.
 
Weka uwanja sawa kwa vyama vote. Tume ya uchaguzi itende haki kwa vyama vyote vya siasa bila kuwa na vigisuvigisu. Halafu infra kuja hiyo
 
Wahenga walisema ukiona wingu zito limetanda angani ujue kuna mvua kubwa inakuja kunyesha hivyo chukua tahadhari na tafuta mahala salama ujikinge. Siku zinazidi kuyoyoma na wapinzani wa CCM ndio wanazidi kunywea maana wanajua kwenye uchaguzi wanaenda kukutana na kichapo cha ukweli.

Ninajua wanajiuliza majukwaani watanadi sera gani? Wanakosa majibu. Wanajiuliza tukisimamisha wagombea wa ubunge wanakosa majibu nani atafaaa au nani atarudi tena. Wamekuwa wa baridi na hatusikii hata dalili za watia nia wao maana kila jimbo ni kama kuna shoti ya umeme na wanaogopa kuweka mkono.

Lakini nini hasa sababu ya haya yote? Ni uadilifu, uchapakazi na uzalendo wa JPM ndio umeipa nguvu na kiburi CCM na sasa ina uhakika wa kuchukua kiti cha ubunge au udiwani katika eneo lolote. Maana ni ndani ya miaka minne tu, watu wameshuhudia mabadiliko makubwa sana.

Sekta ya afya, elimu, miundombinu na ulinzi na usalama zote zimeimalishwa. Wapinzani uchwara wanaona aibu tu kukubali na kukaa kando. Lakini wangekuwa na busara wangetulia na kukaa kando.
Kama JPM kafanya vizuri kwanini mnawavizia kina Zitto kila wakifanya vikao vya ndani na kuwepeleka Rumande??
 
Wahenga walisema ukiona wingu zito limetanda angani ujue kuna mvua kubwa inakuja kunyesha hivyo chukua tahadhari na tafuta mahala salama ujikinge. Siku zinazidi kuyoyoma na wapinzani wa CCM ndio wanazidi kunywea maana wanajua kwenye uchaguzi wanaenda kukutana na kichapo cha ukweli.

Ninajua wanajiuliza majukwaani watanadi sera gani? Wanakosa majibu. Wanajiuliza tukisimamisha wagombea wa ubunge wanakosa majibu nani atafaaa au nani atarudi tena. Wamekuwa wa baridi na hatusikii hata dalili za watia nia wao maana kila jimbo ni kama kuna shoti ya umeme na wanaogopa kuweka mkono.

Lakini nini hasa sababu ya haya yote? Ni uadilifu, uchapakazi na uzalendo wa JPM ndio umeipa nguvu na kiburi CCM na sasa ina uhakika wa kuchukua kiti cha ubunge au udiwani katika eneo lolote. Maana ni ndani ya miaka minne tu, watu wameshuhudia mabadiliko makubwa sana.

Sekta ya afya, elimu, miundombinu na ulinzi na usalama zote zimeimalishwa. Wapinzani uchwara wanaona aibu tu kukubali na kukaa kando. Lakini wangekuwa na busara wangetulia na kukaa kando.
Kama uliyosema ni kweli,
Kwanini CCM dola haitaki wapinzani wafanye kampeni?
Na kwanini serikali hii unayodai inapendwa saaaaana na wananchi,ilikimbilia Bungeni tena kwa hati ya dharula kutunga sheria ya kinga ya kushitakiwa kwa viongozi wote wakuu,kama mnapendwa,kinga za nini?mnaogopa nini?
 
Naona unachanganya mada. Hakuna kinga ya viongozi wasishitakiwe. Watashitakiwa ila kupitia kwa Ag. Fuatilia mambo kwa undani.
 
Back
Top Bottom