Wanabodi
Mjadala wa wasomi wa vyuo vikuu kujiunga VETA, unaendelea.
Nimejitolea kuwa a self appointed balozi wa dhana hii kuwaelimisha watu what it is!. Moja ya vitu vikubwa na muhimu ambavyo...
Spika wa Bunge la Tanzania na Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Dkt. Tulia Ackson, kupitia Taasisi yake ya Tulia Trust, wamesema pamoja na kuendelea na ujenzi wa nyumba ya Mzee Obed Ambonisye...
Serikali ya Tanzania, Uganda na Kenya wote ni wanufaika wa maji ya Ziwa Victoria. Mito yote ya Kanda ya Ziwa na mito yote ya Uganda na Kenya inamwaga maji yake Ziwa Victoria na hatimaye maji...
Mbunge wa Same Mashariki Anne Kilango Malecela amevitaka Serikali kutilia uzito mkubwa swala la Ukatili wa Kijinsia wanaofanyiwa wanawake kwenye nyanja mbalimbali kuanzia majumbani Hadi kwenye...
Tunapoelekea uchaguzi Mkuu na kuvunja bunge na serikali,hawa ndio mawaziri wangu bora,ukimtoa Waziri Mkuu mzee wetu Meja.
1. Juma Aweso waziri wa maji haitaji kuelezewa sana kazi yake inaonekana...
Umati wa wananchi wa Kata ya Kivule wa Wilaya ya Ilala, jijini Dar es Salaam, wamejitokeza kwa wingi kupata matibabu ya macho na kupimwa magonjwa ya wanawake bure, kisha kutoa ombi kwa taasisi...
Mbunge wa Jimbo la Mufindi Kusini na Naibu Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile amefanya ziara ya ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi wa Kituo cha Afya cha Kata ya Mninga.
Akizungumza na wananchi...
Mwenyekiti Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Ndugu Mary Chatanda amesema kuwa akitokea Mwanaume anagombea nafasi ya Urais katika uchaguzi mkuu ujao asipewe kura huku akiwasisitiza wanawake...
"Kwa miaka mingi sana Jimbo la Kibamba lililopo wilaya ya Ubungo limekuwa na shida kubwa ya maji katika mkoa wa Dar es Salaam, hata hivyo mama (Rais Samia Suluhu Hassan) ulisikia kilio cha...
Kufuatia andiko la Mbunge wa Jimbo la Siha na Naibu Waziri wa Afya Godwin Mollel la kuita Kamati ya siasa Wilaya ya Siha kuwa ni vibaraka mtifuano mkali umeibuka na baadhi ya viongozi wakilaani...
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Mwenyekiti wa Chadema pamoja na jopo lake wakiwemo Makamu Mwenyekiti John Heche na Mjumbe wa Kamati Kuu Godbless Lema, wamekutana na kufanya mazungumzo na Raila...
Kutokana na hali na mazingira mapya ya kisiasa ninashauri wale wabunge 19 warudishwe kujenga chama na kuongeza ushawishi kuelekea uchaguzi Mkuu kwa misngi ifuatavyo
1. Wabunge hawa pamoja na...
Kama uchaguzi ukiwa huru na wa haki, na Tundu lissu akawa mgombea urais, Lissu atashinda kwa 95%. Bitozo atashika nafasi ya nne. Ushindi wa Urais wa Tundu Lissu ni UHAKIKA kama uchaguzi ukiwa huru...
Miaka mingi tumekuwa tukifanywa mawakala wa Nec kwenye chaguzi. (Wasimamizi) na tumekuwa tukitumika kama kondomu . Huku tukificha maovu na ujanja ujanja wa CCM.
Kupata matukio na taarifa zote kwa...
Kamati ya ushauri ya wilaya ya njombe imeridhia mapendekezo ya kubadili jina la jimbo la uchaguzi la Njombe Mjini na kuitwa jimbo la Njombe Kusini
Wakizungumza katika kikao maalumu kilichofanyika...
Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa Viti 20 Bara Richard Kasesela amewataka wabunge walioko madarakani kuacha kuwakanyaga na kuwachoma wale wanaoonesha nia ya kugombea kwenye maeneo yao...
Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa wilaya ya Wanging'ombe waliojitokeza kwenye mkutano ambao umefanyika leo Machi 22,2025 katika viwanja vya...
22 MARCH 2025
Dar es Salaam, Tanzania
MWENYEKITI WA KANDA YA CHADEMA PWANI AFANYA JAMBO KWA WANANCHI WA DAR ES SALAAM
Hotuba nzito za tolewa kuhusu umoja wa waTanzani katika Iftari iliyofanyika...
Baada ya kumaliza mazungumzo yenye Mafanikio Makubwa na Ubalozi wa Marekani, Viongozi wa Chadema mchana huu Wameingia Zanzibar kwa ziara ya kikazi ya siku moja.
Mambo ni mengi sana ila muda ni...
Kiukweli nimekuwa mfuatiliaji wa mijadala mbalimbali hapa jukwaani,nilichojifunza
Mosi: Ikiletwa hoja inayolinda maslahi ya Tanzania,Wengi huungana kutetea maslahi ya nchi bila kujali itikadi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.