Uchaguzi 2020 Watia nia Ubunge Njombe mjini wafikia 23

moma2k

JF-Expert Member
Dec 12, 2010
1,061
1,327
Kwa mara ya kwanza ubunge CCM Njombe Mjini wapata watia nia wengi na mchanganyiko toka kada mbalimbali. Sasa wafikia 23. Kazi na uchapakazi wa Magufuli amewavutia watu wengi kuingia kwenye siasa za CCM.

Yupo Mwalongo mbunge mstaafu
Mwalimu Dr. L. Mwalongo
Mr. Mchami diwani CCM mstaafu
Mr. Mahali
Danda mwanasiasa machachali hapo Njombe
Dr.Ignasia Mligo mhadhiri wa UDOM
Adv. Msemwa Mgombea ubunge Njombe 2010,2015,
Dr. Adv. Fidelis Mligo mhadhiri wa sheria ktk chuo kikuu Iringa na mgombea ubunge CCM Afrika Mashariki 2017
Mwalimu Dr. Manga mwalimu Njoss nk.

Orodha inazidi kuendelea. CCM chama dume duniani.
 
Back
Top Bottom