Tunachambua ripoti ya CAG, tujifunze mambo haya mapya

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2010
Posts
17,026
Reaction score
20,511
Wakati tunachambua ripoti ya CAG, nilazima tujifunze mambo mapya kwa kurejea nyendo zetu za nyuma zilizozaa makosa yetu ya leo. Niliwahi kuhoji kipindi flani cha nyuma kuhusu aina ya wafanyabiashara wa kiserikali wa Tanzania chini ya Serikali ya CCM, ambapo ni Tanzania tu duniani kote ambako nimeshuhudia kwa macho yangu ya nyama, biashara inafilisika na kufa kabisa kwasababu tu biashara hiyo inazidiwa na wateja. Sikupata majibu, niliangalia biashara ya mwendokasi ambayo imehodhiwa na serikali na hakuna msafirishaji mwingine yoyote wa Mwendokasi nchini zaidi ya srrikali lakini mradi unazidiwa na wateja na unakufa huku tunajionea.

Serikali hiyo hiyo ikaanzisha mradi wa Ndege kwa kufufua shirika la ndege la ATCL kwa kununua ndege mpya zaidi ya 15 na kuendesha vita vya kibiashara na sekta binafsi ya anga ambapo mashirika kadhaa ya ndani yaliyojaribu kupambana na dola kibiashara yalijikuta yakifilisika huku tukishuhudia vilio vya akina Laurance Masha na Fasta Jet yake, Precision Airlines nao wakakumbana na ushindani wa ajabu sana uliohatarisha kampuni, Coast Air nao wakaonja joto, Auric Air nao hawakuachawa, Lakini mashirika ya kimataifa hayakuwa salama mbele ya Serikali ya ccm iliyodhamiria kufanyabiashara ya ndege nchini.

Katika eneo hili la barabara hasa za mwendokasi ili serikali ijihakikishie udhibiti wa soko, kwanza iliweka sheria mpya ambazo ziliondoa usafirishaji wa binafsi yaani daladala katika mradi husika, kisha serikali ikaingiza yenyewe mabasi yake na kuingia rasmi yenyewe kufanyabiashara ya kusafirisha abira ikiwa haina ushindani wowote kabisa! Biashara ikawaahinda ni hasara tu kwa nchi na kero kwa wasafiri.

Kwenye usafiri wa anga nako serikali ili idhibiti soko la anga nchini na kujihakikishia soko kubwa, Serikali hiyohiyo ya ccm, Wakati inafufua shirika la ndege la ATCL ilikuja na sheria kali sana ambazo kwa namna yoyote kampuni za kitanzania zisingeweza kuhimili na hata kampuni za kigeni zilishindwa kuendelea kufanyabiashara nchini, haa nitaeleza sheria ya gharama za moja kwa moja zilizotengenezwa na serikali ambazo kampuni za ndege zilitakiwa kuwajibika kulipia mbele ya mamlaka, ambapo ndege nazo kimsingi zilipeleka gharama hizo kwa mlaji ambae ni abiria. (direct cost alizokutana nazo abiria apandae ndege)

Abiria wa kimataifa (International passenger alipaswa kulipia gharama zifuatazo katika tiketi yake,
Airport Tax (TRA) 40$, Zaman ilikua 30$.
Security charges (TAA) 5$, Zamani Free.
Safety fee (TCAA) 9$, Zamani 8$
Jumla 54$ x 2350=126,900tzs. Zamani 38$ tu.

Local passenger ada zikapandishwa akawa analipa
AT 10,000/=
SF. 3,000/=
SC 2$. Hii nikodi ya moja kwamoja ambayo hata kwenye tiket imeandikwa. Hii haijumuishi gharama kama

Navigation charges (TCAA)
Landing & Parking. (TAA)
Mafuta

Huu ndo mzigo alibebeshwa Abiria wakati wa kampeni ya kufufua shirika la ndege la ATCL, gharama zote hizo kampuni ya ndege ilitakiwa kuzikata kwa abiria kabla ya faida yake. Fastjet sio wakwanza kushindwa soko la aviation Tz, Waliomtangulia, Moshi Aviation, Etihad, British Airways, Air seashells, na Kenya Airways walifika hatua ya kufunga ofisi zao KIA na Dar. Chezea CCM wewe, wao ndio wataalamu bwana…..

Baada ya miradi hii ATCL na BRT kuanza kuyumba sisi tunaotazamwa kama wananchi wa daraja la tatu nchini, tulishauri kwamba, kwa asili serikali sio chombo cha kibiashara, sio asili ya serikali kutafuta faida, Bali ni chombo cha huduma tu. Tukashauri baada ya kujenga miundombinu ya barabara na kurejesha shirika la ndege, Sasa serikali ikae pembeni ikabidhi sekta binafsi za kibiashara ziendeshe mashirika hayo kwa faida na serikali isubiri magawio yake na kodi tu, Hili tulilishauri tukihimiza hata juu ya Mradi wa Reli ya SGR pia wakaribishwe wa wekezaji wazawa waebdeshe kwa faidi,

