Wakuu,
Viongozi wanachangamkia kuonekana wema si mchezo!
===
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amekabidhi Sadaka ya vyakula iliyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara John Heche amewataka vijana na Watanzania kwa ujumla kuiunga mkono CHADEMA katika mchakato na dhamira yake ya kuiletea nchi...
Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina, amesema kuwa licha ya muda wa kampeni za ubunge ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) bado kutokuwa rasmi, watia nia katika jimbo hilo wanapaswa kuruhusiwa...
deni la taifa mpaka sasa limekishwa kufikia asirimia 97 ambayo ni sambamba na sifa za mchi zisizo weza kukopesheka kwa baadae kama tu halito rejeshwa kwa wakati.
nini sababu za kukua kwa deni...
KATAVI KUUNGWA KWENYE GRIDI YA TAIFA
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limeokoa kiasi cha Shilingi Bilioni 58.4 ambazo awali zilikuwa gharama zikitumika kwa mwaka kuzalisha umeme kwa mafuta ya...
Wakati siku za kufanyika kwa Tamasha la Kuombea Uchaguzi Mkuu 2025 zikikaribia, baadhi ya wadau wameshauri kuwa, tamasha hilo lihusishe waumini wa imani zote.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti...
Wakuu,
Mambo yanazidi kuchangamka huko, ni bandika bandua!
=====
katibu wa NEC Itikadi Mafunzo na Uenezi Taifa Amos Makalla amemjibu Heche kuhusu kukomesha kubeti wakiingia madarakani...
1. Wenzetu Thailand na Mynamar wamepata na tetemeko lenye ukubwa wa 7.7 (kwenye Richter scale). Nafikiria tetemeko hili lingetokea Tanganyika Hali ingekuaje?
Picha lingeanza kwa msafara wa...
Serikali imezindua Mpango wa Kitaifa wa Nishati wa Tanzania (National Energy Compact 2025-2030) ambao unalenga kuongeza kiwango cha upatikanaji wa umeme kutoka cha sasa cha asilimia 78.4 hadi...
Nitamshangaa Rais Samia akikubali kugawa eneo lolote la nchi kiutawala, aendelee na msimamo wa mtangulizi wake JPM, Magufuli aliapa asingegawa eneo lolote na akafa na msimamo wake. Kitu muhimu ni...
''Kwenye tukio ambalo halikutarajiwa na wengi, Naibu Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko, alisitisha hotuba yake ili kutoa heshima stahiki kwa askari aliyemtolea amri...
Mbunge wa Jimbo la Butiama na Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Jumanne Sagini ameagiza watumishi wa Shirika la Umeme (TANESCO) na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) Wilaya ya Butiama kutoa elimu...
Mifumo ya mawasiliano katika kuwasiliana na umma, wanachama wake na waTanzania wote kwa ujumla ni wa kisasa zaidi ukilinganisha na vyama vingine vya siasa nchini ambavyo bado vina jiendesha...
CHAMA Cha Mapinduzi Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa kimemchangia Sh 1,553, 500 Katibu Mwenezi wa Bawacha Mkoa wa Njombe, Sigrada Mligo, kwa ajili ya kwenda kupata matibabu katika Hospitali ya...
Hivi hizi kampeni za upandaji miti huwa ni usanii au kitu gani? Maana unakuta baada ya zoez Hilo hakuna mwendelezo Wala ufuatiliaji. Korea/Seoul miti kila pahala. Sisi yupo bize na kukopwa tu
Ni wazi Makalla na yule Babu Wassira pengine hawajui kuwa CCM ni washiriki wa uchaguzi kama ilivyo Chadema, ACT, CUF nk au bado wao ni OLD FASHIONED kiasi cha kushindwa kutofautisha CCM chama na...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Ukumbi wa Kikwete kwa ajili ya Kufutarisha Viongozi pamoja na Makundi mbalimbali, Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais...
Akiongea wakati wa Uzinduzi wa kiwanda Cha mwekezaji mzawa huko Njombe,Prof.Kitila Mkumbo Ameelezwa kusikitishwa na jinsi wawekezaji wanavyohangaishwa na watu wa Serikali.
Amesema kumekuwa na...
Siri hiyo Kabambe imefichuliwa na Nabii wa Mungu, Godbless Lema, alipokuwa anatoa elimu ya No Reform No Election Jijini Arusha
Zaidi jisomee mwenyewe hapa.
Wadau wengi wa Arusha wamesikitishwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.