Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Karibu katika muhtasari wa matukio yote muhimu aliyoyafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika wiki hii.
1 Reactions
1 Replies
255 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan anawatakia Eid Mubarak
1 Reactions
11 Replies
746 Views
Salaam Tanganyika! Issues nyingi zinaibuliwa wakati huu na zinaonekana ni za upande mmoja, Na anayeibua HOJA nyingi ambazo hazipati majibu ni huyu Mwenyekiti mpya wa chama Cha upinzani TUNDU...
4 Reactions
11 Replies
610 Views
Hii ni baada ya wananchi kuhoji matumizi ya fedha hizo bila majibu kwa kipindi cha zaidi ya miaka 15, ndipo wameamua kuitisha mjadala kwenye group la CCM Musoma Mjini ambapo mbunge wa jimbo hilo...
0 Reactions
1 Replies
380 Views
Wakuu, Kamati ya Bunge ya Bajeti imesema hadi kufikia Juni, 2024 deni la Serikali lilikuwa Sh.Trilioni 96.8 sawa na ongezeko la asilimia 18.18 ikilinganishwa na Sh.Trilioni 81.9 katika kipindi...
3 Reactions
25 Replies
1K Views
Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC), David Kafulila amesema serikali inavuta mitaji kutoka sekta binafsi kwasababu kodi na mikopo hayatoshi kufikia matarajio...
2 Reactions
5 Replies
542 Views
Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, tarehe 28 Machi, 2025 imewafikisha mbele ya Baraza la Maadili Mkuu wa Wilaya ya Mbogwe, mkoani Geita Mhe. Sakina Jumanne Mohamed na aliyekua Katibu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mimi ni muumini wa demokrasia na uchaguzi huru na haki, na ni mwana mageuzi kutokea NCCR sasa naomba nifahamishwe mikakati iliyopo ya kukabiliana na changamoto za sasa za uchaguzi iwapo...
0 Reactions
3 Replies
346 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa mkono wa heri kwa watoto katika vituo vya kulea watoto wenye mahitaji maalum na wanaoishi katika Mazingira magumu Mkoani...
0 Reactions
0 Replies
315 Views
Chama cha NCCR-Mageuzi kimefanya uchaguzi wake mkuu na kumchagua Evaline Munisi kuwa Katibu Mkuu wa chama hicho kwa kipindi cha miaka mitano ijayo. Akizungumza baada ya kuchaguliwa, Evaline...
1 Reactions
6 Replies
518 Views
EID MUBARAK Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Watumishi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inawatakia Waislamu wote Sikukuu njema ya Eid El Fitr
1 Reactions
4 Replies
427 Views
Mtanzania JACKSONBILLZ aishie Dubai, mapema leo hii, Machi 30, 2025 ametua Tanzania kwa lengo la kuja kujiandikisha kwenye Daftari la kudumu la wapiga kura. Kupata matukio na taarifa zote kwa...
1 Reactions
4 Replies
428 Views
Mjumbe wa Baraza kuu UVCCM Viti vitatu Bara Ndg. Shamira Mshangama akiwa kwenye muendelezo wa ziara yake ya kuimarisha uhai wa Jumuiya ya Vijana CCM na kuhamasisha ushiriki wa vijana kuelekea...
2 Reactions
1 Replies
296 Views
Wakuu, Mbona kama kuna ka upepo kanatengenezwa hivi!🤨🧐🤔 Kamanda Lilian Byebalilo (BAWACHA) ameshambuliwa kwa kupigwa na watu wa Taskforce iliyopo chini ya Waziri Mweneviale (Mwenyekiti wa...
4 Reactions
30 Replies
1K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amewagusa watoto katika vito vya kulea watoto wenye mahitaji maalum na wanaoishi katika Mazingira magumu Mkoani Kigoma kwa kugawa...
0 Reactions
0 Replies
284 Views
Chama cha ACT Wazalendo kimesema kipo tayari kuunganisha nguvu na vyama vingine vya siasa pamoja na taasisi mbalimbali ili kuhakikisha vinapambania uwepo wa uchaguzi huru na haki mwaka huu...
2 Reactions
9 Replies
862 Views
11 March 2025 Nungwi Kiungani Kaskazini Unguja ARDHI YA MASIKINI WASILAZIMISHWE KUUZA, BALI WAIKODISHE KWA WAWEKEZAJI ILI WAPATE KIPATO ENDELEVU https://m.youtube.com/watch?v=n1wBSC3B3-E Maoni...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Eid Mubarak
1 Reactions
0 Replies
254 Views
Baada ya kutolewa kwa ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Dkt. Charles Kichere Machi 27, 2025, Ikulu jijini Dar es Salaam, kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Furaha...
8 Reactions
63 Replies
3K Views
Mbunge wa Jimbo la Mbogwe, Nicodemas Maganga, leo ameshiriki ibada katika Makanisa ya AIC na AGGCI, ambako ametoa wito kwa waumini kuendeleza amani na mshikamano katika jamii. Kupata matukio na...
1 Reactions
3 Replies
424 Views
Back
Top Bottom