Mwenyekiti wa Wa Balaza la Wanawake Chadema Mbeya, ambaye pia niMakamu Mwenyekiti wa BAWACHA Taifa, Elizabeth Mwakimomo amewataka wanachama na wasio wanachama kufika katika mkutano wa hadhara...
Wananchi wa Kata ya Funta Halmashauri wilaya ya Bumbuli wamemshukuru Mbunge wa Jimbo hilo January Makamba kwa kutatua changamoto kubwa ya maji iliyokuwa ikiwakabili.
Kupata matukio na taarifa...
Baada ya kufuatilia kwa kina siasa za kimajimbo na kuangalia nyadhifa za kiwaziri nikagundua kuwa tangu kuanze kwa utawala wa kibunge ni Mbunge mmoja tu aliwahi kushika nafasi ya ubunge kwa miaka...
Katika muktadha wa siasa za Tanzania, wananchi wa Moshi wamekuwa na sauti kubwa kuhusu masuala yanayowahusu. Sasa, kupitia bango linaloonekana wazi, wananchi hao wanatoa ujumbe mzito kwa Rais...
Nukuu za Rais wa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki sherehe za Uapisha za Rais Mteule wa Namibia Mhe. Nerumbo Nandi-Ndaitwah, leo tarehe 21 Machi, 2025...
Akitoa maoni kuhusu mchakato wa Uandikishaji na Uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura Nchini unaoendelea Dar es Salaa, Msanii wa Bongo Fleva, Joh Makini amesema:
Ni haki ya Msingi ya Mwananchi...
Nasema tena CCM sio serikali moja, na kwa sababu hii itachukuwa miaka zaidi ya 100 kwa Tanzania kuwa na standard life for as long as CCM itaendelea kuwepo madarakani.
Ishu ya Chalamila na Mwendo...
Huu ni wito ninaoupeleka kwa wadau wote wanaohusika wakiwemo wakazi wa Mkoa wa Dar es Salaam na wananchi wote kwa ujumla , Binafsi sikuona sababu yoyote ile iliyopelekea kuvunjwa kwa iliyokuwa...
Uongozi ni kuongoza kwa kuelekeza na kuonyesha njia utaratibu wa kuongoza Taasisi ya serikali unayo miongozo yake, huongozi tu kwa akili yako. Kwamba wewe kwa vile ni kiongozi wa kuteuliwa...
Kuajiri watumishi/wafanyakazi ni mchakato ambao unafanywa na watu wenye elimu na uzoefu wa kazi hiyo. Sasa napata mashaka pale ninapoona kasoro katika mchakato wa kuajiri wafanyakazi kwenye sekta...
Ni kiri kuwa mikopo ya umizi au kausha damu inawaumiza sana wananchi maskini. Hili ni tatizo kubwa na hata serikali wanalijua. Cha kusikitisha ni kwamba serikali wamekuja na njia ipi ya kumkomboa...
Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Sengerema wameaswa kutojihusisha na wagombea wa "mfukoni" wanaojipitisha majimboni na kata kutafuta nafasi za uongozi kabla ya wakati rasmi...
Wakuu,
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan siku ya leo amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali katika nyadhifa za serikali na bodi za kitaifa.
Kwa mujibu wa...
Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela, leo amekutana na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ofisini kwake, Magogoni Ikulu jijini Dar es salaam ikiwa ni sehemu ya kujitambulisha...
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameipongeza Wizara ya Ardhi kwa kutekeleza maelekezo yake ya kuondoa mila potofu iliyokuwa inawanyima Wanawake haki ya kumiliki ardhi ambapo amesema kwa...
Maelfu ya vijana kutoka mikoa mbalimbali nchini, 19 Machi 2025 wamekutana mkoani Morogoro kusherehekea miaka minne ya dhahabu ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Kupata taarifa na...
Mh ZITTO naona kama PINDA mnataka kumsukumia zigo la dhambi kwa kumuwajibisha kutokana na makosa ya mawaziri wengine. Kwa ni nini tusilie na yule aliyewateua na kuunda baraza lao. Tunajua Pinda...
Tamaa ya uongozi na idadi kubwa ya ahadi zisizotekelezeka
Na Juma Kidogo
Ni siku na wakati mwingine tena tunakutana ndugu zangu wapendwa katika ulingo huu wa siasa ili kujadili mambo...
REDET, SYNOVATE na, wagombea wametugeuza watanzania ndondocha
Wagombea wote watakaoshindwa kutimiza ahadi zao washitakiwe kwa makosa ya utapeli na udanganyifu
Na Juma Kidogo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.