Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Morogoro, wameandaa Kongamano kubwa litakalokuwatanisha Vijana kutoka ndani na nje ya Mkoa wa Morogoro litakalofanyika leo.
Soma...
Mchungaji wa Kanisa la Tanga Pentecostal Asemblies of God (TPAG) la jijini Tanga, Jeremiah Kihali, ametia neno kuhusu Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2025.
Akiongea baada ya ibada ya Jumapili...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) leo Machi 18, 2025, imepokea na kujadili taarifa ya utekelezaji wa miradi ya ujenzi wa barabara ya Kasulu - Kabingo yenye urefu wa...
Kila masika na mbu wake, lakini mbu hawa wa kukua sana shughuli za Bandarini, Serikali ijipaange kutatua.
Mizigo na shehena za bidhaa zinazoteremshwa Bandarini zimekuwa nyingi mno.
Miundombinu ya...
Nchi hii inashindwa kufika mahali ilipotakiwa kufika kwa sababu ya kuongozwa na watu wasiojitambua, wasiojua wajibu wao wala mipaka ya mamlaka yao.
Kuna habari zinazunguka mitandaoni kuwa eti DC...
Wilaya ya Mlele imefanya hafla ya kupongeza miaka minne ya Uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, iliyofanyika katika Viwanja vya Shule ya Msingi Ibelamafipa iliyopo Kijiji cha Ilunde Halmashauri ya...
Wakuu,
Binafsi naamini kabisa mfumo wa Uchaguzi wa kwenye nchi hii unapaswa kubadilishwa lakini itumike akili na busara kufanya hivyo.
Mara nyingi tumeona Tundu Lissu na CHADEMA wakisema kuwa...
Mkurugenzi wa Kituo Cha Uwekezaji Tanzania TIC bwana Gilead Teri amesema mwaka 2024 ulikuwa ni mwaka wa mafanikio makubwa Kwa TIC kwani ilisajili miradi Mingi ipatayo 901 yenye thamani ya Shilingi...
Mkurugenzi wa Kituo Cha Uwekezaji Tanzania TIC bwana Gerald Teri amesema sera Bora na nzuri za Uchumi na Biashara zilizoasisiwa na Rais Samia zimefanikisha kuvutia uwekezaji wa mtaji (FDI) wenye...
Imetokea asubuhi hii, Mazishi yatafanyika leo saa kumi jion katika makaburi ya Kisutu Dar es Salaam.
========
Kamanda wa polisi wa zamani mkoa wa Kilimanjaro Dkt. Mohamed Chico amefariki Dunia...
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amewaambia wananchi wa Buchosa kuwa Rais Samia Suluhu Hassan amefanikiwa kuurejesha uchumi wa nchi mahali ulipokuwepo kabla ya janga la Corona.
Kupata matukio na...
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza kuongeza mashine za BVR na watendaji katika vituo vyenye msongamano mkubwa wa watu ili kuhakikisha uandikishaji na uboreshaji wa taarifa katika...
Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Idara ya Uhusiano wa Kimataifa vyuo na vyuo vikuu unatarajia kufanya kongamano kubwa litakaloshirikisha vijana kutoka maeneo mbalimbali nchini ikiwa ni...
Mbunge wa Dodoma mjini na waziri wa Madini Mhe. Anthony amechangia kiasi cha pesa shilling milioni 5 za kitanzania kwa ajili ya kununua miamvuli 100 ambayo itawasaidia wafanyabiashara kutoka...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amekabidhi Bajaji mpya yenye thamani ya Shilingi milioni 10.5 Kwa Baraza la Wanawake wa Kiislamu Tanzania, Wilaya ya Iringa lengo...
Mbunge wa Jimbo la Monduli mkoani Arusha Mhe. Fredrick Lowassa amesema Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imetoa takribani shilingi Bilioni 37 kwaajili ya kutekeleza miradi ya maji wilayani...
Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Shinyanga kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Salome Makamba amesema Rais Dkt Samia Suluhu Hassan anapaswa kuungwa mkono pindi atakapochukua fomu ya...
Baada ya uongozi mzima wa nchi kuamini kwamba VETA ndo suluhisho la matatizo ya nchi, ningependa kujaribu kutafuta ajira kule Bungeni. Bungeni bado tuna watu wanajua kusoma na kuandika tu! Hata...
Ni miaka zaidi ya 30 sasa imepita pale ambapo wanasiasa, wadau wa Demokrasia na wanaharakati walitaka kutokee kwa Mageuzi ya sheria za uchaguzi na Katiba ambayo yanahakisi mabadiliko ya kurejea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.