Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Barua ya Wazi kwa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Na Elia Wilinasi Sikanyika Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. Samia Suluhu Hassan, Kwa heshima...
10 Reactions
73 Replies
4K Views
ALIYEKUWA Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini katika serikali ya Rais Jakaya Kikwete, David Jairo anadaiwa kupora na kujimilikisha ardhi kinyemela. Jairo ambaye pia amewahi kuwa Katibu wa...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
"Sisi posho siku moja tu bungeni tulikuwa tunalipwa laki nne, halafu Mwalimu kwa mwezi unamlipa laki 4" Soma, Pia: John Heche: Mbunge analipwa Milioni 20 kwa mwezi na posho ya laki 6 kwa siku...
10 Reactions
107 Replies
4K Views
Maslahi ya MBUNGE wa Tanzania by Martin Maranja Masese Mshahara & Posho — Sh16.5M (mwezi) Posho kujikimu — Sh250,000 (siku) Posho kitako — Sh220,000 (siku) Kiinua mgongo — Sh272M (5yrs) Mkopo...
28 Reactions
70 Replies
4K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali na kuwapangia vituo Mabalozi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu...
1 Reactions
38 Replies
4K Views
CCM walikuja na kauli mbiu yao "Zima zote washa kijani" wakimaabisha wafute ushawishi Wa vyama vyote wabakie wao CCM. Lakini Kwa Sasa tangu CHADEMA ianze harakati zake za "No reforms No Election"...
6 Reactions
9 Replies
557 Views
Wananchi wa Jimbo la Bumbuli mkoani Tanga wamemshukuru Mbunge wao, January Makamba, kwa juhudi zake za kutatua kero mbalimbali zinazowakabili, huku wakieleza kwamba watamchagua tena wakati wa...
0 Reactions
4 Replies
421 Views
Utangulizi Uongozi unachukua nafasi muhimu katika maendeleo ya taifa. Nchini Tanzania, changamoto kama ufisadi, utawala dhaifu, na maamuzi mabaya vimezuia ukuaji wa uchumi na maendeleo ya...
3 Reactions
5 Replies
568 Views
Hakuna kilichobadilika, hakuna kipya kilichoanzishwa cha maana, hakuna kinachofanikiwa miongoni mwa wanavyojaribu kuvipush. no reform no elections umepuuzwa na inapingwa mpaka na viongozi...
2 Reactions
60 Replies
3K Views
Habari watanzania wenzangu Nianze kwa kusema kitu chochote unachokipenda utakilinda ,utakithaminisha na kukitetea kwa gharama kubwa pale unapoona kinaweza kuchukuliwa. Inasemekana baba wa Taifa...
0 Reactions
17 Replies
872 Views
Kuna shirika moja la kiutafiti liliwahi kufunga mjadala kwa kusema 3/4 au tuseme 75% ya Watanzania ni wendawazimu. Yawezekana ni zaidi ya 75% ila waliogopa tu kusema ukweli. Mwaka wa uchaguzi mkuu...
13 Reactions
35 Replies
1K Views
Naam.... Ndivyo mchezo wa chess ya madaraka ilivyo..... Kutoonekana kwa Mbowe kumewaacha mahasimu wake wakijiuliza, na wengine wakitaka atoe neno tu au ashiriki kwenye ziara zao ambazo...
4 Reactions
15 Replies
706 Views
Profesa Anna Kajumulo Tibaijuka anasema ukiwa ni mtu wa kupiga makofi tu Bungeni huisaidii serikali Akizungumzia kuhusu demokrasia na chimbuko lake Profesa Anna Kajumulo Tibaijuka amegusia...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
RC wa Mbeya, Zuberi Homera Wakuu: Uamuzi wa TANESCO Mbeya Kukata Umeme Mkoa Wote Siku Nzima Jumapili Wakati wa Ziara ya Lissu ni Tukio la Kinasibu au Hujuma ya Kisiasa, matumizi mabaya ya madaraka...
5 Reactions
159 Replies
6K Views
Kuna kitu kinawasumbua, Kuna kitu hawaridhiki nacho watanzania ndiyo maana wanakusanyika wakiamini drive aliyo nayo Lisu and chadema as a whole can make a difference kwa hicho kinachowasumbua...
8 Reactions
28 Replies
1K Views
Hapa ni Wampembe, Jimbo la Nkasi Kusini. Tundu Lissu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa amesisitiza Lijualikali ni Mtoto wa Laana. So now ana majina Mawili. Mtoto wa Dawa na Mtoto wa Laana. Lissu limtoa...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Tanzania Samia Suluhu Hassan amekamilisha ujenzi wa shule kubwa ya wasichana Lugalo Iringa. Timu ya waandishi wa habari wakiambatana na officialbabalevo washuhudia...
0 Reactions
1 Replies
437 Views
Kwa sasa CCM ni kama chama ambacho kimechoka na kukata tamaa kabisa. Kimebaki kuendesha mikutano yake kama matamasha na kuzungusha watu Dar kwenda kujaza mikutano ya viongozi maeneo mengine...
2 Reactions
7 Replies
579 Views
Zimekuwapo tabia mbovu mbovu za wakaazi wa Dar kuwaita wakaazi wa sehemu tofauti na Dar eti wanatoka Mikoani. Arusha huwezi kuifananisha na Mikoa kama Njombe,Pwani,Mtwara au Songea. Arusha ni...
6 Reactions
92 Replies
5K Views
Wakuu, Hawa walitaka usahihi gani wakati Makalla ametamka hayo loud and clear? Walitaka aelezee nini tena ndio waiweke? Wameiondoa sababu CHADEMA hawajajibu? Kwahiyo CHADEMA wakikaa kimya...
5 Reactions
47 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…