Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mgombea makini wa nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA ngazi ya Taifa Mhe.Tundu Lissu amekiri hadharani kuwa CHADEMA chini ya Mbowe haina uwezo tena wa kuvitia hata Mwanachama kichaa. Soma alichosema...
8 Reactions
56 Replies
2K Views
==== Kama Mbowe tayari ni mjumbe wa Kamati kuu ya CHADEMA mpaka kifo chake kwanini anataka kumtoa Lissu kwenye Kamati kuu? Nia ya Mbowe ni Nini? Kitendo Cha CHADEMA na Kamati kuu kumkosa Tundu...
2 Reactions
18 Replies
870 Views
Ni kosa kubwa na la kiufundi wajumbe wa mkutano mkuu wa Taifa kumchagua mtu kuwa mjumbe wa Kamati Kuu wakati Kwa mujibu wa Katiba ya CHADEMA yeye tayari ni Mjumbe wa Kamati kuu mpaka Kufa, hili...
10 Reactions
35 Replies
2K Views
Aisee kumtetea huyu mmiliki wa CHADEMA ni kazi ngumu sana. Haina tofauti na kuwatetea single maza na polisi. Igizo lake alilofanya leo lina makosa mengi sana ya kiufundi kiasi kwamba wapinzani...
14 Reactions
120 Replies
5K Views
WAKATI MAJIMBO NA MIKOA HAMPATI HATA LAKI MOJA YA KUWASAIDIA KWENYE KAMPEINI KUJENGA CHAMA, MAKAO MAKUU TUMEGAWANA ZAIDI YA MILIONI MIA NNE KUTOKA KWENYE RUZUKU Nawasalimu wakubwa Viongozi na...
22 Reactions
42 Replies
3K Views
HAWA WOTE WALIONDOKA CHADEMA KWA SABABU YA MBOWE WAKATI BAADHI WAMEAHIDI KUREJEA CHADEMA KAMA MBOWE ATAFURUSHWA KWA KURA. Prof. Safari Dr. Wilbroad Slaa Dr. Vicent Mashinji Zitto Zuberi Kabwe...
4 Reactions
30 Replies
2K Views
LISSU AMESHINDA KABLA YA KUSHINDA Kwakutumia Elimu yangu ya Sayansi ya siasa Leo natoa facts tano (5 ) tu kuonesha tayari Lissu ni mshindi hata kabla ya kura, 1. Uchaguzi wowote ni namba...
41 Reactions
127 Replies
6K Views
Kuna mambo tunaweza kubishana pengine ili kulinda itikadi au falsafa zetu ila kamwe hatuwezi kubishana ili kulinda uhalifu na uovu mkubwa kwa kiwango hiki kwenye taasisi kubwa kama CHADEMA...
8 Reactions
74 Replies
4K Views
1. Kwa sasa! Tundu Lissu anatosha ili aje aisuke upya Makao Makuu ya CHADEMA maana imeyumba sana! 2. HQ ya Chama chetu inaendeshwa kimazoea sana; watu wenye fikra pevu hawawezi kudumu na...
27 Reactions
75 Replies
5K Views
AMEANDIKA REMIGIUS AFISA WA IT CHADEMA MAKAO MAKUU Secretariat ya Chama Makao Makuu ilizuia majimbo 78 yasipewe printer bure, Laptop 254 na Video Camera 10 . Twende pamoja; Ndugu Mwanachama na...
27 Reactions
86 Replies
4K Views
Habari za Chini chini zinasema wafadhili wa CHADEMA na Lissu wamemuhakikishia Lissu endapo atakuwa Mwenyekiti wa CHADEMA wao na marafiki zao watatoa helkopa tatu pamoja na gari moja katika kila...
22 Reactions
81 Replies
4K Views
Wakili wa Mahakama kuu ya Tanzania Mhe Jebra Kambole amewaonya wanachadema wanaotaka Freeman Mbowe aendelee na Uenyekiti kwa miaka mingine 25 ijayo waache hayo mawazo. Wakili Jebra Kambole...
40 Reactions
143 Replies
6K Views
Kweli Sasa nimeamini kama Lissu hatashinda basi hakuna CHADEMA tena Tanzània, Mfikishieni Mbowe habari hizi,
11 Reactions
29 Replies
3K Views
Huyu ni Kada maarufu wa CHADEMA na mtu wa karibu wa Freeman Mbowe kwa miaka mingi anaandika haya, "Siasa zinabadilika sana Leo kumnadi Freeman Mbowe ni sawa na kunadi nyama ya kitimoto Visiwani...
20 Reactions
55 Replies
3K Views
Mimi nadhani ingekuwa heri sana kwa Mbowe kuachia nafasi hiyo ya Uongozi ndani ya CHADEMA kabla ya UCHAGUZI. Ajabu ni kuwa leo CHADEMA mpaka makanisa na Watumishi wa Mungu wameanza kuonesha...
17 Reactions
48 Replies
2K Views
Makamanda kama kweli itatokea mtaanza kupokea pesa huko Majimboni kwenu kutoka kwa Freeman Mbowe basi ondoeni mashaka kabisa kuwa Mwenyekiti wenu tayari ni mtu wa Serikali na nirafiki wa...
14 Reactions
52 Replies
3K Views
MAJARIBIO YOTE YA KUTAKA TUNDU LISSU AONEKANE MSALITI NDANI YA CHADEMA YAMESHINDWA VIBAYA SANA. WATANZANIA NA WANACHADEMA WAMEKATAA NA MBINU HII IMESHAFELI VIBAYA SANA. Je! UPEPO WA LISSU...
32 Reactions
96 Replies
4K Views
==== CCM Wana haki ya kutuchamba. Mheshimiwa Freeman Mbowe ametufedhehesha sana. Unadhani CCM watakwenda kuruhusu katiba mpya na tume huru ikiwa kama kiongozi wetu mwenyekiti wa taifa...
10 Reactions
50 Replies
3K Views
BARUA YA WAZI KWA WAJUMBE WA CHADEMA WA MKUTANO MKUU WA UCHAGUZI JAN21. Ndugu Wajumbe, Mara ya mwisho Mwenyekiti freemanmbowetz alipotangaza maandamano alijikuta peke yake barabarani na...
8 Reactions
24 Replies
1K Views
Anaandika Boniface Mwambukusi == KUMCHAGUA TL ni KUVAA MWILI MPYA USIO HARIBIKA. Mzee Kingunge aliwahi kumwambia Mrema wakati wa Kipindi cha Kitimoto miaka hiyo kwamba " Usipong'atuka...
14 Reactions
55 Replies
3K Views
Back
Top Bottom