Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, ametoa zaidi ya tani mbili za sukari kwenye misikiti iliyopo katika Jimbo la Buchosa ikiwa ni sehemu ya sadaka kwa waumini wa dini ya Kiislamu wanaoendelea na...
0 Reactions
6 Replies
475 Views
Kwa kweli nalilaani tetemeko la ardhi lililotokea Bukoba na kusababisha vifo vya baba, mama, bibi, anko, shangazi na wadogo zangu. Pia ninalaani vikali wale waliotumia rambi rambi zilizochangwa na...
6 Reactions
22 Replies
2K Views
Mfumo wa kisiasa nchini Tanzania unakabiliwa na changamoto kubwa, hasa kutokana na ukweli kwamba Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndiye Rais wa nchi. Huu ni muundo unaoweza kuleta hatari...
4 Reactions
6 Replies
615 Views
Mafanikio usafirishaji umeme; Ongezeko la urefu wa njia kuu za kusafirisha umeme Mwaka 2021 (Machi) Kilomita 6423.53 Mwaka 2025 (Februari) Kilomita 8141.38 Ongezeko la Kilomita 1717.85. Sawa na...
0 Reactions
0 Replies
261 Views
Inashangaza sana kwamba CCM wanapinga nini maana hata wenyewe hawajui wanapinga nini 1. Je mnapinga reforms ambayo ni mabadiliko ya mfumo wa sheria za kupiga kura 2. Je mnapinga uchaguzi kusubiri...
1 Reactions
0 Replies
264 Views
Wakuu, Yaani it seems kabisa kabisa CCM wako comforotable na maisha duni ya Watanzania. Yaani RC anaita media kabisa katika mkoa na bila aibu ANAKAA CHINI kwenye majani kula na wanafunzi. Ina...
3 Reactions
30 Replies
2K Views
WANACHAMA CHADEMA MBEYA WATIMKIA CCM MBEYA: Zaidi ya Wanachama wapya 50 wamejiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoani Mbeya kutoka katika vyama vya upinzani wakitaja kuridhishwa na utekelezaji...
1 Reactions
12 Replies
996 Views
Baada ya miaka 11 ya kuibuka kwa kashfa ya Tegeta Escrow mwaka 2014 iliyoihusisha Shirika la Umeme (Tanesco) na Independent Power Ltd (IPTL), sakata hilo limeendelea kuibuka kila mara likija na...
1 Reactions
2 Replies
527 Views
Tumefika mahali wengine tumechanganyikwa na dhana ya No Reform No election, Mimi naomba wachambuzi wa mambo mnisaidie. Ukiangalia ni kweli uchaguzi wa 2019, 2020 ulikuwa mbaya haijawahi kutokea...
2 Reactions
8 Replies
460 Views
Wakati tunachambua ripoti ya CAG, nilazima tujifunze mambo mapya kwa kurejea nyendo zetu za nyuma zilizozaa makosa yetu ya leo. Niliwahi kuhoji kipindi flani cha nyuma kuhusu aina ya...
7 Reactions
11 Replies
819 Views
Bila kupepesa macho huyu ni kirusi ndani ya CHADEMA kinachofanya jitahada za kukikwamisha chama kwa external force kutoka upande wakijani. Kwa nini CHADEMA wanamlealea au wanaogopa nini?
3 Reactions
21 Replies
923 Views
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe Mtanda awataka vijana wasikae vijiweni washiriki kwenye makongamano kusikiliza fursa mbalimbali, Mtanda ameoa wito huo kwenye Konga la wazi la Fursa za kiuchumi kuhusu...
2 Reactions
21 Replies
1K Views
Katibu wa Siasa, Itikadi, uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Amos Makalla akivishwa vazi la uchifu la kabila la Wahehe akiwa Wilaya ya Mufindi Mkoani Iringa. Kupata matukio na...
1 Reactions
4 Replies
470 Views
Karibuni tujadiri bhana
3 Reactions
8 Replies
492 Views
Tanzania kunufaika na mpango wa maendeleo wa Mattei kwa ushirikiano na UNDP Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Tanzania, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo ameshiriki katika...
0 Reactions
0 Replies
258 Views
Mimi sio muisilam ila huwa napenda sana kufatilia mawaidha! Iftari za siku hizi si kuftrisha tena watu wenye uhitaji kama mayatima, wajane, wazee wasio jiweza na watu wengine wasio na uwezo...
6 Reactions
20 Replies
838 Views
Pembezoni mwa Mkutano wa Mpango wa Mattei kwa Afrika na ‘EU Global Gateway’ jijini Roma, Italia, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi, Mahmoud Thabit Kombo (Mb.)...
0 Reactions
2 Replies
320 Views
Wapendwa Leo nimeona niwaombe radhi kwa nitakaowaudhi. Kama kuna kitu kinanisikitisha kwenye SIASA zetu ni kutokuwa na UKOMO VITI MAALUM Hiki kiti kumekuwa kama mwenye nacho apewe maana kuna...
3 Reactions
19 Replies
836 Views
Back
Top Bottom