Uchaguzi 2020 Katibu mkuu CCM, toa ufafanuzi juu ya fedha ya fomu Ubunge na fedha ya matumizi ya ofisi

makwagejo

JF-Expert Member
Nov 25, 2019
361
267
Barua ya wazi kwa katibu mkuu CCM,
• Mh Katibu Mkuu kuna tetesi juu ya fedha ya fomu ya nafasi ya ubunge na fedha ya mchango wa matumizi ya ofisi kwa wanaochukua fomu,
• Inasemekana fomu ni 100,000 (laki moja)= ya ubunge lakini kuna fedha ya matumizi ya ofisi 1,000,000=milion moja, jumla gharama zote(1100000) ni milion moja na laki moja,

Mh! katibu mkuu wa CCM tunaomba ufafanuzi juu ya fedha ya matumizi ya ofisi kwa wagombea mbalimbali hii ni kero sana, tunaomba hili chama cha mapinduzi kitoe ufafanuzi zaidi,

Asante;
 
Mlitaka uraisi?Unafikiri hicho kikao cha kura zamaoni kitagharamikiwa na nani?Kama unakubalika nenda kwa wafuasi wako wakakuchangie sio unalalamika tu hapa.
 
Hivi huyu si ndiye alikuwa mahabusu muda mrefu sana? Alitoka lini? Bado hajajifunza tu?
 
Mlitaka uraisi?Unafikiri hicho kikao cha kura zamaoni kitagharamikiwa na nani?Kama unakubalika nenda kwa wafuasi wako wakakuchangie sio unalalamika tu hapa.
Well said. Hakuna mtu anayeomba uongozi akajiongoze mwenyewe, lazima awe na wafuasi. Mtu akitaka uongozi, na kama anaaminiwa, watu watamchagua tu hata kama hana pesa, na kama ni fomu atachangiwa.
Tena mbona wameweka kiwango kidogo? Wangeweka sh milioni kumi na saini za wanachama elfu moja wanaomdhamini kwa sh elfu kumi kila mmoja, na hii itasaidia kupima kukubalika kwa mgombea.
 
Barua ya wazi kwa katibu mkuu CCM,
• Mh Katibu Mkuu kuna tetesi juu ya fedha ya fomu ya nafasi ya ubunge na fedha ya mchango wa matumizi ya ofisi kwa wanaochukua fomu,
• Inasemekana fomu ni 100,000 (laki moja)= ya ubunge lakini kuna fedha ya matumizi ya ofisi 1,000,000=milion moja, jumla gharama zote(1100000) ni milion moja na laki moja,

Mh! katibu mkuu wa CCM tunaomba ufafanuzi juu ya fedha ya matumizi ya ofisi kwa wagombea mbalimbali hii ni kero sana, tunaomba hili chama cha mapinduzi kitoe ufafanuzi zaidi,

Asante;
Bandiko la kipuuzi lilojaa utoto kifkira

Unamwuliza KM kwenye mtandao au nia yako ni kufitinisha? Kama wewe ni mtia nia, fika ofisi ya Chama upate maelezo.
 
Barua ya wazi kwa katibu mkuu CCM,
• Mh Katibu Mkuu kuna tetesi juu ya fedha ya fomu ya nafasi ya ubunge na fedha ya mchango wa matumizi ya ofisi kwa wanaochukua fomu,
• Inasemekana fomu ni 100,000 (laki moja)= ya ubunge lakini kuna fedha ya matumizi ya ofisi 1,000,000=milion moja, jumla gharama zote(1100000) ni milion moja na laki moja,

Mh! katibu mkuu wa CCM tunaomba ufafanuzi juu ya fedha ya matumizi ya ofisi kwa wagombea mbalimbali hii ni kero sana, tunaomba hili chama cha mapinduzi kitoe ufafanuzi zaidi,

Asante;
Kuna utata mkubwa kuhusu gharama za fomu za kugombea uongozi ngazi ya ubunge na udiwani kupitia ccm.kila wilaya inauza fomu Bei yake ya ubunge na pia kila kata inauza fomu ya udiwani Bei yake. Tunaomba chama Kama chama kitoe maelekezo ya Bei elekezi ya fomu ya kugombea ubunge na udiwani kwa nchi nzima.makatibu wa ccm wilaya na kata wamefanya kipindi hiki kuwa kipindi Cha upigaji wa fedha.kupitia mauzo ya fomu.
 
Back
Top Bottom