Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ni ushauri tu Kwamba wamiliki wa zile plot za ufukweni waziendeleze Pale Pwani wako akina Abdulahman, Sykes, Kigoda, Wasomali nk Mzee Mohamed Said wakumbushe akina Sykes wajenge Ili Amani irejee...
9 Reactions
83 Replies
6K Views
Unamfahamu Madelu Lameck Mwigulu Nchemba ? nimeguswa na kuamua kuandika makala haya kuhusu mbunge wa Iramba Singida Waziri wa fedha na baba wa familia ya watu wengi sana wanaomzunguka ...
11 Reactions
192 Replies
10K Views
1- Watu wengi wanatulaumu sana, ninyi ndio Wasomi. Hebu fikiria, Juzi mama kaenda kukopa 1.3 Trilioni deni. 2- Na tuna majengo hivi sasa ya Madarasa, ya Vituo vya afya, ambayo yanajengwa kwa...
4 Reactions
4 Replies
756 Views
Mwenyekiti wa Wa Balaza la Wanawake Chadema Mbeya, ambaye pia niMakamu Mwenyekiti wa BAWACHA Taifa, Elizabeth Mwakimomo amewataka wanachama na wasio wanachama kufika katika mkutano wa hadhara...
1 Reactions
6 Replies
701 Views
Wananchi wa Kata ya Funta Halmashauri wilaya ya Bumbuli wamemshukuru Mbunge wa Jimbo hilo January Makamba kwa kutatua changamoto kubwa ya maji iliyokuwa ikiwakabili. Kupata matukio na taarifa...
1 Reactions
9 Replies
518 Views
Baada ya kufuatilia kwa kina siasa za kimajimbo na kuangalia nyadhifa za kiwaziri nikagundua kuwa tangu kuanze kwa utawala wa kibunge ni Mbunge mmoja tu aliwahi kushika nafasi ya ubunge kwa miaka...
0 Reactions
44 Replies
4K Views
Katika muktadha wa siasa za Tanzania, wananchi wa Moshi wamekuwa na sauti kubwa kuhusu masuala yanayowahusu. Sasa, kupitia bango linaloonekana wazi, wananchi hao wanatoa ujumbe mzito kwa Rais...
2 Reactions
37 Replies
3K Views
Nukuu za Rais wa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki sherehe za Uapisha za Rais Mteule wa Namibia Mhe. Nerumbo Nandi-Ndaitwah, leo tarehe 21 Machi, 2025...
2 Reactions
4 Replies
634 Views
Akitoa maoni kuhusu mchakato wa Uandikishaji na Uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura Nchini unaoendelea Dar es Salaa, Msanii wa Bongo Fleva, Joh Makini amesema: Ni haki ya Msingi ya Mwananchi...
0 Reactions
14 Replies
905 Views
Nasema tena CCM sio serikali moja, na kwa sababu hii itachukuwa miaka zaidi ya 100 kwa Tanzania kuwa na standard life for as long as CCM itaendelea kuwepo madarakani. Ishu ya Chalamila na Mwendo...
2 Reactions
16 Replies
964 Views
Huu ni wito ninaoupeleka kwa wadau wote wanaohusika wakiwemo wakazi wa Mkoa wa Dar es Salaam na wananchi wote kwa ujumla , Binafsi sikuona sababu yoyote ile iliyopelekea kuvunjwa kwa iliyokuwa...
15 Reactions
58 Replies
3K Views
Uongozi ni kuongoza kwa kuelekeza na kuonyesha njia utaratibu wa kuongoza Taasisi ya serikali unayo miongozo yake, huongozi tu kwa akili yako. Kwamba wewe kwa vile ni kiongozi wa kuteuliwa...
5 Reactions
70 Replies
6K Views
Kuajiri watumishi/wafanyakazi ni mchakato ambao unafanywa na watu wenye elimu na uzoefu wa kazi hiyo. Sasa napata mashaka pale ninapoona kasoro katika mchakato wa kuajiri wafanyakazi kwenye sekta...
2 Reactions
1 Replies
352 Views
Ni kiri kuwa mikopo ya umizi au kausha damu inawaumiza sana wananchi maskini. Hili ni tatizo kubwa na hata serikali wanalijua. Cha kusikitisha ni kwamba serikali wamekuja na njia ipi ya kumkomboa...
2 Reactions
2 Replies
384 Views
Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Sengerema wameaswa kutojihusisha na wagombea wa "mfukoni" wanaojipitisha majimboni na kata kutafuta nafasi za uongozi kabla ya wakati rasmi...
1 Reactions
1 Replies
270 Views
Wakuu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan siku ya leo amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali katika nyadhifa za serikali na bodi za kitaifa. Kwa mujibu wa...
8 Reactions
75 Replies
6K Views
Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela, leo amekutana na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ofisini kwake, Magogoni Ikulu jijini Dar es salaam ikiwa ni sehemu ya kujitambulisha...
3 Reactions
110 Replies
24K Views
Salamu ndugu Watanzania! Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa Watanzania wengi wamesikia Kauli yako ukiwataka Wasomi wenye degree waende sasa VETA wakasome tena. Ndugu Waziri Mkuu, huenda hujui maumivu...
8 Reactions
64 Replies
2K Views
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameipongeza Wizara ya Ardhi kwa kutekeleza maelekezo yake ya kuondoa mila potofu iliyokuwa inawanyima Wanawake haki ya kumiliki ardhi ambapo amesema kwa...
2 Reactions
21 Replies
1K Views
Maelfu ya vijana kutoka mikoa mbalimbali nchini, 19 Machi 2025 wamekutana mkoani Morogoro kusherehekea miaka minne ya dhahabu ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. Kupata taarifa na...
2 Reactions
22 Replies
1K Views
Back
Top Bottom