Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mkutano kati ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Msajili wa Vyama vya Siasa unatarajiwa kuwa na matokeo muhimu katika mchakato wa kisiasa nchini Tanzania. Msajili wa Vyama vya Siasa...
0 Reactions
5 Replies
733 Views
Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Morogoro, wameandaa Kongamano kubwa litakalokuwatanisha Vijana kutoka ndani na nje ya Mkoa wa Morogoro litakalofanyika leo. Soma...
0 Reactions
3 Replies
560 Views
Mchungaji wa Kanisa la Tanga Pentecostal Asemblies of God (TPAG) la jijini Tanga, Jeremiah Kihali, ametia neno kuhusu Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2025. Akiongea baada ya ibada ya Jumapili...
0 Reactions
0 Replies
367 Views
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) leo Machi 18, 2025, imepokea na kujadili taarifa ya utekelezaji wa miradi ya ujenzi wa barabara ya Kasulu - Kabingo yenye urefu wa...
1 Reactions
4 Replies
802 Views
Kila masika na mbu wake, lakini mbu hawa wa kukua sana shughuli za Bandarini, Serikali ijipaange kutatua. Mizigo na shehena za bidhaa zinazoteremshwa Bandarini zimekuwa nyingi mno. Miundombinu ya...
9 Reactions
41 Replies
2K Views
Nchi hii inashindwa kufika mahali ilipotakiwa kufika kwa sababu ya kuongozwa na watu wasiojitambua, wasiojua wajibu wao wala mipaka ya mamlaka yao. Kuna habari zinazunguka mitandaoni kuwa eti DC...
18 Reactions
71 Replies
3K Views
Wilaya ya Mlele imefanya hafla ya kupongeza miaka minne ya Uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, iliyofanyika katika Viwanja vya Shule ya Msingi Ibelamafipa iliyopo Kijiji cha Ilunde Halmashauri ya...
0 Reactions
3 Replies
436 Views
Wakuu, Binafsi naamini kabisa mfumo wa Uchaguzi wa kwenye nchi hii unapaswa kubadilishwa lakini itumike akili na busara kufanya hivyo. Mara nyingi tumeona Tundu Lissu na CHADEMA wakisema kuwa...
2 Reactions
8 Replies
612 Views
Mkurugenzi wa Kituo Cha Uwekezaji Tanzania TIC bwana Gilead Teri amesema mwaka 2024 ulikuwa ni mwaka wa mafanikio makubwa Kwa TIC kwani ilisajili miradi Mingi ipatayo 901 yenye thamani ya Shilingi...
0 Reactions
14 Replies
719 Views
Mkurugenzi wa Kituo Cha Uwekezaji Tanzania TIC bwana Gerald Teri amesema sera Bora na nzuri za Uchumi na Biashara zilizoasisiwa na Rais Samia zimefanikisha kuvutia uwekezaji wa mtaji (FDI) wenye...
7 Reactions
117 Replies
5K Views
Imetokea asubuhi hii, Mazishi yatafanyika leo saa kumi jion katika makaburi ya Kisutu Dar es Salaam. ======== Kamanda wa polisi wa zamani mkoa wa Kilimanjaro Dkt. Mohamed Chico amefariki Dunia...
13 Reactions
256 Replies
47K Views
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amewaambia wananchi wa Buchosa kuwa Rais Samia Suluhu Hassan amefanikiwa kuurejesha uchumi wa nchi mahali ulipokuwepo kabla ya janga la Corona. Kupata matukio na...
0 Reactions
3 Replies
374 Views
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza kuongeza mashine za BVR na watendaji katika vituo vyenye msongamano mkubwa wa watu ili kuhakikisha uandikishaji na uboreshaji wa taarifa katika...
1 Reactions
3 Replies
392 Views
Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Idara ya Uhusiano wa Kimataifa vyuo na vyuo vikuu unatarajia kufanya kongamano kubwa litakaloshirikisha vijana kutoka maeneo mbalimbali nchini ikiwa ni...
3 Reactions
9 Replies
409 Views
Mbunge wa Dodoma mjini na waziri wa Madini Mhe. Anthony amechangia kiasi cha pesa shilling milioni 5 za kitanzania kwa ajili ya kununua miamvuli 100 ambayo itawasaidia wafanyabiashara kutoka...
1 Reactions
1 Replies
313 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amekabidhi Bajaji mpya yenye thamani ya Shilingi milioni 10.5 Kwa Baraza la Wanawake wa Kiislamu Tanzania, Wilaya ya Iringa lengo...
0 Reactions
3 Replies
452 Views
Mbunge wa Jimbo la Monduli mkoani Arusha Mhe. Fredrick Lowassa amesema Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imetoa takribani shilingi Bilioni 37 kwaajili ya kutekeleza miradi ya maji wilayani...
0 Reactions
1 Replies
328 Views
Magufuli hatokaa asahaulike hadi atakapopatikana jembe lingine. He lived a glorified life for his nation.
4 Reactions
28 Replies
907 Views
Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Shinyanga kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Salome Makamba amesema Rais Dkt Samia Suluhu Hassan anapaswa kuungwa mkono pindi atakapochukua fomu ya...
0 Reactions
0 Replies
346 Views
Baada ya uongozi mzima wa nchi kuamini kwamba VETA ndo suluhisho la matatizo ya nchi, ningependa kujaribu kutafuta ajira kule Bungeni. Bungeni bado tuna watu wanajua kusoma na kuandika tu! Hata...
5 Reactions
14 Replies
642 Views
Back
Top Bottom