Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Mhandisi Mwajuma Waziri, ametangaza kuwa hali ya upatikanaji wa maji nchini imefikia asilimia 83 vijijini na 91.2 mijini. Ametoa takwimu hizo leo, Machi 22, 2025...
1 Reactions
36 Replies
2K Views
Great Thinkers Hakuna jambo linakera kama 1. Kutosikiliza na kuenzi wataalamu wetu. 2 Kutowatumia wataalamu wetu kuelimisha jamii. 3. Kuwathamini wasomi na kuwafanya watembee kifua mbele. 4...
0 Reactions
3 Replies
375 Views
Wakuu, Akizungumza leo wakati wa uzinduzi wa Sera ya Taifa ya Maji, Rais Samia ameagiza kuanzishwa kwa mfumo wa kidijitali utakaowawezesha watumiaji wa maji kulipia huduma hiyo kulingana na...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Jiunge nasi sasa katika mjadala wa Tathmini ya Zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura: Changamoto na Maboresho, ambapo unaweza kushiriki uzoefu wako, kutoa maoni, na kupendekeza maboresho...
0 Reactions
0 Replies
306 Views
Wananchi wa Dar kaeni Mkao wa kula,vyuma vipya piruuu vya Mwendokasi mda wowote citashushwa tayari kuanza kutumika.👇👇 My Take: Rais Samia Huwa anawajibu Wapinga Maendeleo Kwa Kazi Zinazoonekana...
5 Reactions
68 Replies
6K Views
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dayosisi ya Karagwe, Askofu Dkt Benson Bagonza anazungumzia mchakato wa Uandikishaji na Uboreshaji wa Daftari la Kupiga Kura: Kila Mtu anatakiwa...
16 Reactions
72 Replies
3K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Mara kimewasilisha ripoti maalum kwa Kanisa Katoliki, ikielezea matukio ya watu waliouawa au kupotea katika mkoa huo. Sambamba na hilo, chama...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Nchi yetu ya TANZANIA, watanzania, na serikali kupitia wizara ya afya, tumejipanga vipi ama tuna mipango ipi na gepu lililopo ama litarajiwalo kutokea la kukosa ama kutopokea tena misaada kutoka...
1 Reactions
6 Replies
471 Views
Hili sio kwa Raisi Samia pekee ni utamaduni hata wakati wa Kikwete 1. Wakati wenzetu wa South Afica na Kenya wana enda na katiba zao za Dunia ya sasa Tanzania tunapoteza muda . Kikwete aliweka...
3 Reactions
5 Replies
445 Views
Chama cha ACT Wazalendo tunaungana na mamilioni ya Watanzania nchini kuitaka serikali kumaliza tatizo la upatikanaji wa maji safi na salama nchini. Leo Machi 22, 2025, tunapoadhimisha Siku ya Maji...
0 Reactions
0 Replies
224 Views
  • Closed
Ubalozi wa Marekani jijini Dar es Salaam unawataka raia wa Marekani kuepuka kusafiri kwenda visiwani na maeneo ya pwani kusini mwa Kisiju, Tanzania. Wafanyakazi wa serikali ya Marekani wamezuiwa...
13 Reactions
69 Replies
5K Views
Hakuna aliyewahi kuthibitisha kuwa Tundulisu amewahi kuhujumu mali au fedha za umma hata sh. Mia mbili. Hajawahi kuwa muoga kwasababu ya maslahi. Anaposimamia jambo uhai wake huuweka pembeni...
6 Reactions
15 Replies
711 Views
KAMATI YA UTEKELEZAJI YA UMOJA WA VIJANA WA CHAMA CHA MAPINDUZI (UVCCM) MKOA WA DAR ES SALAAM IKIONGOZWA NA NDUGU MWENYEKITI NASRA M.RAMADHANI Umoja wa vijana wa CCM Wameandelea na zoezi wilaya...
1 Reactions
3 Replies
463 Views
Akizungumzia zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura ambalo limeanza kufanyika katika Mkoa wa Dar es Salaam Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC)...
3 Reactions
14 Replies
791 Views
Mhe. Rais wa Tanzania amefanya mengi sana makubwa na kubwa kuliko yote ni kumalizia Miradi waliyoianzisha yeye na Hayati Magufuli. Ambayo hawakuyaanisha ni mfano kizimkazi festivo ilo sio la...
2 Reactions
7 Replies
801 Views
Hivi karibuni kumeshuhudiwa kuongezeka kwa matumizi makubwa ya pombe kali, hususa kwa vijana kati ya miaka 15 mpk 30, kubeti, uvutaji bangi, mirungi, movi za hovyo, miziki ya hovyo n.k, kama...
19 Reactions
91 Replies
3K Views
Wakuu, Kwahiyo huduma ya maji tunapewa kama hisani, yaani tunabembeleza kupatiwa huduma bora na stahiki! Kwamba kupata maji siku za sikukuu na weekend ni mpaka maelekezo yatoke kwa...
2 Reactions
19 Replies
983 Views
Tanzania imefanya mazungumzo ya makubaliano makubwa ya kuiuzia Zambia umeme wa hadi megawati 1000 kwa mwaka, kupitia mkataba wa ununuzi wa umeme kati ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na...
0 Reactions
6 Replies
712 Views
Kuporomoka kwa thamani ya shilingi ni changamoto inayohitaji mikakati madhubuti ya muda mfupi na mrefu ili kuhakikisha tunarejesha uthabiti wa uchumi wetu. Ili kuimarisha shilingi dhidi ya sarafu...
3 Reactions
4 Replies
511 Views
Back
Top Bottom