Wakuu,
Sasa hivi kila jicho ni kwa waislamu, I wanda ni kwanini?🤔🤔 Ni ama kuna wajinga wengi ambao wanaidia kupitisha ajenda zao kirahisi au ni watu muhimu sana ambao bila kukuunga mkono...
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga, Rajabu Abdallah amewataka wanasiasa wa mkoa huo na wageni wanaoingia kuhakikisha wanalinda amani iliyopo kwa kuacha siasa ambazo zinaweza...
Mwanachama wa CCM, Mchungaji Peter Msigwa akizungumzia mchakato wa kumteua Rais Samia kuwa mgombea wa Urais 2025 uliofanyika Dodoma.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu...
Mkiti wa Kampeni ya Mama asemewe Ndg Geofrey Kiliba amewataka Wapinzani kuacha kulalamika badala yake walete hoja na sera nzuri za kuwaeleza watanzania.
Amesisitiza wahoji na kukosoa kwa kutazama...
Wakuu,
Taratibu mwanga unaanza kuonekana! Chawa wanatagiwa kupigwa vita pande zote, yaani vijana baada ya kuwa mstari wa mbele kuokoa taifa ndio tunakuwa wa kwanza kuzamisha meli...
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Kanda ya Serengeti kimelaani vikali matukio ya utekaji kuendelea hapa nchini yakihusisha viongozi mbalimbali wa vyama vya siasa, kwamba vitendo hivyo...
Hapa Tanzania tuna makundi mawili ya viongozi wanaopatikana Makanisani na Misikitini. Kuna viongozi wa DINI na viongozi wa DILI.
Viongozi wa DINI ni wale ambao wanapokuta dhuluma katika Nchi...
Katika historia ya siasa za Tanzania, uuzaji wa raslimali za nchi na ubinafsishaji wa mali za wananchi umekuwa na athari kubwa si tu kwa uchumi, bali pia kwa jamii kwa ujumla.
Vitendo hivi...
Mwenzenu toka nimepevuka kiakili miaka yote ninapofatilia ripoti ya CAG ni ubadhirifu na hasara tu na hakuna wakuchukuliwa hatua huku wananchi tusiyo na mamlaka tunazidi kuchoka.
Sasa nashauri...
Hemed Steven, mkazi wa Jimbo la Tunduma kata ya Chipaka, ameonyesha wasiwasi wake kuhusu kampeni ya “No Reforms No Election” inayoendeshwa na Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu
Kwa maoni yake...
Maelfu ya wanavyuo wa Kampeni ya Mama Asemewe kutoka vyuo mbalimbali mkoani Dodoma wamefanya matembezi maalum kwa ajili ya kuweka maazimio kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.
Matembezi hayo...
Kampeni Tukufu ya No Reform No Election imeingia Jimbo la Lupa, Mkoani Mbeya na kupokelewa na Maelfu ya Wananchi.
Elimu kabambe imetolewa kiasi cha Wananchi wote kukubali kwamba sasa ni lazima...
Katika mfumo wa kisiasa, uhusiano kati ya uongozi wa chama na uongozi wa nchi ni wa umuhimu mkubwa.
Hali inapoonekana kwamba mwenyekiti wa chama ndiye pia rais wa nchi, tunakutana na changamoto...
Wakuu,
Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania (UWT) imefanya Dua Maalum ya Shukrani na Kumuombea Rais Samia kwa Uongozi wake mahili katika kipindi cha Miaka Minne ulioleta...
Wakuu,
Aloo, kila sehemu ni 'sadaka' tu, afu mwishoni unasikia Samia ametuhimiza tuwe na moyo safi... ni huzuni:BearLaugh::BearLaugh:
====
Mkuu wa wilaya ya Tanga Japhari Kubecha Kueleka...
JUMUIYA ya Madola (Commonwealth) imeridhia wito wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan wa kuanzisha mpango maalum wa ufadhili wa masomo wa Commonwealth Julius Nyerere...
Chama cha ACT Wazalendo kimesema kuwa kipaumbele cha Chama hicho kwa sasa ni kupigania mageuzi ya mfumo wa uchaguzi na kurejesha thamani ya kura ya kila Mtanzania kwenye uchaguzi.
Msimamo huo...
Mwenyekiti wa Kamati ndogo ye fedha ya CHADEMA CHADEMA ambaye ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho Godbless Lema amesema wapo tayari kutumia mfumo wa sarafu za kidijitali (cryptocurrency) ili...
Mwamba alikua anaibuka tu sehemu na kutimua yeyote ikiwamo Waziri mwenye dhamana. Hakika nimemiss zile moments za taharuki. Aliwahi kumbuka gerez la butimba akakitana na ujinga-ujingabeti Askari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.