Mashirika hayo yote yanayopata hasara na kufa yanaongozwa na watanzania wenye elimu za juu sana madaktari na maprofesa wa uchumi (Drs na PHds, lakini matokeo ni ziro kabisa, Hebu fikiria biashara ya Mkinga pale Kariakoo na namna aina ya watu wanaoipngoza mfano 1. Baba Mkurugenzi, elimu hajaenda hule, 2.Mke Mhasibu kaishia kidato cha nne, 3.Mtoto Sales kaishia kidato cha tano akaacha shule, 4.Store Keeper Uncle hajakanyaga shule kabisa.
Lakini hawa viongozi wa biashara hii ya Mkinga hapo Kariakoo Wanapata faida mpaka wanajenga Ghorofa magorofa kariakoo hiyohiyo yenye thamani ya 100b

Tujisahihishe, Dunia ya uchumi ni ya sekta binafsi sio ya serikali, Serikali ibaki kwenye usimamizi wa sera, usalama na kodi tu!

Na Yericko Nyerere

IMG_7314.jpeg
 
Hii report ni fake, kuna uozo mkubwa sana haswa kwenye Wizara, bunge na Ikulu hakuna ukaguzi wowote unafanyika zaidi ya maigizo, sasahivi Halmashauri zinashinda kutoa rushwa kwa watumishi kutoka ofisi ya CAG kuliko wakati wowote ule, na hakuna ofisi ina wala rushwa kama ofisi ya CAG sema ni kwasababu inapokea rushwa kutoka kwenye taasisi za umma hakuna kelele, waambie waruhusu ukaguzi kutoka nje ya nchi au taasisi huru za ukaguzi, kuna ouzo mbaya sn.
 
Waambie watengeneze mfumo wa kubidhibiti double payment mtu akilipwa Wizarani au Halmashauri system imtambue kama amelipwa sehemu fulani, matumizi ya mafuta ya magari watumie mfumo wakiweka mafuta wajaze kwenye system pamoja na matengenezo hawatakubali, kimsingi mifumo imeoza imejaa wizi tupu, kuna mfumo unaitwa MUSE ni utapeli tupu na NeST.
 
Tatizo wanatulazimisha eti tuamini mama Abdul na serikali chini ya CCM wako vizuri!
Kumbe wako hovyo kuliko kipindi cha JIWE!
Kila uovu uko juu! Wizi, ufisadi, matumizi ya serikali, hawataki kusikia kubana matumizi! Kabisa kabisa?
Masafari, misafara, kugawa rasilimali na maliasili zetu, utekaji, uuaji, maposho lukuki!
Ni uozo uozo juu ya uozo!
Uchawa ndio biashara, Ikulu imekuwa leaders club!
Matapishi kabisa huu utawala wa sasa!
 
Wakati tunachambua ripoti ya CAG, nilazima tujifunze mambo mapya kwa kurejea nyendo zetu za nyuma zilizozaa makosa yetu ya leo. Niliwahi kuhoji kipindi flani cha nyuma kuhusu aina ya wafanyabiashara wa kiserikali wa Tanzania chini ya Serikali ya CCM, ambapo ni Tanzania tu duniani kote ambako nimeshuhudia kwa macho yangu ya nyama, biashara inafilisika na kufa kabisa kwasababu tu biashara hiyo inazidiwa na wateja. Sikupata majibu, niliangalia biashara ya mwendokasi ambayo imehodhiwa na serikali na hakuna msafirishaji mwingine yoyote wa Mwendokasi nchini zaidi ya srrikali lakini mradi unazidiwa na wateja na unakufa huku tunajionea.

Serikali hiyo hiyo ikaanzisha mradi wa Ndege kwa kufufua shirika la ndege la ATCL kwa kununua ndege mpya zaidi ya 15 na kuendesha vita vya kibiashara na sekta binafsi ya anga ambapo mashirika kadhaa ya ndani yaliyojaribu kupambana na dola kibiashara yalijikuta yakifilisika huku tukishuhudia vilio vya akina Laurance Masha na Fasta Jet yake, Precision Airlines nao wakakumbana na ushindani wa ajabu sana uliohatarisha kampuni, Coast Air nao wakaonja joto, Auric Air nao hawakuachawa, Lakini mashirika ya kimataifa hayakuwa salama mbele ya Serikali ya ccm iliyodhamiria kufanyabiashara ya ndege nchini.

Katika eneo hili la barabara hasa za mwendokasi ili serikali ijihakikishie udhibiti wa soko, kwanza iliweka sheria mpya ambazo ziliondoa usafirishaji wa binafsi yaani daladala katika mradi husika, kisha serikali ikaingiza yenyewe mabasi yake na kuingia rasmi yenyewe kufanyabiashara ya kusafirisha abira ikiwa haina ushindani wowote kabisa! Biashara ikawaahinda ni hasara tu kwa nchi na kero kwa wasafiri.

