WAZIRI wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro ameeleza jinsi ambayo katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametekeleza kwa...
Ukigombea Urais unaweza ukapata au usipate, na wakati unagombea unatokea kwenye nyumba yako ambayo naamini haizidi vyumba vitano vya kulala.
Ukipata Urais huwa Serikali inakwenda kuyajenga makazi...
Naliona anguko kubwa la Bodi ya mikopo ya elimu ya juu,
Hivi walipewa mikopo ya elimu ya juu wakienda kuongeza ujuzi veta wakamaliza wakajiari je Bodi ya mikopo itafata marejesho?
Binafsi...
Ili kuboresha sekta ya kilimo nchini Tanzania mwaka 2025, Rais anayechaguliwa anaweza kuchukua hatua kadhaa muhimu ili kuimarisha kilimo, kuongeza uzalishaji, na kuboresha maisha ya wakulima. Hapa...
Habari Wakuu,
Leo 31/ 01/ 2022 shahidi wa 12 Denis Urio anaendelea kutoa ushahidi wake kwenye kesi inayomkabili Mbowe na wenzake 3.
Kujua Kesi ilipoishia fungua kiungo hiki:Yaliyojiri Mahakama...
Karibuni, kauli ya Waziri Mkuu kuhusu wahitimu wa digrii kwenda VETA (Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi) imeanzisha mjadala mkubwa. Hali hii inaonyesha tatizo la muda mrefu katika mfumo wa...
Leo nipo na hasira sana , nimeona maneno ya mwajiriwa wetu ndugu Rais kwamba nchi hii ipo na mafuta mengine mengi , ila taarifa inasema tutauza kama nchi .
Ndugu Rais nikuombe na watakiwa kujua...
Tanzania na Misri kukuza ushirikiano katika Biashara na Uwekezaji
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Mahmoud Thabit Kombo na Waziri wa Mambo ya Nje, Uhamiaji na...
KWANINI serikali inahangaika kupandikiza hisia za udini na ugaidi katika siasa? Mwaka 2005 ilikitangaza Chama cha Wananchi (CUF) kuwa cha kidini na kigaidi. Sasa hivi inasema vitu viwili.
Kwanza...
Nitawapa mambo mawili muhimu
Afya: Pamopja na tatizo kubwa ya mfuko wa bima wa taifa sasa kuna watanzania zaidi ya 1.5M wenye virusi vya ukimwi ambao walikuwa wanategemea USAID. Raisi Trump wa...
Wakuu
Mtia nia wa nafasi ya Urais kupitia Chama cha NLD Bw. Hassan Doyo kupitia Crown FM anadai
"CHADEMA yenyewe hawajaungana kwenye ajenda ya No reform, No election kwahiyo ni ngumu kuungana...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za mitaa (LAAC) tayari imefanya ziara yake mkoani Iringa kuanzia 16 march na kutamatika 18 march 2025 ikikagua miradi yenye hoja za kikaguzi katika...
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dodoma, Abdulhabib Mwanyemba, amesema vyama vya upinzani vimekosa msimamo kwa kubadilisha hoja zao mara kwa mara, kutoka kudai...
Tanzania na Misri kupanua wigo wa ushirikiano
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) wamekutana kwa mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje...
Mkuu wa itifaki (Head of Protocol ) na Mwenyekiti Mwanzilishi (Founding Chairman) wa Taasisi ya Mama Ongea na Mwanao Dr Steve Nyenyere amejitolea kumlipia dhamana mlimbwende wa Bongo movie Nicole...
Barua ya Wazi kwa Rais Samia: Umuhimu wa kuanzisha na kuendeleza viwanda vya ARV nchini
Na Elia Wilinasi Sikanyika
OFISI YA RAIS,
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
MHESHIMIWA RAIS WA JAMHURI YA...
Wakuu
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Mohamed Mchengerwa, amesema katika mwaka wa fedha 2024/25, serikali imetoa mikoро yenye thamani ya Sh...
Katibu mwenezi wa CCM Mkoa wa Arusha Saipulan Ramsey azungumza kuhusiana na kauli ya chama chademokrasia na maendeleo chadema No reform No Election nakusema kile chama kinahitaji kipelekewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.