Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Afisa Tarafa ya Chag'ombe Al Hajj Saadat Mtware amewahamiza wananchi kujitahidi katika kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura ikiwa leo ni siku ya mwisho wa uandikishaji huo. Al...
0 Reactions
0 Replies
328 Views
Nani wa kupoteza kati ya hao katika kila nyanja...kiuchumi, kijeshi, kidplomasia etc etc.
2 Reactions
30 Replies
1K Views
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe. Abubakar Kunenge ameshiriki katika dua maalum ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ambayo ilifanyika Viwanja vya Karimjee...
1 Reactions
4 Replies
395 Views
Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kagera Cde. Faris Buruhani amewakumbusha vijana wa mkoa huo kuzikimbilia fursa kubwa na za muda mrefu zinazopatikana kwenye miradi mbalimbali ya serikali inayotekelezwa...
2 Reactions
2 Replies
300 Views
Wanabodi Mjadala wa wasomi wa vyuo vikuu kujiunga VETA, unaendelea. Nimejitolea kuwa a self appointed balozi wa dhana hii kuwaelimisha watu what it is!. Moja ya vitu vikubwa na muhimu ambavyo...
6 Reactions
12 Replies
728 Views
Spika wa Bunge la Tanzania na Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Dkt. Tulia Ackson, kupitia Taasisi yake ya Tulia Trust, wamesema pamoja na kuendelea na ujenzi wa nyumba ya Mzee Obed Ambonisye...
1 Reactions
1 Replies
397 Views
Serikali ya Tanzania, Uganda na Kenya wote ni wanufaika wa maji ya Ziwa Victoria. Mito yote ya Kanda ya Ziwa na mito yote ya Uganda na Kenya inamwaga maji yake Ziwa Victoria na hatimaye maji...
0 Reactions
3 Replies
390 Views
Mbunge wa Same Mashariki Anne Kilango Malecela amevitaka Serikali kutilia uzito mkubwa swala la Ukatili wa Kijinsia wanaofanyiwa wanawake kwenye nyanja mbalimbali kuanzia majumbani Hadi kwenye...
2 Reactions
35 Replies
2K Views
Tunapoelekea uchaguzi Mkuu na kuvunja bunge na serikali,hawa ndio mawaziri wangu bora,ukimtoa Waziri Mkuu mzee wetu Meja. 1. Juma Aweso waziri wa maji haitaji kuelezewa sana kazi yake inaonekana...
3 Reactions
19 Replies
976 Views
Umati wa wananchi wa Kata ya Kivule wa Wilaya ya Ilala, jijini Dar es Salaam, wamejitokeza kwa wingi kupata matibabu ya macho na kupimwa magonjwa ya wanawake bure, kisha kutoa ombi kwa taasisi...
2 Reactions
1 Replies
329 Views
Mbunge wa Jimbo la Mufindi Kusini na Naibu Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile amefanya ziara ya ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi wa Kituo cha Afya cha Kata ya Mninga. Akizungumza na wananchi...
0 Reactions
0 Replies
330 Views
Mwenyekiti Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Ndugu Mary Chatanda amesema kuwa akitokea Mwanaume anagombea nafasi ya Urais katika uchaguzi mkuu ujao asipewe kura huku akiwasisitiza wanawake...
1 Reactions
11 Replies
791 Views
"Kwa miaka mingi sana Jimbo la Kibamba lililopo wilaya ya Ubungo limekuwa na shida kubwa ya maji katika mkoa wa Dar es Salaam, hata hivyo mama (Rais Samia Suluhu Hassan) ulisikia kilio cha...
2 Reactions
11 Replies
717 Views
Kufuatia andiko la Mbunge wa Jimbo la Siha na Naibu Waziri wa Afya Godwin Mollel la kuita Kamati ya siasa Wilaya ya Siha kuwa ni vibaraka mtifuano mkali umeibuka na baadhi ya viongozi wakilaani...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Mwenyekiti wa Chadema pamoja na jopo lake wakiwemo Makamu Mwenyekiti John Heche na Mjumbe wa Kamati Kuu Godbless Lema, wamekutana na kufanya mazungumzo na Raila...
9 Reactions
31 Replies
2K Views
Kutokana na hali na mazingira mapya ya kisiasa ninashauri wale wabunge 19 warudishwe kujenga chama na kuongeza ushawishi kuelekea uchaguzi Mkuu kwa misngi ifuatavyo 1. Wabunge hawa pamoja na...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Kama uchaguzi ukiwa huru na wa haki, na Tundu lissu akawa mgombea urais, Lissu atashinda kwa 95%. Bitozo atashika nafasi ya nne. Ushindi wa Urais wa Tundu Lissu ni UHAKIKA kama uchaguzi ukiwa huru...
23 Reactions
153 Replies
6K Views
Miaka mingi tumekuwa tukifanywa mawakala wa Nec kwenye chaguzi. (Wasimamizi) na tumekuwa tukitumika kama kondomu . Huku tukificha maovu na ujanja ujanja wa CCM. Kupata matukio na taarifa zote kwa...
7 Reactions
23 Replies
1K Views
Kamati ya ushauri ya wilaya ya njombe imeridhia mapendekezo ya kubadili jina la jimbo la uchaguzi la Njombe Mjini na kuitwa jimbo la Njombe Kusini Wakizungumza katika kikao maalumu kilichofanyika...
0 Reactions
6 Replies
586 Views
Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa Viti 20 Bara Richard Kasesela amewataka wabunge walioko madarakani kuacha kuwakanyaga na kuwachoma wale wanaoonesha nia ya kugombea kwenye maeneo yao...
1 Reactions
8 Replies
527 Views
Back
Top Bottom