Kwenye usafiri wa anga nako serikali ili idhibiti soko la anga nchini na kujihakikishia soko kubwa, Serikali hiyohiyo ya ccm, Wakati inafufua shirika la ndege la ATCL ilikuja na sheria kali sana ambazo kwa namna yoyote kampuni za kitanzania zisingeweza kuhimili na hata kampuni za kigeni zilishindwa kuendelea kufanyabiashara nchini, haa nitaeleza sheria ya gharama za moja kwa moja zilizotengenezwa na serikali ambazo kampuni za ndege zilitakiwa kuwajibika kulipia mbele ya mamlaka, ambapo ndege nazo kimsingi zilipeleka gharama hizo kwa mlaji ambae ni abiria. (direct cost alizokutana nazo abiria apandae ndege)

Abiria wa kimataifa (International passenger alipaswa kulipia gharama zifuatazo katika tiketi yake,
Airport Tax (TRA) 40$, Zaman ilikua 30$.
Security charges (TAA) 5$, Zamani Free.
Safety fee (TCAA) 9$, Zamani 8$
Jumla 54$ x 2350=126,900tzs. Zamani 38$ tu.

Local passenger ada zikapandishwa akawa analipa
AT 10,000/=
SF. 3,000/=
SC 2$. Hii nikodi ya moja kwamoja ambayo hata kwenye tiket imeandikwa. Hii haijumuishi gharama kama

Navigation charges (TCAA)
Landing & Parking. (TAA)
Mafuta

Huu ndo mzigo alibebeshwa Abiria wakati wa kampeni ya kufufua shirika la ndege la ATCL, gharama zote hizo kampuni ya ndege ilitakiwa kuzikata kwa abiria kabla ya faida yake. Fastjet sio wakwanza kushindwa soko la aviation Tz, Waliomtangulia, Moshi Aviation, Etihad, British Airways, Air seashells, na Kenya Airways walifika hatua ya kufunga ofisi zao KIA na Dar. Chezea CCM wewe, wao ndio wataalamu bwana…..

Baada ya miradi hii ATCL na BRT kuanza kuyumba sisi tunaotazamwa kama wananchi wa daraja la tatu nchini, tulishauri kwamba, kwa asili serikali sio chombo cha kibiashara, sio asili ya serikali kutafuta faida, Bali ni chombo cha huduma tu. Tukashauri baada ya kujenga miundombinu ya barabara na kurejesha shirika la ndege, Sasa serikali ikae pembeni ikabidhi sekta binafsi za kibiashara ziendeshe mashirika hayo kwa faida na serikali isubiri magawio yake na kodi tu, Hili tulilishauri tukihimiza hata juu ya Mradi wa Reli ya SGR pia wakaribishwe wa wekezaji wazawa waebdeshe kwa faidi,

Mashirika hayo yote yanayopata hasara na kufa yanaongozwa na watanzania wenye elimu za juu sana madaktari na maprofesa wa uchumi (Drs na PHds, lakini matokeo ni ziro kabisa, Hebu fikiria biashara ya Mkinga pale Kariakoo na namna aina ya watu wanaoipngoza mfano 1. Baba Mkurugenzi, elimu hajaenda hule, 2.Mke Mhasibu kaishia kidato cha nne, 3.Mtoto Sales kaishia kidato cha tano akaacha shule, 4.Store Keeper Uncle hajakanyaga shule kabisa.
Lakini hawa viongozi wa biashara hii ya Mkinga hapo Kariakoo Wanapata faida mpaka wanajenga Ghorofa magorofa kariakoo hiyohiyo yenye thamani ya 100b

Tujisahihishe, Dunia ya uchumi ni ya sekta binafsi sio ya serikali, Serikali ibaki kwenye usimamizi wa sera, usalama na kodi tu!

Na Yericko Nyerere

View attachment 3286756
Kwenye kikao chetu tulichomaliza jana jioni tulikubaliana kuwa hakuna deni la Taifa wala serikali bali hiyo trilioni 97.35 ni deni la mama. Kwa nini? Kila mikopo ikija kutoka kwa Waarabu au mabeberu tunawasikia inzi wa kijani na njano wakiwaambia wananchi hizi ni fedha za mama. Kwa hiyo kama fedha ni za mama basi na hilo deni la Trilion 97.35 ni la mama.
 
Maumivu yameanza kupungua ama bado? Ukishindwa hakuna kuhama chama, mbona mmezira hamfuati ile slogan yenu ya kejeli, ama hamkutegemea kushindwa?!
 
Jifunze kukusanya taarifa sahihi kabla ya kuongea hadharani. Suala la Mwendokasi UNAONESHA mapungufu yako. Jiulize kwa nini Bakhresa au wenye mitaji binafsi wanaalikwa kuwekeza na hawataki? Matakwa yao ni yapi? Kwa nini matakwa yao hayatekelezwi na Serikali? Huyu aliyepo amewezaje kudumu kwa kusuasua mpaka leo? Alipewa mtaji wa mabasi nan nani? Na kwa taarifa yako Serikali haikutoa mtaji.
 
Hata na sisi wananchi - Mimi na wewe -tuwache kuwaona waliopewa nafasi za umma, wakaiba na kujenga majumba ya fahari, kama mashujaa. Kwa kifupi sisi wananchi tuchukie rushwa na wizi hata kama utafanywa na watu WA familia zetu. Tukifanya hivyo, huenda haya yakaondoka.
 
Back
Top Bottom