Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Na Tade ole Mushi kada wa CCM. FACT:- ATAKAYESHINDA KURA ZA MAONI NI MWENYE FEDHA. Na Thadei Ole Mushi. Vijana wengi wa CCM wametia nia kwenye maeneo mbalimbali ya kugombea Ubunge. Ni Jambo...
4 Reactions
27 Replies
4K Views
Tuweni wakweli sababu hasa ya Zitto Kabwe kutaka hasa muungano wa vyama vya upinzani ni kwa kuwa muungano huo utawafaidisha zaidi ACT na siyo kwamba ana nia ya dhati kuona upinzani ukifanya...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Kuna kila sababu ya wabunge na watia nia hawa, kutopitishwa na vyama vyao vya siasa kugombea . 1. Wabunge wote wa CHADEMA sababu wameonesha kuwa siasa zao ni za kujinufaisha wao bila kujali...
0 Reactions
58 Replies
8K Views
Kwa mara ya kwanza ubunge CCM Njombe Mjini wapata watia nia wengi na mchanganyiko toka kada mbalimbali. Sasa wafikia 23. Kazi na uchapakazi wa Magufuli amewavutia watu wengi kuingia kwenye siasa...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Sijui nini kinaendelea kati ya CHADEMA na ACT juu ya kushirikiana katika uchaguzi mkuu wa baadae mwaka huu, ila napenda tu kuwatahadharisha kuwa wakishindwa kukaa pamoja na kuja na mpango mkakati...
22 Reactions
76 Replies
6K Views
ACT Wazalendo imedhamiria kuona Membe anagombea upinzani iwe kwa tiketi ya umoja wa upinzani (ACT+CHADEMA) au ACT peke yake. CHADEMA haina mpango na mgombea kutoka nje ina wagombea wa kutosha...
3 Reactions
46 Replies
4K Views
Kwa wananchi wote ambao miaka mitano wameathirika kwa utawala mbovu wa Rais Magufuli na chama chake, ni wakati wa kuungana kumkataa kwenye sanduku la kura! Hofu kubwa waliyonayo wananchi ni...
12 Reactions
48 Replies
4K Views
"Tanzania ni nchi ya kidemokrasia inayofuata mfumo wa vyama vingi vya siasa" Tunapoelekea Uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani ni vyema tukawakumbusha waliopewa dhamana ya kusimamia zoezi...
0 Reactions
0 Replies
544 Views
" TAMKO RASMI LA CHAMA CHA LABOUR TANZANIA (TLP) KUMUUNGA MKONO MHE DK JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI KUELEKEA OCT 2020 " Ndugu Watanzania wenzetu, Sisi wanachama,wafuasi na wapenzi wa chama cha...
2 Reactions
34 Replies
3K Views
UPDATES 13:15hrs: Matokeo ya Kura za ya wanachama watatu waliokuwa wakiomba ridhaa ya kuwania urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM. 1. Dkt Hussein Ali Hassan Mwinyi -kura 129 (78.65%) 2. Dkt...
16 Reactions
551 Replies
57K Views
Maji ukiyavulia ngua sharti uyaoge. Huu sio wakati wa upinzani kulialia eti mnaonewa, mnazuiwakufanya mikutano hata ya ndani, eti hakuna demokrasia!! Huu ni wakati wa mapambano sio kulialia...
5 Reactions
50 Replies
3K Views
Ni nani hasa ambaye anaweza kunipa ushahidi wa dhati ambao hata nafsi yake inakiri kuwa ni wa kweli, Kuelekea IKulu ya Tanzania 2020 yupo wa kushindana na Magufuli? Hakika kama yupo anaweza...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Serikali ya Awamu ya 5 inajitahidi sana kufanya miradi mikubwa ya kimkakati ndani ya muda mfupi kwa gharama kubwa. Miradi hii inatosha sana kuiuza Serikali na CCM kwa wananchi kama wawakilishi...
3 Reactions
19 Replies
3K Views
Kipindi kinachohusu somo hilo hapo juu kinarushwa muda huu na katika mahojiano yao wametoa mfano wa Jimbo la Rorya kuwa na Watia nia zaidi ya 60. Mimi nijikite kwenye ongezeko la watia nia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Anaitwa Pano Kashu . Ni mkaazi wa kijiji cha Kambala Wilayani Mvomero, Mkoa wa Morogoro.... Pano ni msomo akibobea katika fani ya Sheria
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Barua ya wazi kwa katibu mkuu CCM, • Mh Katibu Mkuu kuna tetesi juu ya fedha ya fomu ya nafasi ya ubunge na fedha ya mchango wa matumizi ya ofisi kwa wanaochukua fomu, • Inasemekana fomu ni...
3 Reactions
21 Replies
4K Views
Habari wanajamvi Katika kithibitisha mwitikio wa dhati kwa maono na uongozi wa chama cha mapinduzi CCM chini ya uongozi wa m/kiti Dk. John Magufuli wa kutoa fursa kwa vijana kushika nafasi...
3 Reactions
13 Replies
3K Views
Naona huyu Mhe. kweli kadhamiria, na hii picha ya hili gari ndio ushahidi wenyewe.Tukumbuke hapa yeye bado ni mti nia tu na sio mgombea rasimi Nampa hongera kwa ubunifu na kuonyesha mfano kwa...
7 Reactions
16 Replies
3K Views
Back
Top Bottom