Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Unajua, huwezi kujenga chama bila clear policy positions. CDM imekuwa ikikosoa CCM na serikali yake tu lakini criticism isn't policy. (Ukosoaji sio sera) Watanzania wangapi wanajua msimamo wa...
1 Reactions
4 Replies
341 Views
Mimi sio mshabiki wa Makonda, kutokana na namna ninavyomjua. Tabia zake binafsi na hulka zake ndo chanzo kikuu cha mimi kutokuwa shabiki wake na kila siku kumpinga kwenye masuala mengi sana...
22 Reactions
121 Replies
7K Views
Mpaka sasa sioni dalili za kuzuia uchaguzi zaidi ya kupiga porojo kwa wananchi na kuzawadiwa samaki, wakati wa Magufuli wananchi walijaa kama hivyo lakini mwisho wa siku ulishindwa uchaguzi na...
2 Reactions
4 Replies
360 Views
Kwa uzoefu wangu ni kwamba Wanasiasa Huwa ni wabinafsi n watu wasiojali. Wako tayari kutumia mbinu zozote ovu ilimradi kufanikisha ajenda zao. So nitie wito Kwa mamlaka kuhakikisha wanachukulia...
9 Reactions
89 Replies
4K Views
Tunajua na tunatambua umuhimu wa utalii katika maendeleo ya nchi. Mataifa kama Morroco, Egypt na Kenya yamekuwa yakinufaika sana na utalii. Kama Lengo lilikuwa kuvutia utalii wa ndani, si vibaya...
2 Reactions
5 Replies
542 Views
Kahawa ya Tanzania kukuza ushirikiano wa kiuchumi baina ya Tanzania na Italia Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ameshiriki katika Mdahalo...
1 Reactions
4 Replies
415 Views
Katibu wa Siasa na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Njombe Josaya Luoga leo Machi 27, 2025 amemtembelea na kumjulia hali Katibu Mwenezi wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA, BAWACHA Taifa...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) imepokea pongezi kubwa kutoka Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa utendaji wake bora katika mwaka wa fedha 2023-2024. Ripoti ya...
0 Reactions
1 Replies
570 Views
Mwenezi wa Baraza la Wanawake CHADEMA (BAVICHA), Siglada Mligo, ameendelea kufichua kwa undani tukio lililompelekea kupigwa na hatimaye kulazwa hospitalini akiwa katika hali mahututi. Kwa mujibu...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Niliachana na mambo ya Dini huu ni mwaka wa 10. Nilikuwa na amani na furaha wakati wote. Nilijawa na upendo kutetea lililo la haki na kutumia hekima na busara wakati wote. Niligundua mapungufu...
18 Reactions
50 Replies
2K Views
Hakika ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni! Wakati wa awamu ya tano, nchi ilikuwa busy mno huku miradi ya maendeleo ikirindima kila pembe ya nchi, Kuanzia mradi mkubwa wa bwawa la Nyerere, Mradi...
24 Reactions
66 Replies
3K Views
Kwa mujjibu wa takwimu xa sensa asilimia 20 ya watanzania wanaishi mijini na asilimia 80 wanaishi vijijini Upinzaji Tanzania unajikita mijini kwenye asilimia 20 ya watu CCM inajikita vijijini...
0 Reactions
14 Replies
598 Views
Professor Janabi is set to compete with other candidates in a debate for the position of Director of the WHO Africa Region on April 2. I feel a sense of sympathy for him, as many Tanzanians are...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Roho ya Marehemu ipate rehema kwa Mungu na ipumzike kwa amani -AMINA Leo mara baada ya kupata taarifa za kifo cha aliyewahi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya awamu ya nne (4) chini ya...
29 Reactions
125 Replies
7K Views
Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Mhe. Shaka Hamdu Shaka jana aliandaa Iftari maalum Nyumbani kwake ambayo Viongozi mbalimbali walialikwa katika hafla hiyo. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea...
1 Reactions
6 Replies
611 Views
Amos Makalla, amesema hakuna chama chochote chenye mamlaka ya kuzuia uchaguzi kwa kuwa ni takwa la katiba ya nchi. Makalla amesema hayo wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika siku ya Alhamisi...
0 Reactions
2 Replies
359 Views
Generation Samia imewahamasisha wakazi wa mkoa wa Kanda ya Ziwa kuchangamkia fursa ya bajeti ya asilimia 30 ya tenda za Serikali iliyotolewa makundi ya vijana, wanawake, wazee na watu wenye...
0 Reactions
3 Replies
575 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira amesema Chama cha Demokrasia na Maendeleo hakina hoja ya msingi ya kuzuia Uchaguzi Mkuu mwaka huu kwani kama ni mabadiliko...
0 Reactions
2 Replies
465 Views
Wakuu Mbunge wa Kinondoni Mhe Tarimba Abbas amekutana na akina Mama wapatao 54 wa Kata ya Mzimuni na kuwapatia mitaji kuendeleza shughuli zao za ujasiriamali. Pia, Soma Kinondoni...
1 Reactions
3 Replies
518 Views
Mkuu wa Mkoa wa Mara Kanali Evans Mtambi amewataka Viongozi wa Dini kusaidia Serikali katika mapambano ya dhidi ya Vitendo vya Ukatili na Mmomonyoko wa maadili,Ulinzi na amani kuelekea Uchaguzi...
0 Reactions
0 Replies
272 Views
Back
Top Bottom